Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,057
2,000
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
17,039

Huu uzi una majungu sana
Upo kimpasho mpasho
 
chinembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
5,559
2,000
Pia nashauri kila wiki kitaifa,tuwe tunakusanywa katika Viwanja vya mikutano katika kila wilaya na Mkoa serikali iwe inawaandaa akina mama wanatupikia pilau kwa bamia za kuchemsha pamoja na kumbikumbi na panzi za kuchemsha

Najua kwa hela hiyo tutakula mpaka Siku ya uchaguzi,

Nakuhakikishia mkuu kila mtanzania atakuwa na kitambi mheshimiwa
 
Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
22,490
2,000
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!
Wewe baki huko huko na wadenish wako. Hizi Noah ni kwa sisi huku. Ukitaka waombe wadenish sosho, watakupa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom