Dah sijui itakuwaje mashuleni. Walimu na wanafunzi wote wanamiliki Noah.
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Kuna ndoto unaweza kuota halafu ukistuka unagoma kama uliiota, moja wapo ni hii. Time will tell.Daaa..ule mgao wa Noah kila mtz ukianzaa..naomba namba D
Hadi sasa rangi nyeusi zimeisha...yamebaki ya kichanikiwiti[emoji23]Daaa..ule mgao wa Noah kila mtz ukianzaa..naomba namba D
[emoji2] [emoji1] [emoji2] vijana mna mzuka sana na noah. Mi msinihesabu jamani kwenye huu mgao wenu kwani natumia prado ya kiafrika, ile yenye mkia . naogopa ajali mie.Mkuu usitupangie matumizi wengine tutapaki hata kupigia picha inatosha.
Safi saana mkulu ,God bless uKumbe wamenirahisishia hivi, Mkulu abarikiwe kwa kweli..
Niko msibani nimefiwa .....angalau nimecheka kupunguza machungu ya kufiwa....ningeipata leo ingenisaidia kupunguza gharama za kusafirisha mwili wa ndugu yangu...
We nawe una majungu yako tuu! Unaposemea wanaume wa tz jua umemuweka ndani hata magufuli!!Na hii ndio taswira halisi ya wanaume wa Kitanzania...
Nadhani mnatamani hata serikali iwaolee, iwatunzie familia, iwasomeshee watoto, Noah mpewe Ha ha ha a
Wakuu Naomba mnisaidie sababu kila ninayoiona naitaka t afadhali nichagulie nzuriii ambayo hainywi mafuta View attachment 525867
Nasikia usipo jaza mafuta kwa miez mitatu wanakunyanganya cause unakuwa umeikosesha mapato serikali
Ukipewa noah yako utaamua uuze au utumie!! Tanzanoah hii!!Mtaendesha Noah wakati 80% ya wa Tanzania wanaishi kwenye nyumba za udongo na nyasi
Kwahiyo unataka upewe noah na pesa ya mafuta au?Sasa unapewa noah na hela ya mafuta hunaaa , duh mbona itabaki kuwa ndoto..
Tanzania huwezi kuuza kila mtu atakuwa nayo, nitaipeleka Malawi au Mozambique ikafanye biasharaUkipewa noah yako utaamua uuze au utumie!! Tanzanoah hii!!
We nawe una majungu yako tuu! Unaposemea wanaume wa tz jua umemuweka ndani hata magufuli!!
Sasa boss aachwe ili iweje?? Huo ni wajibu wakwme no excuse! Alituahidi noah...sasa jamaa kakosea nini kudai noah yake!!mbn requirements nyingi hivi? embu mwache rais wetu kajitahidi sana ... mbn hamridhiki?
Uko sahihi kabisa !Tanzania huwezi kuuza kila mtu atakuwa nayo, nitaipeleka Malawi au Mozambique ikafanye biashara