Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ahaaaa nmenza kumuelewa mkula sasa kumbe ndio mama kaondoa road license ili Noah zikija tusipate shida mi mkuu niletee nyeusi tiii! Af uwambie hao wajapani hatutaki used tunataka mpyaaa tukabandue maganda wenyewe na kuanza kuesabu km kwanzia moja
 
Mi wakate kabisa Deni la taifa ninalodaiwa inayobaki wanipe nipange mwenyewe matumizi, sitaki kupangiwa mimi
 
Back
Top Bottom