Kagera: Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya Jumapili katika kanisa la KKKT Karagwe , asalimia waumini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,248
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , ambaye pia ni mwamba wa siasa za Tanzania , na muasisi wa siasa za kisasa kwenye ukanda wa Maziwa Makuu , Freeman Mbowe leo 30//7/2023 ameshiriki katika kumtukuza Mungu kwenye ibada ya Jumapili iliyofanyika kanisa la KKKT , Usharika wa Kayanga , Karagwe , Mkoani Kagera , ambako alipewa nafasi ya kusalimia waumini wenzake .

Pamoja na salamu kwa waumini wenzake , Lakini Mbowe hakuwaacha mikono mitupu waumini hao , ameahidi kununua sare kwa ajili ya kwaya za kanisa hilo (Zipo kwaya 4) kwa gharama ya tsh mil 2.8 na ameahidi kuchangia tsh 10mil kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa hilo , Binafsi namshukuru Mbowe kwa moyo wake wa kumtolea Mungu , na kwa kweli namuomba Mungu amzidishie , Amina .

Ikumbukwe kwamba Mbowe na viongozi wenzake wa Chadema wako Mkoani Kagera kwenye Oparesheni kabambe ya 255 KATIBA MPYA , OKOA BANDARI ZETU , ambayo leo inatimua vumbi Karagwe .

FB_IMG_1690711104451.jpg
FB_IMG_1690711112133.jpg
FB_IMG_1690711119516.jpg
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , ambaye pia ni mwamba wa siasa za Tanzania , na muasisi wa siasa za kisasa kwenye ukanda wa Maziwa Makuu , Freeman Mbowe leo 30//7/2023 ameshiriki katika kumtukuza Mungu kwenye ibada ya Jumapili iliyofanyika kanisa la KKKT , Usharika wa Kayanga , Karagwe , Mkoani Kagera , ambako alipewa nafasi ya kusalimia waumini wenzake .

Ikumbukwe kwamba Mbowe na viongozi wenzake wa Chadema wako Mkoani Kagera kwenye Oparesheni kabambe ya 255 KATIBA MPYA , OKOA BANDARI ZETU , ambayo leo inatimua vumbi Karagwe .

View attachment 2702969View attachment 2702970View attachment 2702971
Sasa ni wakati wa KKKT nayo itowe rais HAHAHAHAHHHHHHH
 
Mwamba. Ni zamu ya wachaga kukamata madaraka 2025 ili dunia ionyeshwe ni nini maana ya maendeleo.
 
chadema wanatumia mbinu za ccm walizotumia awamu ya tano kazeni buti japo kwa sasa chama cha mapinduzi tunazo mbinu za awamu kumi zijazo
 
Mnabadilishana tu, maaskofu jukwaani kupiga siasa na wanasiasa makanisani kupiga siasa, mbowe muda si mrefu anakuwa askofu.
 
Back
Top Bottom