Fahamu utofauti uliopo Kati ya CCTV camera aina ya IP CCTV na Analogy CCTV

Apr 29, 2019
68
82
TOFAUTI KATI YA IP CAMERA NA ANALOGY CAMERA

ANALOGY CCTV CAMERA

CCTV kirefu chake ni Closed-Circuit Television,Ni mfumo wa kukusanya taarifa za picha za video katika eneo Fulani kwa kutumia camera za video katika Idadi flani.

images (2).jpeg

Kwa kawaida taarifa hizi za picha za CCTV ambayo Ni analogy huenda kuhifadhi katika kifaa kinacho itwa Digital Video Recorders (DVRs).

Muda wa kuhifadhi na size ya taarifa kukusanywa itategemeana na size ya storage iliyopo.

CCTV camera kwa ujumla zile za analogy na digital kwa Sasa zimeongezewa teknolojia ya kutambua kitu kinacho jongea (motion detector),na pia zimepewa uwezo wa kupiga alarm au kutuma ujumbe katika email au ujumbe mfupi (sms),pale zinapo hisi Kuna kitu kinajongea au kusogelea eneo husika.

CCTV camera za analogy,techolojia yake ni ya muda kidogo,camera hizi huweza kuona picha za rangi kwa mchana na huona picha ya black and white usiku,ila zipo za bei rahisi zaidi ambazo huweza kuonesha picha ambazo Ni black and white muda wote yaani usiku na mchana.

JINSI CCTV CAMERA AMBAYO NI ANALOGY INAVYOFANYA KAZI

CCTV camera ya analogy,hurecord taarifa za video katika mfumo wa analogy,nakuzipeleka taarifa hizo katika kifaa kinachoitwa (DRV),kwa ajili ya kugeuzwa kuwa katika mfumo wa kidigitali ili DVR iweze kuitunza taarifa hiyo kwa matumizi zaidi.

images (4).jpeg

FAIDA ZA ANALOGY CCTV CAMERA

1.Ni bei rahisi kuinunua
2.Inasaidia kupata taarifa ya matukio kwa mfumo wa video
3.Unaweza kufatilia matukio yanayotokea eneo lako ukiwa,popote Duniani.
4.Rahisi kuunganisha

HASARA ZA CCTV ANALOG CAMERA

1.Inachukua video eneo dogo KULINGANISHA na IP camera.
2.Inatumia DVR,hivyo inatakiwa uunge Idadi ya camera kulingana na Idadi ya port za camera katika DVR.
3.Inatumia cable na vifaa vingi kuunganisha.
4.Picha yake Ni ya pixel ndogo ukilinganisha na IP camera.

DIGITAL CCTV CANERA/ IP CAMERAs

Internet Protocal Camera (IP Camera),Ni camera za mfumo wa kidigitali katika teknolojia ya CCTV,Ni kamera ambazo hutumika katika ulinzi na usalama,au ukusanyaji wa taarifa za video.

images (1).jpeg

Lakini tofauti na CCTV za analogy, camera hizi hupokea taarifa na kuzitafsiri katika mfumo wa kidigitali zenyewe na kuzituma moja kwa moja katika IP network,hii ikiwa na maana haitegemei local recordingdevice(DVRs),kugeuza taarifa yake kwenda digitali.

Camera za IP huhitaji uwepo wa Local Network au internet katika eneo husika kwa ajili ya usafirishaji wa taarifa hizo,katika vifaa vya kutunzia au kutizamia picha,iwe computer,TV,au Smartphone,pia network hii husaidia katika kuzifikia taarifa za camera katika kuweza kuiratibu.

Kuna IP camera ambazo huhitaji pia msaada wa kifaa kinachoitwa Network Video Recorder (NVR),kuweza kusimamia utunzaji wa kumbukumbu za picha za video na kuratibu alarm.

Ila nyingine hazihitaji NVR,sababu zinaweza kurecord zenyewe kwa storage zake au kuweza kutuma taarifa ya video za picha katika storage iliyo mbali.

IP CAMERA INAVYOFANYA KAZI.

IP camera hukamata picha,na kuzipunguza ukubwa wake bila kuharibu ubora na kuzisafirisha taarifa hizo katika mifumo ya network iliyoungwa nayo Kama vile Wi-Fi router, Ethernet,au broadband modem.

images (3).jpeg

FAIDA YA IP CAMERA KULINGANISHA NA CCTV CAMERA.

