USA vs N.Korea Military Power

USA vs N.Korea Military Power

Chanzo: Wakati wa Vita ya Pili ya Dunia Urusi (USSR) iliikomboa sehemu ya Korea ya Kaskazini na Marekani sehemu ya Kusini kutoka katika utawala wa Japan. Kutokana na tofauti za kiitikadi nchi mbili zikaundwa North Korea ikafuata itikadi za Kikomunisti kama Urusi na South Korea Ubepari kama US. Mwaka 1950 North wakavamia South ili kuiunganisha iwe Korea moja lakini ya Kikomunisti. US ikaingia vitani kuisaidia South Korea na kuzuia kusambaa kwa itikadi ya Kikomunisti. North Korea ilipata support ya China na Urusi (USSR). Mwaka 1953 wakasitisha mapigano, zikabaki North na South Korea zenye itikadi tofauti. US ikaendelea kufanya mambo kuudhoofisha utawala wa Kikomunisti Korea.

Pia,mwaka 1970 Mataifa mbalimbali (yakiwemo US,UK na Urusi) yalifanya Kongamano kuhusu Nyuklia (Non Proliferation Treaty) na kusaini mkataba wa kuzuia majaribio na utengenezaji wa silaha za nyuklia. Mataifa mengi yalisaini mkataba ikiwemo North Korea. Nchi ambazo hazijasaini ni India, Pakistani, Israel na Sudan ya Kusini. Baadae North Korea wakaanza kutengeneza silaha za Nyuklia ndipo shida ilipoanza. Mwaka 2003 wakajitoa kwenye huo mkataba wa NPT. lengo la NPT ni kuzuia nchi nyingine kutengeza silaha za nyuklia.

Nani mchokozi inategemea na mtazamo wako pia, NK amechallenge status quo na pia kutokuwa na uwazi, iitikadi zake kisiasa hazifurahishi nchi za Magharibi kwa hiyo anakemewa na vikwazo vingi. Kumbuka India, Pakistani na Israel wana silaha za Nyuklia lakini hawajawekewa pingamizi kama NK na Irani.
Ahsante nimepata mwanga, hongera nashukru umegawa elimu kwa wengi ambao tunashabikia mambo bila kujua chanzo.
 
Mkuu mimi natofautiana kidogo na maoni yako, kitu cha kwanza Wakorea siyo wajinga kusema wanaweza kurusha makombora yao kama projecticle za kawaida ambazo flight path zake ni highly predictable - Koreans knows how to defeat/beat American anti missile MISSILE in other words American Intergrated Defence System can be beaten, hivi kweli Wakorea wapoteza mabillion ya fedha zao kwenye Research and Development za kuhunda Balistic Missiles zinazoweza kuwa intercepted kirahisi na system za Wamerikani? Come on - Korean Rocket Scientists are no VILAZAS kumbuka hakuna Physics za Kimerikani au Physics za Kikorea zote zinafuata Same basic principles hisipokuwa what counts is how you tinker around na systems zako ku-defeat adui yako basi - hii dhana iliyo jengeka hapa kwamba somehow Wamerika wanatumia nadharia za kisayansi za kutoka mbinguni ambazo Mataifa mengine awana uwezo wa kuzitumia au kuziboresha zaidi hiyo si kweli hata kidogo - hizo ni lugha za wanasiasa na wanajeshi siyo Scientific Community hao ndiyo wanajua ukweli na hawasukumwi na itikadi za ukomunism/socialism na Capitalism au nadharia ya vita baridi - wanasayansi mara zote usema ukweli na mimi nawaeleza ukweli.

