mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,268
nahakika Kim hato acha marekani wale bata wakati kwake kunashambuliwa hope hata marekani watapopolewaAdvantage aliyonayo USA(kama vita otapiganwa) ni kwamba vita itapiganwa Korea na sio america so either way Korea watapata hasara sana