Fundi Cctv,Gate motors,Electric Fence,dish& Video intercom

Aug 15, 2018
18
16
TUNAKUFUNGA NA KUANDAA WIRING YA MIFUMO YA ULINZI.
Shuleni,Nyumbani,Godown,Hotelini nk.

Na wewe boss wetu hujachelewa karibu tukuhudumie kwa mahitaji ya Installation,systems upgration,maintenance kwa ubora mkubwa.

GATE MOTORS Kuanzia uzito wa 0kgs hadi 2000kgs
bei zinaanzia 1,650,000/= hii ni bei pamoja na ufundi kutegemea na uzito wa geti lako boss wetu.

CCTV CAMERAS
Tunakupa camera nzuri zenye ubora kulingana na eneo lako, iwe Godown,dukani,ofisini,yard na makazi yako.
Bei zetu kwa digital cameras zinaanzia
850,000/= Kwa digital (analog Camera) 4Ch

1,250,000/= Kwa IP (Internet Protocol) camera 4ch.

Kauli mbiu yetu ni Ubora wa kazi na ubora wa vifaa.


Electric fence,
Tunakufanyia installation ya uzio wa umeme kwa bei ya 20,000/= hadi 25,000/= kwa mita moja hii ikijumlisha vifaa pamoja na ufundi.

INTRUDER ALARM
Moja ya mifumo muhimuy kuwa nayo ni alarm ya kukupa ujumbe kipindi kabla halijatokea,inytruder alarm tunakufungia kwa bei ya kuanzia 500,000/= vifaa pamoja na ufundi.

Satellite dish
Karbu tukufungie mfumo wa tv na ving'amuzi kwenye eneo lako la biashara,ofisini,hotelini na nyumbani kwako,
UNAZINGATIA KUITA FUNDI KUKUWEKEA WIRING YA VING'AMUZI namna unavyotaka? basi hujachelewa, tupigie leo kabla nyumba yako haijaisha kufanyiwa finishing uanze kuhangaika na cables kuonekana ovyo ovyo.

SAVE namba zetu tajiri,chukua muda wako,ukiwa tayari basi tutafute tufanye kazi yako boss wetu.
TAJIRI, TUNAKUFANYA SITE SERVEY BURE KABISA NA TUTAKUPA GHARAMA ZA KAZI YETU BOSS, UKIWA TAYARI TUNAKUFANYIA KAZI YAKO BOSS WETU.

TUPIGIE 0658517022
20240324_133546.jpg
20240228_083304.jpg
20240228_093521.jpg
20240220_095335.jpg
20240210_131612.jpg
20240119_175527.jpg
FB_IMG_1709885076378.jpg
 
Je kama material ni yangu ya electric fance. Ufundi utataka bei gani kwa square meter?


Asante
Kama material ni yako ufundi huwa ni 5000 hadi 7000 kwa mita moja [sio square mita] kwa maana hapa tuna hesabu linear meter urefu kuzunguka nyumba ama kuifuata fence mwanzo hadi mwisho wake.

0658517022 karibu sana mkuu
 
Yes mkuu karibu sana na hii inakuja na remotes mbili zinazokuwezesha kufungua geti lako kuanzia umbali wa mita 100 hadi 0m.

Vile vile unaweza kutumia smartphone kufungua na kufunga geti lako kwa smart gate motors. [Hii mara nyingi hatushauri kwa sababu application huwa zina misbehave hivyo ukiwa umeiamini application na unmefika home night kali application ikazingua itakuwa changamoto]

Unaweza kuunga remote mpaka 150 na kuendelea kulingana na watu unaohitaji uwape access.

(Remote ni mpaka ifanyiwe pairing ndio ifanye kazi hivyo usalama umezingatiwa)

Kwenye shule,appartments,nyumbani, viwandani n.k zinafaa sana
20240220_095143.jpg
20240221_160607.jpg
 
Je kama material ni yangu ya electric fance. Ufundi utataka bei gani kwa square meter?