Naona hapa unasema Wakorea hawawezi kuhunda ICBMs zinazo weza kuruka mpaka Marekani bila ya kuwa intercepted in mid flight na System za Kimerikani - who told you that? Wakorea wana mbinu nyingi za kudeliver Thermonuclear Payloads mpaka kwenye aridhi ya USA mojawapo ikiwa ni hiyo ya kutumia ICBMs zenye uwezo wa kubadirisha badirisha mwerekeo na hivyo kuwa viguma kuzi track down na kuzi-intercept, mbinu nyingine ambayo ni more deadly ni hii ya kutumia submarine zinazo endeshwa na Dizeli injinis zikishirikiana na electric motors, submarine za type hii hazina kelele hata kidogo, si rahisi kugundurika sina ahakika kila submarini wame-install tubes ngapi zi kufyatulia SLBM lakini aziwezi kuwa chini nane - Wakorea watakacho fanya ni kusafirisha submarini hizo mpaka karibu na West Coast ya USA wakipata amri ya kuvurumisha Submarine Lauched Ballistic Missiles miji yote ambayo ipo within range ya missiles itateketea kutokana na makombora hayo ya nuclear, kumbuka range ya makombora hayo ni kuanzia 1500Km mpaka 2500Km - je, umbali wa kutoka West Caost Mpaka East Coast ya USA ni wa umbali gani - watu watasema hii haiwezekani Amerika ina ulinzi mkali ukiwauliza ilikuwaje tena ndege nne za abiria kuendelea kubaki kwenye anga lao huku zimezima transponders, wamepata taarifa kwamba zimetekwa na magaidi, zinabamizwa moja baada ya nyingine kwenye majengo muhimu lakini jeshi la anga la marekani hawafanyi lolote - je, makombora ya Wakorea si ndiyo yataleta balaa zaidi.

Haya tuje kwenye kwenye THAAD System unazo sema kwamba hakuna kinacho weza kukatiza katika anga zake - una ukweli gani na unacho kisema hapa? - Binafsi sisemi mengi tafuta kwa wakati wako usome kwa umakini makombora ya Urusi na Uchina aina ya Hypersonic speed Missiles e.g Russian 3M22 Zircon na Chinese WU-14 kama kweli system ya THAAD ina uwezo wa kutrack na kuharibu silaha hizo hatari in realtime - tafuta taarifa hizo kutoka huko huko Marekani usikie Wanasayansi, Majenerali na watu wengine weledi wanasema nini kuhusu makombora hayo hatari ya Warusi - version ya kwanza ilifanyiwa majaribio na kufanikiwa ku-hit target zilizo kuwa ambali wa zaidi ya 2,600Km at hypersonic speed,version mpya ya short range imefanyiwa majaribio mwezi March kama sikosei, kama unafikiri THAAD ina uwezo wa ku-defeat a vehicle travelling at Mach5/6 think again - Taifa la Marekani na Washirika wao wako overly worried na makombora hayo hatari ambayo awana kinga ya kuyadhibiti, hivi sasa Amerika nao wako mbioni kufuata nyayo za Warusi na Wachina lakini they still have a long way to go.

Nimalizie kwa kugusia EMP weapons/generators, mkuu mtu yeyote aliyesoma Solid State Physics na Electronics anajua EMP haziana uwezo wa kuharibu system/circuits zinazo tumia Thermoionic Valves, EMP uharibu systems zinazo incorporate semi conductors siyo valves ndiyo maana watu weledi kwenye mission critical systems ziwe silaha, fixed wing planes au choppers wanaweka systems ambazo haziwe kuharibiwa na EMP weapons/generators, Koreans knows that fact si mbumbumbu - huo ndio mchango wangu.
Aisee.....vichwa kama hiv jpm avipe vitengo vikubwa kwenye maabara yetu ya kijesh....aisee ww n mwanasayans haswaa...kwel tunapaswa tuwekeze kwenye research aiseee
 
Labda niwawulize. Mlishawahi kuona display ya zana za USA? Hana mbwembwe kama za akina kiduku
Hata kwa Saadam watu walidai hivyo bt ukwel nikwamba marekani wako ulimwengu mwingine kwenye maswala ya kivita style pekee ambayo utawasumbua labda utumie mbinu za kigaidi hapo mutasumbuana kidoogo........anac
 
Hili swala la kusema eti North Korea ametengwa binafsi naona ni uongo kwasababu zifuatazo
(1)Juzijuzi tu ndo china ilizirudisha meli za North Korea zikiwa zimepeleka makaa ya mawe kuyauza china. Mwenye akili ajiulize, utasemaje North Korea ametengwa huku akiendelea kufanya biashara na China yenye uchumi wa 2 kwa ukubwa duniani? Mimi naamini kama china ataanza kuweka mbinyo wa Kiuchumi kwa North Korea basi hata miaka 3 haitoisha utawala wa Kim utafail.
Hakuna taifa lolote duniani lenye uwezo wa kujitegemea hata USA au China hawawezi
(2)Kuhusu technology ya North Korea kutengeneza makombora ya Nyuklia, je how sure are you kama Wachina hawahusiki? Huenda hayo makombora yametengenezwa kwa usaidizi wa China na Urusi, but not sure.
(3)Naona kwa sasa tunaziona South Korea na Japani kama wachovu wasio jiweza kijeshi. Je, hivi tunafikili hao Wajapani hawana technology ya kutengeneza hayo Makombora ya Nyuklia? Huenda tu wanaheshimu mikataba ya kimataifa, ila endapo vitisho vya North Korea vitaendelea kwa Wajapani huenda nao wakaanza kutengeneza hayo Makombora ili kujihami.
 
