Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Atakae husika na manunuzi kwenye list yangu anichukulie

Toyota Noah Super Extra Limo
BF444531_a52763.jpg
 
Huko Denmark pato la raia mmoja kwa mwaka ni kama $47,000. Ni vizuri ukadai hio $47,000 yako kila mwaka ili uache kufagia vyoo! Noah zetu hazifiki hata $7000.
Hii Noah ni haki yake kuipata kama RAIA wa nchi ya Makinikia na vi-wonder bila kujali yupo wapi au ana kipato gani.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Na hii ndio taswira halisi ya wanaume wa Kitanzania...
Nadhani mnatamani hata serikali iwaolee, iwatunzie familia, iwasomeshee watoto, Noah mpewe Ha ha ha a
Kuna mwanaume au RAIA yeyote alieomba anunuliwe Noah si serikali ya vi-wonder ndio imegundua kwasasa kuwa tatizo kubwa la watanzania sio ajira,elimu bora,maji safi,huduma bora za afya na miundombinu bali ni Noah.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Na hii ndio taswira halisi ya wanaume wa Kitanzania...
Nadhani mnatamani hata serikali iwaolee, iwatunzie familia, iwasomeshee watoto, Noah mpewe Ha ha ha a
rubii mbona umeenda mbali sana bibie.... kumbuka si wanaume walioandamana kudai hizo Noah...bali ni wenyewe huko wamesema.

Sasa kama serikali yangu inanipa Usafiri nitakataa nami ni mlipa kodi...mi kwa upande wangu itanisaidia huku kuwapelekea mchicha na maparachichi wateja wangu...!!
Nitatoa shukrani pale nitakapoipata!!!
 
Back
Top Bottom