Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Nyie mnaota mchana, hivi kweli badala ya kuimarishiwa hali za maisha mnawaza Noah?
 
Na hii ndio taswira halisi ya wanaume wa Kitanzania...
Nadhani mnatamani hata serikali iwaolee, iwatunzie familia, iwasomeshee watoto, Noah mpewe Ha ha ha a

Wacha buana...................Vipi umeolewa na damu baridi nini? Ha ha ha ha ha
 
Na hii ndio taswira halisi ya wanaume wa Kitanzania...
Nadhani mnatamani hata serikali iwaolee, iwatunzie familia, iwasomeshee watoto, Noah mpewe Ha ha ha a
Kwani alietamka kuwa huo hela itamnunulia Noah kala mtaz alikuwa kalewa nini
 
M nipewe passo na chenji nipate hela ya mafutaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!

Endelea tu kuota hivyo.........Ukija kuamka wenzio washatusua kimaisha....
Bado sijaiona serikali ya kugawa noah ka kila mwananchi hapa tz.....Hela za rambirambi tu, zinabadilishiwa matumizi...Rejea rambi rambi za arusha au michango ya tetemeko kagera
 
Back
Top Bottom