Mkuu ametengwa na nchi za magharib na mshirika wao usa
 
Halafu humu kuna watu wanajidanganya eti watakao athilika na hii vita ni Japan na Seoul......
Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Japan kivita? No way....Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Seoul kivita? No way....
Hao wajapan na SK hawataki tu show off na wanatoka USA ndo ionekane mwanzilishi wa hii vita but in reality NK watatafuta sn pakujificha
ujue hata mi nilikua najiuliza hivi hata Japan leo ni yakufananishwa na vitu vya kijinga kabisa!!?
 
Hili swala la kusema eti North Korea ametengwa binafsi naona ni uongo kwasababu zifuatazo
(1)Juzijuzi tu ndo china ilizirudisha meli za North Korea zikiwa zimepeleka makaa ya mawe kuyauza china. Mwenye akili ajiulize, utasemaje North Korea ametengwa huku akiendelea kufanya biashara na China yenye uchumi wa 2 kwa ukubwa duniani? Mimi naamini kama china ataanza kuweka mbinyo wa Kiuchumi kwa North Korea basi hata miaka 3 haitoisha utawala wa Kim utafail.
Hakuna taifa lolote duniani lenye uwezo wa kujitegemea hata USA au China hawawezi
(2)Kuhusu technology ya North Korea kutengeneza makombora ya Nyuklia, je how sure are you kama Wachina hawahusiki? Huenda hayo makombora yametengenezwa kwa usaidizi wa China na Urusi, but not sure.
(3)Naona kwa sasa tunaziona South Korea na Japani kama wachovu wasio jiweza kijeshi. Je, hivi tunafikili hao Wajapani hawana technology ya kutengeneza hayo Makombora ya Nyuklia? Huenda tu wanaheshimu mikataba ya kimataifa, ila endapo vitisho vya North Korea vitaendelea kwa Wajapani huenda nao wakaanza kutengeneza hayo Makombora ili kujihami.

NK imetengwa na Jumuiya ya Kimataifa a.k.a Marekani, Ulaya na washirika wao na Taasisi zao za Kifedha kama IMF, World Bank n.k. Nchi kama China, Urusi, Irani na nyingine zina misimamo yao tofauti na hiyo Jumuiya ya Magharibi. Hivyo huwa zinashirikiana kati yao, kama hivyo NK na China, Iran na Urusi n.k.
 
Mkuu mimi natofautiana kidogo na maoni yako, kitu cha kwanza Wakorea siyo wajinga kusema wanaweza kurusha makombora yao kama projecticle za kawaida ambazo flight path zake ni highly predictable - Koreans knows how to defeat/beat American anti missile MISSILE in other words American Intergrated Defence System can be beaten, hivi kweli Wakorea wapoteza mabillion ya fedha zao kwenye Research and Development za kuhunda Balistic Missiles zinazoweza kuwa intercepted kirahisi na system za Wamerikani? Come on - Korean Rocket Scientists are no VILAZAS kumbuka hakuna Physics za Kimerikani au Physics za Kikorea zote zinafuata Same basic principles hisipokuwa what counts is how you tinker around na systems zako ku-defeat adui yako basi - hii dhana iliyo jengeka hapa kwamba somehow Wamerika wanatumia nadharia za kisayansi za kutoka mbinguni ambazo Mataifa mengine awana uwezo wa kuzitumia au kuziboresha zaidi hiyo si kweli hata kidogo - hizo ni lugha za wanasiasa na wanajeshi siyo Scientific Community hao ndiyo wanajua ukweli na hawasukumwi na itikadi za ukomunism/socialism na Capitalism au nadharia ya vita baridi - wanasayansi mara zote usema ukweli na mimi nawaeleza ukweli.

