Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,096
- 12,106
View attachment 525814
Bado tuna changamoto kama hizi za shule tu wewe unawaza.......Noah nyeusi.....mmmh
Rais Dr John Magufuli ana kazi ngumu sana kuiongoza Tanzania.
Huyo uliyemtaja hapo chini ni msanii tu hana jipya.
Anachofanya ni kufukua uchafu wa wenzake wakati nae anafanya uchafu wake.