Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Mzuka wanajamvi!

Hongereni sana ndugu zetu wa upande hule mwengine. Wepesi mliopewa wa kujaza dunia ndio hivyo tena matunda yake yameshaanza kuonekana. Sisi Wagalatia tulikuwa tunawaponda bure tuu sasa angalia macho yamefunguka tuna haha wengine tunatafuta hadi IVF.

Yani hadi mimba itungwe miezi tisa ipite, dah hayo makubaliano yatapita na zoez zima la ugawaji wa Noah litafungwa rasmi.

Hizi ndio hathari za kufuata kila kitu kutoka magharibi sijui family planning.
Wewe jamaa nilishakustukiaga kitambo. Boksi la wadenish limekuchanganya kinoma wallahi.
 
Watu washaanza kuchagua rangi wengi naona mnachagua nyeusi jamani kwa Tanzania Noah nyeusi ni shida kupatikana make zipo porini huku hupatika zile za rangi kama pink mpauko hivi. NB: si wote tunatumia Noah wengine tupewe cash tununue mambo yetu.
 
Na hii ndio taswira halisi ya wanaume wa Kitanzania...
Nadhani mnatamani hata serikali iwaolee, iwatunzie familia, iwasomeshee watoto, Noah mpewe Ha ha ha a
Point noted Princess rubii
Watanzania wanasikitisha sana...badala ya kufanya kazi kwa akili zao zote wapate maendeleo na familia zao, wanakaa wanategemea Serikali iwaletee maisha MAISHA BORA
Hakika MTASUBIRI SANA na Awamu hii ya JPM itapita itawaacha mko pale pale mmeganda!!!
 
mbona hili jina la kitambo sana, tangu mwaka 2012, nakumbuka kuna kaka tulikuwa tunafanya nae kazi akawa ana noah afu muislam basi kuna mwenzake akawa anapenda kumtania, muislam gani wewe unaendesha kitimoto. yani mpaka yule kaka aliuza gari yake akanunua aina nyingine.
Hahah! Waswahili wanaweza kukuua kwa kukusema tu
 
Tumeaminishwa kuwa Noah ni kwa above 18 tu sio watanzania wote,so kama watu m20 hv,tutatosha tu si unaona tunaanza kuvunja nyumba kimara mpaka chalinze mita 120 kila upande,usihofu barabara zitatosha tu
Dah...
 
Back
Top Bottom