Naona hapa unasema Wakorea hawawezi kuhunda ICBMs zinazo weza kuruka mpaka Marekani bila ya kuwa intercepted in mid flight na System za Kimerikani - who told you that? Wakorea wana mbinu nyingi za kudeliver Thermonuclear Payloads mpaka kwenye aridhi ya USA mojawapo ikiwa ni hiyo ya kutumia ICBMs zenye uwezo wa kubadirisha badirisha mwerekeo na hivyo kuwa viguma kuzi track down na kuzi-intercept, mbinu nyingine ambayo ni more deadly ni hii ya kutumia submarine zinazo endeshwa na Dizeli injinis zikishirikiana na electric motors, submarine za type hii hazina kelele hata kidogo, si rahisi kugundurika sina ahakika kila submarini wame-install tubes ngapi zi kufyatulia SLBM lakini aziwezi kuwa chini nane - Wakorea watakacho fanya ni kusafirisha submarini hizo mpaka karibu na West Coast ya USA wakipata amri ya kuvurumisha Submarine Lauched Ballistic Missiles miji yote ambayo ipo within range ya missiles itateketea kutokana na makombora hayo ya nuclear, kumbuka range ya makombora hayo ni kuanzia 1500Km mpaka 2500Km - je, umbali wa kutoka West Caost Mpaka East Coast ya USA ni wa umbali gani - watu watasema hii haiwezekani Amerika ina ulinzi mkali ukiwauliza ilikuwaje tena ndege nne za abiria kuendelea kubaki kwenye anga lao huku zimezima transponders, wamepata taarifa kwamba zimetekwa na magaidi, zinabamizwa moja baada ya nyingine kwenye majengo muhimu lakini jeshi la anga la marekani hawafanyi lolote - je, makombora ya Wakorea si ndiyo yataleta balaa zaidi.

Haya tuje kwenye kwenye THAAD System unazo sema kwamba hakuna kinacho weza kukatiza katika anga zake - una ukweli gani na unacho kisema hapa? - Binafsi sisemi mengi tafuta kwa wakati wako usome kwa umakini makombora ya Urusi na Uchina aina ya Hypersonic speed Missiles e.g Russian 3M22 Zircon na Chinese WU-14 kama kweli system ya THAAD ina uwezo wa kutrack na kuharibu silaha hizo hatari in realtime - tafuta taarifa hizo kutoka huko huko Marekani usikie Wanasayansi, Majenerali na watu wengine weledi wanasema nini kuhusu makombora hayo hatari ya Warusi - version ya kwanza ilifanyiwa majaribio na kufanikiwa ku-hit target zilizo kuwa ambali wa zaidi ya 2,600Km at hypersonic speed,version mpya ya short range imefanyiwa majaribio mwezi March kama sikosei, kama unafikiri THAAD ina uwezo wa ku-defeat a vehicle travelling at Mach5/6 think again - Taifa la Marekani na Washirika wao wako overly worried na makombora hayo hatari ambayo awana kinga ya kuyadhibiti, hivi sasa Amerika nao wako mbioni kufuata nyayo za Warusi na Wachina lakini they still have a long way to go.

Nimalizie kwa kugusia EMP weapons/generators, mkuu mtu yeyote aliyesoma Solid State Physics na Electronics anajua EMP haziana uwezo wa kuharibu system/circuits zinazo tumia Thermoionic Valves, EMP uharibu systems zinazo incorporate semi conductors siyo valves ndiyo maana watu weledi kwenye mission critical systems ziwe silaha, fixed wing planes au choppers wanaweka systems ambazo haziwe kuharibiwa na EMP weapons/generators, Koreans knows that fact si mbumbumbu - huo ndio mchango wangu.

Mkuu umeongea point,

Missile Defense System ya US haijakaa vizuri, hata baadhi ya wataalamu huko wanahoji ufanisi wake. Kuna uwezekano wa kushindwa kuzuia makombora hasa ICBM zikipigwa kuelekea US. NK wameweza kudevelop ICBM zao lakini sidhani zipo advanced vya kutosha kama za China au Russia. bado kuna mengi ya kujifunza. Kwa kiasi fulani bado hawajafikia uwezo wa nchi kama China au Russia katika kuipiga US kwa ICBM.

Kuhusu submarine sidhani kama NK ana chance kubwa ya kukaribia coast ya US bila kujulikana. Kumbuka US ilijizatiti sana kukabili submarine za USSR na sasa Russia ambazo kiteknolojia na kijeshi zimeendelea zaidi kuliko za NK.

