Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Iko lazma kitimoto
Hivi tukimwambia awe anaagiza watumishi wanatuletea nyama ya kitimoto mpaka hela yetu iishe atakubali?

Maana sehemu ya kupaki hamna, nikiangalia nyumbani tutaletewa Noah kama kumi hivi,bora atupe Noah tano hela nyingine iwe bili ya kito moto na bia kwa miaka mitano
 
Nilizaaga mtoto wa nje miaka ya themanini.......acha nimsake,najua atanitukana lakini najua tutapata faida
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa mmenichekesha kweli,inaelekea msipopata noah zenu mtaandamana,🙂🙂🙂🙂,mtakomalia anko Magu.😀
 
Watu mnaanza kuchanganyikiwa sasa hata kama ni utani .....
mkuu acha tu iwe utani. Wanatufanya wajinga sana. Angalia tu mbwembwe za muhimbili zile mashine za T scan. Leo hii nakinikia tu badala hata utoe wazo hata la uongo hela iyo ikipatikana nyumba bora za gharama nafuu na usambazaji wa maji safi na salama kwa kila mtanzania
 
Sasa hizo Noah mtapaki wapi? Maana unakuta nyumba moja wapo kama kumi hivi na hakuna uwanja.... Ombeni mjengewe nyumba kwanza
 
Yaani wewe acha kila mtanzania lazima ajue kuendesha gari hata kama hospitali hakuna paracetamol
 
Back
Top Bottom