Chawa wa lumumbashi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 793
- 1,749
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu
Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.
Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over