Hofu kubwa kwa mtazamo wangu, ni usalama wa washirika wa US yaani South Korea na Japan (ambao NK anawafikia kirahisi); na NK kupata uwezo mkubwa (kama wa China au Russia) katika silaha za nyuklia na makombora.
 
Halafu humu kuna watu wanajidanganya eti watakao athilika na hii vita ni Japan na Seoul......
Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Japan kivita? No way....Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Seoul kivita? No way....
Hao wajapan na SK hawataki tu show off na wanatoka USA ndo ionekane mwanzilishi wa hii vita but in reality NK watatafuta sn pakujificha

NK waliwahi kuivamia South Korea mwaka 1950 wakaikamata waunde Korea Moja. US ikapinga hilo ikapeleka majeshi kuisaidia South. Mwaka 1953 vita iliisha baada ya majeshi ya NK kuretreat mpaka kwenye mipaka wao. Kwa hiyo US ikaweka majeshi yake South Korea mpaka leo wakishirikiana na South.

Japan baada ya Vita Kuu ya pili walibaki na jeshi la kujilinda tu. Miaka ya hapa karibuni wamezidi kujidhatiti zaidi ingawa hawana silaha za nyuklia kama jirani yao.

Wakishirikiana na mshirika wao US, South na Japan wanaweza kumpiga NK lakini watapata hasara kubwa sana ya kuharibiwa miundo mbinu yao na watu wengi kufa. Kumbuka majiji kama Seoul na Tokyo yana watu zaidi ya 6M.
 
Yani kwaakili yako yote huo ndo utafiti unaoona unamuwezesha N Korea kumpiga Marekani. Wewe utakuwa sijui umetoka pangoni Leo. Ulishaona watu wanakimbilia kwenda N Korea? Simply hawa N korea wanachezea kiberiti ndo maana Dunia inawaonya 'USA' akiwa kiongozi. Kwasababu wakiamua tuu wanadetonate hydrogen bomb hapo juu ya anga la N Korea na wanarudi back mwaka 1880. Hakuta kuwa na kitu cha umeme kitakachofanya kazi. Just imagine magari hayawaki wala kifaa chochote chenye Nyaya za umeme kitakuwa kimeunguzwa na EMP attack. Welcome to Star Wars 101.

We acha stori za vijiweni za movie za wamarekani kuwapiga vietnam wakati ukweli wake Marekani walipigika vilivyo. Uhasama wa marekani na N. Korea ni tangu mwaka 1950 na ukiona Marekani anbishana bishana na taifa haarakii kuingia vitani uwa anfahamu kilichopo. Afu ishu za vita hazipo kama stori za ali nacha yaani si kwamba kuna taifa lina uwezo kama ule tusemao Mungu anao, eti wakiamua wanenda kupiga kila kitu cha umeme hakifanyi kazi, technologia haipo hivo yaani ina ujuzi wake wa kuizuia au kuizoofisha.

Kama unafuatilia mambo ilikuwa 2013 pale marekani ilipotamba kufanya mazoezi na K. Kusini afu K. Kaskazini ikapinga, marekani alimtanguliza K. Kusini kamwambia chukua majeshi kafanye mazoezi, Korea Kaskazini akaapa kuzamisha meli yoyote itakayoingia maeneo yaliyopangwa kwa mazoezi, umesahau kwamba haukuwa mkwara, meli ilienda ikashambuliwa na kuzamishwa na Wakorea Kusini 50 waliuawa, K. Kusini akamwambia kaka ake Marekani, Marekani akakausha baada ya kuona akili za hawa watu si nzuri.

Toka kuibuka kwa uhasama na uonevu wa kiwango kikubwa kama vile kugawa taifa moja kuwa mawili, Korea Kaskazini, Cuba na Urusi maendeleo ya kwanza katika nchi zao ni silaha, teknolojia ya mapigano, jeshi afya, elimu na siasa za msimamo mkali wa kizalendo, na kati ya hao Korea Kusini ameweza mno.

Kuhusu kutingisha kiberiti, Marekani ndiye anayetingisha kiberiti, N. korea has nothing to loose but US has, since now US is the leading nation in Capitalist World, sasa haya mavita makubwa yanamtindo wa shift of power yakiisha isha, hilo marekani analiingalia kwa umakini sana, isije power ikashift kwa ujerumani, uwa hawatabiriki watafnya nini kesho, au kwa mrusi ambaye anajititi na mengi ambayo ulimwengu haumwelewi ankusudia nini hasa, au China au France au hata power kurudi home kwa UK.