1.Zina picha yenye mwonekano mzuri zaidi,yaani Ina pixel kubwa,ambayo inakuwezesha kuona details ndogo ndogo,mfano plate namba za gari n.k

2.Haihitaji waya nyingi katika kuunganisha (installation),inaungwa kwa kutumia Ethernet cable,ambyo pia huipa nishati moja kwa moja,hivyo haihitaji waya ya power supply.

3.Unaweza kuifunga kwa muda au moja kwa moja

4.Inaruhusu mfumo wa kutanua picha (zooming bila kuharibu ubora wa picha).

5.Nirahisi kuziratibu ukiwa popote Duniani,ilimradi kuwe na uwepo wa internet.

6.Haihitaji vifaa vingi kuifunga.

7.Inachukua picha katika eneo kubwa Mara Tatu ya analogy camera.

8.Unaweza kuzifunga nyingi bila kizuizi Cha ports,ambacho kipo katika analogy CCTV camera.

HASARA ZA IP CAMERA

1.Ni gharama kuinunua
SPROUTGIGS
 
TOFAUTI KATI YA IP CAMERA NA ANALOGY CAMERA

ANALOGY CCTV CAMERA

CCTV kirefu chake ni Closed-Circuit Television,Ni mfumo wa kukusanya taarifa za picha za video katika eneo Fulani kwa kutumia camera za video katika Idadi flani.

View attachment 1688940

View attachment 1688941

View attachment 1688946

View attachment 1688947

somo zuri sana
 
Somo zuri sana unaweza kuelezea namna ya kuangalia matukio kupitia simu ya mkononi unafanyaje ? Je kupitia kwenye computer unafanyaje?
 
Inategemeana na mahitaji yako,ukifunga system ya camera ambayo utataka kua onaona kinacho endelea kupitia simu yako au computer popote duniani,unaunga mfumo katika mtandao wa internet.

Kifaa kinachoitwa router hufanya kazi hiyo.

Wewe kwenye simu,au computer unapakua tu application ya camera zako Basi unakua unaona.
 
Haujatuambia ni apps zipo
 
TOFAUTI KATI YA IP CAMERA NA ANALOGY CAMERA

ANALOGY CCTV CAMERA

CCTV kirefu chake ni Closed-Circuit Television,Ni mfumo wa kukusanya taarifa za picha za video katika eneo Fulani kwa kutumia camera za video katika Idadi flani.

View attachment 1688940

Kwa kawaida taarifa hizi za picha za CCTV ambayo Ni analogy huenda kuhifadhi katika kifaa kinacho itwa Digital Video Recorders (DVRs).

Muda wa kuhifadhi na size ya taarifa kukusanywa itategemeana na size ya storage iliyopo.

CCTV camera kwa ujumla zile za analogy na digital kwa Sasa zimeongezewa teknolojia ya kutambua kitu kinacho jongea (motion detector),na pia zimepewa uwezo wa kupiga alarm au kutuma ujumbe katika email au ujumbe mfupi (sms),pale zinapo hisi Kuna kitu kinajongea au kusogelea eneo husika.

CCTV camera za analogy,techolojia yake ni ya muda kidogo,camera hizi huweza kuona picha za rangi kwa mchana na huona picha ya black and white usiku,ila zipo za bei rahisi zaidi ambazo huweza kuonesha picha ambazo Ni black and white muda wote yaani usiku na mchana.

JINSI CCTV CAMERA AMBAYO NI ANALOGY INAVYOFANYA KAZI

CCTV camera ya analogy,hurecord taarifa za video katika mfumo wa analogy,nakuzipeleka taarifa hizo katika kifaa kinachoitwa (DRV),kwa ajili ya kugeuzwa kuwa katika mfumo wa kidigitali ili DVR iweze kuitunza taarifa hiyo kwa matumizi zaidi.

