Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Ushauri kwa Rais ugawaji wa Noah Zetu

Mimi yangu nataka iwe special order..

1. Wafunge twin turbo.

2. Waweke dump valve

3.waweke Air drier.

4. Waweke water separator kwenye fuel system maana petrol station haziamini.

5. Waniwekee air suspension system( Itumie Booster za upepo)

6. Iwe na seat mbili Tu, kwa nyuma hapo iwekwe friji na vitanda viwili cha juu na chini.

7. Iwe na rangi ya Damu ya Mzee.

8.Iwe Ni manual transmission.

9.ifungwe slake adjuster.

10. Iwe keyless(push to start)

CCM OYEEEEEEEEE

MAGUFULI OYEEEEEE
 
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!
we ni mcheshi sana comedian, sheji yako kanizingua jana nimeenda kwake night Jana, kanifukuza kama mwizi mbele za majirani. lakini nilivyosoma uzi huu nimecheka mpaka hamu ya msosi imerejea.
 
Makinikia oyeee!

Kwako rais wangu. Napenda kukupongeza kwa kazi nzuri na uthubutu ulionyesha kuhusu sakata zima la Acasia, makinikia na Maboso. Kutokana na juhudi zako Barricks wamekubali kutulipa trillion 108 Zetu ambazo uliahidi zikilipwa kila mtanzania atamiliki Noah na tutakuwa donor country na mikutano ya G8 nk tutashiriki kama mwanachama.

Nifaraja iliyoje Babu, bibi na watoto wangu hadi michepuko watamiliki Noah? Kweli wewe ulitumwa na Mungu na unatujali wanyonge hilo halina ubishi.

Baas rais wangu hili zoez la kumilikshwa Noah kila Mtanzania liende vizuri kwa weledi naomba uunde tume la jopo ya maphd holders tena toka udsm na uwaapishe ikulu na waende semina Japan na uwape ulinzi wa kutosha ili zoezi liende vizuri bila upendeleo wa kichama, kiitikadi, kijinsia, kikanda, kidini na kikabila kila mtanzania apate Noah yake.

Dah Makinikia imetutoa Jamani.

Kweli kwa hakika awamu hii tumepata rais!
Noah gari au noah nguruwe? Nauliza tuu jaman
 
Mimi yangu nataka iwe special order..

1. Wafunge twin turbo.

2. Waweke dump valve

3.waweke Air drier.

4. Waweke water separator kwenye fuel system maana petrol station haziamini.

5. Waniwekee air suspension system( Itumie Booster za upepo)

6. Iwe na seat mbili Tu, kwa nyuma hapo iwekwe friji na vitanda viwili cha juu na chini.

7. Iwe na rangi ya Damu ya Mzee.

8.Iwe Ni manual transmission.

9.ifungwe slake adjuster.

10. Iwe keyless(push to start)

CCM OYEEEEEEEEE

MAGUFULI OYEEEEEE
wewe ni prof osoro?
 
Huku vijijini hatuna haraka na hizo milioni hamsini tupewe kwanza Noah kama kwangu hapa tutakuwa na Noah 9 si haba mkuu. Magufuli hoyeeeeeeeeeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mheshimiwa akiona una noah hakupi nyingine
 
Mil 50 kila kijiji zimeshindikana upewe NOAH?????????Madeni yamejaa hadi kwenye kope, na tunayaongeza kwa zuma
 
Subirini campeni ijayo tutaambiwa serikali itajenga zahanati kila mtaa na kila zahanati itakuwa na daktari wake
 
Siju ya kuchukua kadi ya gari( noah) nakwenda na vyeti vyote maana wasijekuniambia siyo raia. Sitawaelewa hata kidogo. Kama najiona ndani ya noah nyeusi. Makinikia oyeee
 
Pia nashauri kila wiki kitaifa,tuwe tunakusanywa katika Viwanja vya mikutano katika kila wilaya na Mkoa serikali iwe inawaandaa akina mama wanatupikia pilau kwa bamia za kuchemsha pamoja na kumbikumbi na panzi za kuchemsha

Najua kwa hela hiyo tutakula mpaka Siku ya uchaguzi,

Nakuhakikishia mkuu kila mtanzania atakuwa na kitambi mheshimiwa

hahahahahahahahahaha yaan nimecheka had mwanaccm hapa amenuna balaaa hahahaahahhah mleta mada mie nakugawaaa yaan jaman jaman mnashika
sharubu huyu msukuma uwiiiiii hahahahahaaahahaha nimecheka sana
 
Back
Top Bottom