Kingine, N. korea hatishii kwamba ana nyuklia bali anayo kweli tofauti sana na Irani, HII ALIIPATA KIPINDI CHA KUJENGA UKOMUNISTI DUNIANI AMBAPO URUSI ILIMSADIA SANA N. KOREA AWE NAYO NA SASA KAENDELEZA US HAWAJUI KAFIKIA WAPI, HIVO NI MOJA YA MATAIFA YENYE NGUVU KABISA KIJESHI.

Kuhusu vita, marekani akiisadia korea ya kusini alipigana miaka mitatu hapo na kushindwa, yaani kupigwa yeye na korea w kusini, ila vita ilikuwa kwa nyuma kuna mrusi na upande wa pili marekani mwingereza na mfaransa. Usisahau kuwa marekani alipigwa na vietnam mpaka akakimbia, ni vita ya kihistoria marekani kupigwa live yeye mwenyewe pasipo kupitia washirika wake.

La mwisho, kuhusu wale wenye imani ya itikadi ya marekani kutopigania vita nyumbani kwake, katika hili mmefeli sana maana ile hutokea anapopigana na wanyonge si mataifa yenye nguvu. Kwani kama unafuatilia habari kinachomuudhi Marekani ni ile description ya nguvu ya zile misiles zinazojaribiwa na Korea Kaskazini maana hutolea maalezo in reference to US, husema kwa mfano, safari hii najaribu makombora 3 ya masafa ya km... , na hii inaamanisha kama naelekeza US la 1 litatua ufukweni mwa US, kisha la 2 litatua New York, kisha la 3 litapita US na kutua mbali zaidi. Hiyo kauli humwuzi US na ingekuwa ndo nchi mojawapo ya nyonge angekuwa kaivamia muda mrefu sana.

HIVO MAMBO SI RAHISI KAMA TUNAVYO ELEZA HUMU, PIA NGUVU YA NCHI KATIKA VITA NI NGUMU SANA KUIJUA HATA KWA 3% HASA TUNAPOZUNGUMZIA MATAIFA AMBAYO NGUVU ZAO ZINALINGANA. HII YA KWAMBA HUYU ANA MAKOMBORA MANGAPI SIJUI, HII HAIWEZI KUWA KIRAHISI HIVYO INGEKUWA HIVYO HATA UPELELEZI WA KIJESHI UNGEKOSA MAANA. HIZO NI SIRI ZA TAIFA NA NDICHO KINACHOSUMBUA KATIKA MGOGORO HUU.
 
Mkuu umeongea point,

Missile Defense System ya US haijakaa vizuri, hata baadhi ya wataalamu huko wanahoji ufanisi wake. Kuna uwezekano wa kushindwa kuzuia makombora hasa ICBM zikipigwa kuelekea US. NK wameweza kudevelop ICBM zao lakini sidhani zipo advanced vya kutosha kama za China au Russia. bado kuna mengi ya kujifunza. Kwa kiasi fulani bado hawajafikia uwezo wa nchi kama China au Russia katika kuipiga US kwa ICBM.

Kuhusu submarine sidhani kama NK ana chance kubwa ya kukaribia coast ya US bila kujulikana. Kumbuka US ilijizatiti sana kukabili submarine za USSR na sasa Russia ambazo kiteknolojia na kijeshi zimeendelea zaidi kuliko za NK.

Hofu kubwa kwa mtazamo wangu, ni usalama wa washirika wa US yaani South Korea na Japan (ambao NK anawafikia kirahisi); na NK kupata uwezo mkubwa (kama wa China au Russia) katika silaha za nyuklia na makombora.