View attachment 1688941

FAIDA ZA ANALOGY CCTV CAMERA

1.Ni bei rahisi kuinunua
2.Inasaidia kupata taarifa ya matukio kwa mfumo wa video
3.Unaweza kufatilia matukio yanayotokea eneo lako ukiwa,popote Duniani.
4.Rahisi kuunganisha

HASARA ZA CCTV ANALOG CAMERA

1.Inachukua video eneo dogo KULINGANISHA na IP camera.
2.Inatumia DVR,hivyo inatakiwa uunge Idadi ya camera kulingana na Idadi ya port za camera katika DVR.
3.Inatumia cable na vifaa vingi kuunganisha.
4.Picha yake Ni ya pixel ndogo ukilinganisha na IP camera.

DIGITAL CCTV CANERA/ IP CAMERAs

Internet Protocal Camera (IP Camera),Ni camera za mfumo wa kidigitali katika teknolojia ya CCTV,Ni kamera ambazo hutumika katika ulinzi na usalama,au ukusanyaji wa taarifa za video.

View attachment 1688946

Lakini tofauti na CCTV za analogy, camera hizi hupokea taarifa na kuzitafsiri katika mfumo wa kidigitali zenyewe na kuzituma moja kwa moja katika IP network,hii ikiwa na maana haitegemei local recordingdevice(DVRs),kugeuza taarifa yake kwenda digitali.

Camera za IP huhitaji uwepo wa Local Network au internet katika eneo husika kwa ajili ya usafirishaji wa taarifa hizo,katika vifaa vya kutunzia au kutizamia picha,iwe computer,TV,au Smartphone,pia network hii husaidia katika kuzifikia taarifa za camera katika kuweza kuiratibu.

Kuna IP camera ambazo huhitaji pia msaada wa kifaa kinachoitwa Network Video Recorder (NVR),kuweza kusimamia utunzaji wa kumbukumbu za picha za video na kuratibu alarm.

Ila nyingine hazihitaji NVR,sababu zinaweza kurecord zenyewe kwa storage zake au kuweza kutuma taarifa ya video za picha katika storage iliyo mbali.

IP CAMERA INAVYOFANYA KAZI.

IP camera hukamata picha,na kuzipunguza ukubwa wake bila kuharibu ubora na kuzisafirisha taarifa hizo katika mifumo ya network iliyoungwa nayo Kama vile Wi-Fi router, Ethernet,au broadband modem.

View attachment 1688947

FAIDA YA IP CAMERA KULINGANISHA NA CCTV CAMERA.

1.Zina picha yenye mwonekano mzuri zaidi,yaani Ina pixel kubwa,ambayo inakuwezesha kuona details ndogo ndogo,mfano plate namba za gari n.k

2.Haihitaji waya nyingi katika kuunganisha (installation),inaungwa kwa kutumia Ethernet cable,ambyo pia huipa nishati moja kwa moja,hivyo haihitaji waya ya power supply.

3.Unaweza kuifunga kwa muda au moja kwa moja

4.Inaruhusu mfumo wa kutanua picha (zooming bila kuharibu ubora wa picha).

5.Nirahisi kuziratibu ukiwa popote Duniani,ilimradi kuwe na uwepo wa internet.

6.Haihitaji vifaa vingi kuifunga.

7.Inachukua picha katika eneo kubwa Mara Tatu ya analogy camera.

8.Unaweza kuzifunga nyingi bila kizuizi Cha ports,ambacho kipo katika analogy CCTV camera.

HASARA ZA IP CAMERA

1.Ni gharama kuinunua
Asante Mkuu umenifunua akili kidogo
 
Je kuna gharama za kulipia kwa mwezi?
 
Gharama zako zikoje kwa kila aina ya mfumo (kati ya hiyo mifumo miwili).
 
Hiyo analogy kwa camera nne zenye mfumo wa live na quality Ni Kati ya 1.6m Hadi 1.8m complete na labour charge

Hiyo IP kwa camera moja yenye mfumo wa live na NVR,quality ya 4megapixel Ni Kati ya 2.4 Hadi 2.6 complete na labour charge
 
Shule nzuri, ingawa mimi si mtaalamu wa IT, nadhani kwa maelezo yako ya IP camera, ukiacha gharama za kununua pia ni Gharama kuiendesha.
 
Kwasasa gharama za IP camera zimeshuka sana na hutofautiana kiasi kidogo na analog kamera.
Ndiyo maana kwasasa, tunashauri ufunge IP camera badala ya analog camera. IP camera represent the future.
 
naomba brief kidogo ya gharama ya both,nahitaji kufunga moja wapo kwenye biashara yangu
 
Back
Top Bottom