Habari zenu wana group!
Nahitaji kufanya biashara nina mtaji wa milioni 4.
Nahitaji kuuza vitu niagizie toka Dar es Salaam mi niko Tabora.
Naombeni ushauri nifanye biashara gani?
Vitu gani umetarget kutokana na mazingira uliyopo?Nahitaji kuuza vitu
Habari zenu wana group!
Nahitaji kufanya biashara nina mtaji wa milioni 4.
Nahitaji kuuza vitu niagizie toka Dar es Salaam mi niko Tabora.
Naombeni ushauri nifanye biashara gani?
Utampoteza boss
Utampoteza boss
Kaka 2019 nililipia signals zako telegram ukanipeleka chakaSio kwel
ni huyu huyu mjasiria tumboKaka 2019 nililipia signals zako telegram ukanipeleka chaka
Wewe c Elisha chengula?
Daaah nimecheka sana.ni huyu huyu mjasiria tumbo
Muongozo wako mkuu, kwa huo mtaji hardware aanze na nini na niniFungua hardware , miezi sita ya kwanza hautakuwa busy ila watu wakishakujua utapenya
umeshindwa kutoboa kwenye forex sasa umetafuta chaka lingine ulize watuSalama, Ushauri wangu pitia kwanza hii article utaanza na mtaaji chini ya 1Mill na utanishukuru baadae
Safari ya mafanikio inaanzia hapa
Safari ya mafanikio inaanzia hapa
Ndani ya Mwaka 2024, Zijue Fursa Zifuatazo zenye uwezo wa kukuingizia kuanzia 1,000,000 kwa mwezi na kuendelea kutokana na juhudi zako namaanisha hata 50,000,000 kwa mwezi!! Happy New Year 2024, Rafiki...www.jamiiforums.com
Mkuu hardware mtu hajawahi kukaa dar unamwambia afungue hardware kwa 4M?Fungua hardware , miezi sita ya kwanza hautakuwa busy ila watu wakishakujua utapenya
Forex wamesoma bure they're not that successful in trading ..... wamepata hela kwa kuuza signals na mentoring ya basic knowledge ambazo zinapatikana YouTubeumeshindwa kutoboa kwenye forex sasa umetafuta chaka lingine ulize watu
Chagua moja vifaa vya bomba au umemeMuongozo wako mkuu, kwa huo mtaji hardware aanze na nini na nini
sure, sasa kama iyo digital marketing anayotangaza kwamba mtu akifanya atakuwa anapata hela ndefu kwa mwezi jamani mambo sio rahisi hivyo ndo maana na yeye amefikiria nje ya box aanze kufundisha watu ili apige pesa nyingiForex wamesoma bure they're not that successful in trading ..... wamepata hela kwa kuuza signals na mentoring ya basic knowledge ambazo zinapatikana YouTube
(uvivu wetu tu wakujifunza na uvumilivu)
Hii 1m ya kulipa huku ukifungua genge la matunda na mboga mboga una nafasi kubwa sana ya kupata chchote kuliko kwenda kwa hawa wajanja wa mjini wakakulisha matango pori
Ukitaka issue za online weka bundle kasome udemy ingia qoara ingia YouTube etc jitoe Sadaka kweli kweli
Naongezeasure, sasa kama iyo digital marketing anayotangaza kwamba mtu akifanya atakuwa anapata hela ndefu kwa mwezi jamani mambo sio rahisi hivyo ndo maana na yeye amefikiria nje ya box aanze kufundisha watu ili apige pesa nyingi