Mkuu China Isikutishe sana kijeshi hasa katika hayo makombora ya nyuklia, wakati Urusi (USSR wakati huo) inaeneza teknolojia ya nyuklia kwa mataifa machache ya Kikomunisti baada ya kuiwezesha Korea Kaskazini, sasa ikawa zamu ya Cuba ili kuinyamazisha US mwaka 1962 lile tikisiko la amani ya dunia lililoitwa Missile Crisis, baada ya Urusi kukubali kusitisha kupeleka yale makombora na mpango wa kujenga vinu vya kinyuklia Cuba, kuliibuka mgogoro mkubwa sana kati ya China na Urusi, hivyo China hakuwa mfaidika wa teknolojia hii, na hakukuwepo taifa lingine la kuipatia china teknolojia hii kwa sababu China ilikuwa nchi ya kijamaa na hivyo ni Urusi tu ndo wangeweza kuwapatia. China sasa hivi silaha yake KUBWA ni watu, yaani idadi, ndo imekuwa tishio kwa uchumi wa mataifa makubwa hasa unapoingia naye uhasama. kwa sababu ya soko CHINA IKIGEUKIA KUNUNUA BIDHAA TOKA TAIFA FULANI INAWEZA KULIFANYA KUWA TAJIRI NDO MAANA MAREKANI AKAONDOA UHASAMA NA KUANZA KUWEKEZA CHINA. Hivo China imekuwa ni taifa linalogombaniwa kuwa rafiki wa kila taifa kubwa kwa sababu za kiuchumi.

Kama unakumbuka vizuri mwaka 1999 wakati majeshi ya NATO yakiishambulia Yugoslavia kumtoa Slobodani Milosovic yalipiga ubalozi wa China yalivodai kwa bahati mbaya, lakini nafikiri pia ilikuwa kutingisha kiberiti, China iliwaka na kudai iombwe radhi, nakumbuka Marekani ilijibu kihuni kwamba tumetoa maelezo kwamba shambulizi lilikuwa la bahati mbaya na hamna haja ya kurudia kutoa maelezo, hii ni kwa sababu ile nguvu ya China kijeshi ambayo wengi tumeipachikia haina ni PSEUDOPOWER ipatayo kutoka kwa tusio makini na historia ya Dunia.

The same ikatokea 2005 marekani ilishambulia masafara wa barozi wa Italia na kumwua afisa upelelezi wa Italia, wakidai walidhani msafara wa kumtorosha Saadam Hussein, Italia ikakasirishwa na jambo hilo, ikataka maelezo ya msingi, pia askari waliohusika katika tukio hilo wapelekwe italia mashtaka. Marekani chini ya Bushi ilijibu kwa ustaarabu na umakin mkubwa na kuomba radhi juu ya hayo yaliyotokea kisha kuandika maelezo ya kutosha juu ya shambulizi lenyewe na kosa lilitokea.
Nakukumbusha kuwa kuna mataifa yenye nguvu yanayoogopwa si China kama tunavowapamba, China ina nguvu ila Magiants hawahofu mno kama tunavopenda kusema. Mataifa yasiyotabilika na yanaogopwa ni, Urusi, German, Italy, N. korean na Cuba. Sijataja US, UK na France maana husimama upande mmoja kuchokoza wengine. France anjificha kwa US na UK, mataiofa hayamuhofu sana siku zote. Kumbuka sakata la Edward Snowden, ndio maana yeye pia kakimbilia Urusi, nchi nyingine ingepigwa mkwara, ingevamiwa au CIA wangemfuata na kumwulia humohumo, lakini sasa Snowden amepewa kibali cha kuishi na ameajariwa.
 
Jeuri ya USA ni angani tu, ardhini hata sisi tunaweza kuwatoa upepo tu!

Ha ha na hivi tuna wale makomandoo wanalala kwenye misumari na kukunja nondo U.S tunamzaba kama Idd Amin.
 
By the way wasitutishe,kwanza hawana makomando wakunja nondo na wavunja matofali kwa vichwa kama wetu. Sisi tunao watekaji ila wao hawana,Tz tuko juu in short... Bangi kumbe haina madhara
 
Hili swala la kusema eti North Korea ametengwa binafsi naona ni uongo kwasababu zifuatazo
(1)Juzijuzi tu ndo china ilizirudisha meli za North Korea zikiwa zimepeleka makaa ya mawe kuyauza china. Mwenye akili ajiulize, utasemaje North Korea ametengwa huku akiendelea kufanya biashara na China yenye uchumi wa 2 kwa ukubwa duniani? Mimi naamini kama china ataanza kuweka mbinyo wa Kiuchumi kwa North Korea basi hata miaka 3 haitoisha utawala wa Kim utafail.
Hakuna taifa lolote duniani lenye uwezo wa kujitegemea hata USA au China hawawezi
(2)Kuhusu technology ya North Korea kutengeneza makombora ya Nyuklia, je how sure are you kama Wachina hawahusiki? Huenda hayo makombora yametengenezwa kwa usaidizi wa China na Urusi, but not sure.
(3)Naona kwa sasa tunaziona South Korea na Japani kama wachovu wasio jiweza kijeshi. Je, hivi tunafikili hao Wajapani hawana technology ya kutengeneza hayo Makombora ya Nyuklia? Huenda tu wanaheshimu mikataba ya kimataifa, ila endapo vitisho vya North Korea vitaendelea kwa Wajapani huenda nao wakaanza kutengeneza hayo Makombora ili kujihami.
87219cce0a4b7ebe0ee11e36e60eae3d.jpg
 