Asante
Kama material ni yako ufundi huwa ni 5000 hadi 7000 kwa mita moja [sio square mita] kwa maana hapa tuna hesabu linear meter urefu kuzunguka nyumba ama kuifuata fence mwanzo hadi mwisho wake.

0658517022 karibu sana mkuu
 
UMUHIMU WA KUFUNGA ELECTRIC FENCE [UZIO WA UMEME]
Kuna umuhimu mkubwa wa kufunga uzio wa umeme kwani inakulinda na intruders kama wezi wa kuruka ukuta kuingia kwenye eneo lako.

Kwa kutumia vifaa original na sahihi kulingana na ukubwa wa fence yako itakua ulinzi zaidi kwani mashine [ENERGIZER] huipa umeme fence wire kwa mfumo wa D.C na kiwango cha umeme kinachopita kwenye waya huwa ni kikubwa sana kisi kwamba kibaka akigusa nakuhakikishia hatarudia ama kujaribu kugusa huo waya tena kwani kiwango cha umeme huwa ni 6kv nakuendelea kulingana na ukubwa wa mashine na fence.
Mtu anapigwa shoti pale anapokamilisha mzunguko wa circuit kwenye fence kwani kuna Earth na kuna live ambazo hupita kwenye waya hivyo haijalishi atakuwa amevaa viatu.
Tunakufungia king'ora kitakachokupa taarifa kuwa kuna kitu hakipo sawa kwenye fence yako,
hivyo hata mtu akikata waya fence yako king'ora kitalia lakini bado fence yako itauwa inafanya kazi.

UMEME UKIKATIKA?
Mashine inakuja na battery ya back up itakayoiwezesha fence kuendelea kufanya kazi kuanzia masaa 8 na kuendelea kulingana na ukubwa wa fence yako,hivyo hata umeme ukikatika usiku bado fence itakuwa active. Na umeme ukirudi mashine itaendelea kufanya kazi huku ikichaji battery.

KARIBUNI SANA
tunafanya kazi mikoa yote Tanzania bara na Visiwani.
bei zetu ni kuanzia 20,000 kwa mita moja hadi 25000 kulingana na muundo wa fence yako.
mfano kiwanja cha 20 kwa 20 chenye sqm 400 kama fence inazunguka pande zote basi itakuwa 20+20+20+20=80m hivyo 80 x 20=1,600,000/=
bei hii inajumlisha vifaa pamoja na ufundi hadi kukabidhi kazi mikononi mwako,
karibuni sana.
0658517022 calls/sms/whatsapp
TUNAZINGATIA USAFI WA KAZI UBORA WA KAZI NA TUNATUMIA VIFAA ORIGINAL.
 
Yes mkuu karibu sana na hii inakuja na remotes mbili zinazokuwezesha kufungua geti lako kuanzia umbali wa mita 100 hadi 0m.

Vile vile unaweza kutumia smartphone kufungua na kufunga geti lako kwa smart gate motors. [Hii mara nyingi hatushauri kwa sababu application huwa zina misbehave hivyo ukiwa umeiamini application na unmefika home night kali application ikazingua itakuwa changamoto]

Unaweza kuunga remote mpaka 150 na kuendelea kulingana na watu unaohitaji uwape access.

(Remote ni mpaka ifanyiwe pairing ndio ifanye kazi hivyo usalama umezingatiwa)

Kwenye shule,appartments,nyumbani, viwandani n.k zinafaa sana View attachment 2946851View attachment 2946853


Umeme ukikatika inakuwaje?
 
GATE MOTORS
UMUHIMU WA GATE MOTOR NI NINI NYUMBANI KWANGU ?
1.kurahisisha kufunga na kufungua geti lako na kukokoa muda.

