Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Wewe baki huko huko na wadenish wako. Hizi Noah ni kwa sisi huku. Ukitaka waombe wadenish sosho, watakupa.
mkuu iyo sosho nimeikataa ni aibu kijana mwenye nguvu kula sosho ni wasomali tu na walevi alcoholic. Vp mkuu ushaish hiz nchi nini? Kwasabab mtu wa buguruni ama temeke mikoroshini kujua sosho
 
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!
Hii ndio ukisikia umelala maskini ukaamka ukiwa tajiri. Tumelala masikini awamu za LodiLofa na fastjet tumeamka matajiri awamu ya Mtukufu Sizonje. Mungu aendelee kukupa maisha marefu Rais wa vi-wonder na Noah.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Huko Denmark pato la raia mmoja kwa mwaka ni kama $47,000. Ni vizuri ukadai hio $47,000 yako kila mwaka ili uache kufagia vyoo! Noah zetu hazifiki hata $7000.
 
Dah! wenginë tupéwe chetu tuchange tujenge vituo vya mafuta, maduka ya vipuri, vyuo vya ufundi nk. Tutanunua gari tofauti na noah.
 
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!
Yaani mkuu nimecheka hadi machozi. Umesahau kuwashauri wabebamabox warud kuja kupokea mgao wao wa noah manake hairuhusiwi kuchukuliana
 
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!

Ianze operation tunataka Noah zetu
 
Back
Top Bottom