Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Mbona tutawaoa tu Karne hii! Mwapenda sana ganda la ndizi
Mkuu we mbn unatukatisha tamaa au we ukipewa yako utaikataa? Nakuomba uipokee uwe unaanikia hata ulezi wa kutengenezea uji wa watoto shukrani kama umekubali mkuu.
 
Mimi yangu iwe ya rangi nyeusi
Screenshot_20170617-172235.png
 
Mbona wanaume wa Libya walifanyiwa hayo na Gaddafi!
Au kosa kwetu sisi wanaume wa bongo kudai Noah?
Kwani mkuu unadhani sie ndo tumedai? Ni rais wetu mtukufu jemedali simba wa vita na mwenyekiti wa chama cha makanikia kasema atatupa.wala hatujaomba
 
Nyie mnaota mchana, hivi kweli badala ya kuimarishiwa hali za maisha mnawaza Noah?
Bana we vipiii kwani sie tumeomba au ni roho nzuri na maono ya mbali ya mtukufu kasema anatugea Noah? Mi shasema yangu darkblue.
 
Mwambieni hela yangu anitumie akaunti 017867654376 Stanbic.


haahah mbunge wako ninanni??tuanzie hapo kwanza au nenda kwa mwenyekiti wa mtaa umpe hyo namba itafika mpaka kwa kitwanga
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Haaaa haaaaa haaaaaaaaaa

Noah Noah Noaaaaaaahhh..

Yangu Noah X Limited Special Edition, 2007, Pearl white colour, ..

Auto, Slide doors both sides, HID LIGHTS, Mh. Rais wangu watu washachagua hadi Noah zao..

Uhuru kamili sasa unakuja wa uchumi.. CCM oyeeeeeeee
 
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!


Niko msibani nimefiwa .....angalau nimecheka kupunguza machungu ya kufiwa....ningeipata leo ingenisaidia kupunguza gharama za kusafirisha mwili wa ndugu yangu...
 
shule-1.jpg

Bado tuna changamoto kama hizi za shule tu wewe unawaza.......Noah nyeusi.....mmmh

Rais Dr John Magufuli ana kazi ngumu sana kuiongoza Tanzania.
 
Back
Top Bottom