Gate motors zipo kwa ajili ya kukurahisishia kazi ya kufunga na kufungua gate lako bila kutumia nguvu na muda mwingi kusubiri geti lifunguliwe na kuna muda unarudi usiku wa manane unaanza kupiga simu ufunguliwe na watu wamelala,hii inawakera waliopo nyumbani lakini hawawezi kusema kwa sababu wewe ndiye mwenye mji.

2.usalama
Inawezekana unarudi muda wa usiku sana nyumbani na unakaaa getini kusubiri ufungiliwe geti na mlinzi au mtu atoke ndani alikuwa amelala aje afungue geti ama wewe mwenyewe ushuke kwenye gari kufungua geti.
usalama wako unakuwa hatarini kwani vibaka na wezi inawezeakana wakawa wanakufuatilia ili kukupora na hata kukujeruhi.
Lakini haya yangekwepeka ama kuzuilika kwa kuwepo na gate motor kwani utafungua na kufunga geti kwa kutumia rimoti tu.
Rimoti hufanya kazi kuanzia umbali wa mita 100 kutoka geti lilipo na kubwa zaidi hata kama nyumbani kuna watu 15 ama 20 kila mtu anaweza kuwa na rimoti yake zikawa [programmed] kwa ajili ya kufunga na kufungua geti kwa kila mtu muda ataorudi ama kutoka'

Itakuwaje umeme ukikata?
Gate motor inakuwa na battery 2 kwa SMART na battery moja kwa EVO zitakazokuwezesha kuendelea na shughuli za kufungua na kufunga geti lako hadi mara si chini ya mara 150. n zitakuwa na power saving model itakayopnguza speed ya geti ili kukupa muda mrefu wa ku operate na vilevile kuna manual model pale gate motor itakapopata hitilafu bado utaweza ku switch kuendelea kufungua geti manually kipindi motor inarekebishwa.

inakuja na rimoti mbili 2 ;lakini unaweza kuongeza rimoti kulingana na mahitaji yako.

Gharama za kufunga gate motor
Kwa geti za uzito wa kilo 0 hadi 500
D5 evo 1,550,000/=
D5 smart 1,650,000/=

Gate uzito wa 500kgs hadi 1000
D10 smart 2,650,000/=
Gate uzito 1000kgs hadi 2000kgs
D20 smart 3,700,000/=
BEI HIZI NI PAMOJA NA UFUNDI,
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM TEGETA.
TUNAFANYA KAZI MIKOA YOTE TANZANIA BARA NA VISIWANI ZANZIBAR.
0658517022.
 
Umeme ukikatika inakuwaje?
Itakuwaje umeme ukikata?
Gate motor inakuwa na battery 2 kwa SMART na battery moja kwa EVO zitakazokuwezesha kuendelea na shughuli za kufungua na kufunga geti lako hadi mara si chini ya mara 150. n zitakuwa na power saving model itakayopnguza speed ya geti ili kukupa muda mrefu wa ku operate na vilevile kuna manual model pale gate motor itakapopata hitilafu bado utaweza ku switch kuendelea kufungua geti manually kipindi motor inarekebishwa.
 
1000030029.jpg

Zinaitwa mini au spy camera.

hizi zipo boss. Lakini kwenye kuzifunga huwa sisi hatufungi hizi.
Kwa nini hatuzifungi?
ni kwa sababu ni camera za siri,zinweza kuingilia faragha ya mtu na hii kisheria si sawa.


Lengo la Camera za ulinzi ni zionekane na mtu awe na tahadhari ya uwezo wa Camera na zionekane.
 
65,000 boss. Hizi ni wired,utahtaji kupata dvr ya kulingana na idadi ya camera utakazoweka, dvr zipo za njia 4,8,16 hadi 32.

Zinaonyesha picha 1080p lakin ni ngumu kuzigundua Camera ilipofungwa.
Bei ya DVR 4ch hutegemea na kampuni kwa top brands kama hik na dahua huwa ni 120,000 4ch dvr (hii bila hard disk)
Kwa hard disk pia zipo za 500gb,1 tb,2 tb n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom