Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Mdudu siku hizi anaitwa NOAH?
mbona hili jina la kitambo sana, tangu mwaka 2012, nakumbuka kuna kaka tulikuwa tunafanya nae kazi akawa ana noah afu muislam basi kuna mwenzake akawa anapenda kumtania, muislam gani wewe unaendesha kitimoto. yani mpaka yule kaka aliuza gari yake akanunua aina nyingine.
 
  • Thanks
Reactions: G 6
Kwani mkuu unadhani sie ndo tumedai? Ni rais wetu mtukufu jemedali simba wa vita na mwenyekiti wa chama cha makanikia kasema atatupa.wala hatujaomba
[Emoji23] [emoji23] [emoji23] si ndo hapo! Sisi kukubali kupokea hizo Noah tayari imekuwa nongwa
 
Dah...kama Noah ina urefu wa mita 4.5
4.5m x watz 45,000,000 Zikiingia zote barabarani zitakuwa na urefu wa 202,500,000m ambao ni sawa na KM 202,500.
Barabara zote za Tanzania zina urefu wa KM 86,472 .....
Ukichukua 202,500 ukatoa 86,472 unapata 116,028......
Ukichukua 116,028 ukagawa kwa 4.5 unapata 25,784..ukiongeza na zile 000..unapata 25,784,000....
Hitimisho:
1. Watanzania zaidi ya nusu hawatapata nafasi ya kutanua na noah zao barabarani
2. Na wengine pungufu ya nusu watakuwa wamekwama barabarani kwenye foleni isiyosogea (Bampa to Bampa)
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🙄🙂
 
Tumeaminishwa kuwa Noah ni kwa above 18 tu sio watanzania wote,so kama watu m20 hv,tutatosha tu si unaona tunaanza kuvunja nyumba kimara mpaka chalinze mita 120 kila upande,usihofu barabara zitatosha tu
 
Mzuka wanajamvi!

Hongereni sana ndugu zetu wa upande hule mwengine. Wepesi mliopewa wa kujaza dunia ndio hivyo tena matunda yake yameshaanza kuonekana. Sisi Wagalatia tulikuwa tunawaponda bure tuu sasa angalia macho yamefunguka tuna haha wengine tunatafuta hadi IVF.

Yani hadi mimba itungwe miezi tisa ipite, dah hayo makubaliano yatapita na zoez zima la ugawaji wa Noah litafungwa rasmi.

Hizi ndio hathari za kufuata kila kitu kutoka magharibi sijui family planning.
 
Watu mnaanza kuchanganyikiwa sasa hata kama ni utani .....
 
Back
Top Bottom