By the way wasitutishe,kwanza hawana makomando wakunja nondo na wavunja matofali kwa vichwa kama wetu. Sisi tunao watekaji ila wao hawana,Tz tuko juu in short... Bangi kumbe haina madhara

Nimecheck video hapa chini. Nimegundua USA anambwembwe nyingi sana. Kwa upande wa majini N. Korea iko njema sana. Vile vile kwa upande wa nchi kavu N. Korea wapo vizuri kinoma. Nina shawishika kusema kwamba N. Korea ni tishio kubwa sana kwa USA.

Ninathubutu kusema kwamba Trump anapiga mikwara tu. Na isitoshe kuna vifaavingine vingi vya N. Korea hawavijui. Kwa upande wa anga USA wapo vizuri sana lakini wanaweza kuingia N. Korea yenye uwezo mkubwa majini na nchi kavu?
Torpedo Boats and Missile Craft N. Korea zipo 250 wakati USA 0.
Attack Submarine N. Korea 70 wakati USA 55

We acha stori za vijiweni za movie za wamarekani kuwapiga vietnam wakati ukweli wake Marekani walipigika vilivyo. Uhasama wa marekani na N. Korea ni tangu mwaka 1950 na ukiona Marekani anbishana bishana na taifa haarakii kuingia vitani uwa anfahamu kilichopo. Afu ishu za vita hazipo kama stori za ali nacha yaani si kwamba kuna taifa lina uwezo kama ule tusemao Mungu anao, eti wakiamua wanenda kupiga kila kitu cha umeme hakifanyi kazi, technologia haipo hivo yaani ina ujuzi wake wa kuizuia au kuizoofisha.

Kama unafuatilia mambo ilikuwa 2013 pale marekani ilipotamba kufanya mazoezi na K. Kusini afu K. Kaskazini ikapinga, marekani alimtanguliza K. Kusini kamwambia chukua majeshi kafanye mazoezi, Korea Kaskazini akaapa kuzamisha meli yoyote itakayoingia maeneo yaliyopangwa kwa mazoezi, umesahau kwamba haukuwa mkwara, meli ilienda ikashambuliwa na kuzamishwa na Wakorea Kusini 50 waliuawa, K. Kusini akamwambia kaka ake Marekani, Marekani akakausha baada ya kuona akili za hawa watu si nzuri.

Toka kuibuka kwa uhasama na uonevu wa kiwango kikubwa kama vile kugawa taifa moja kuwa mawili, Korea Kaskazini, Cuba na Urusi maendeleo ya kwanza katika nchi zao ni silaha, teknolojia ya mapigano, jeshi afya, elimu na siasa za msimamo mkali wa kizalendo, na kati ya hao Korea Kusini ameweza mno.

Kuhusu kutingisha kiberiti, Marekani ndiye anayetingisha kiberiti, N. korea has nothing to loose but US has, since now US is the leading nation in Capitalist World, sasa haya mavita makubwa yanamtindo wa shift of power yakiisha isha, hilo marekani analiingalia kwa umakini sana, isije power ikashift kwa ujerumani, uwa hawatabiriki watafnya nini kesho, au kwa mrusi ambaye anajititi na mengi ambayo ulimwengu haumwelewi ankusudia nini hasa, au China au France au hata power kurudi home kwa UK.

Kingine, N. korea hatishii kwamba ana nyuklia bali anayo kweli tofauti sana na Irani, HII ALIIPATA KIPINDI CHA KUJENGA UKOMUNISTI DUNIANI AMBAPO URUSI ILIMSADIA SANA N. KOREA AWE NAYO NA SASA KAENDELEZA US HAWAJUI KAFIKIA WAPI, HIVO NI MOJA YA MATAIFA YENYE NGUVU KABISA KIJESHI.

Kuhusu vita, marekani akiisadia korea ya kusini alipigana miaka mitatu hapo na kushindwa, yaani kupigwa yeye na korea w kusini, ila vita ilikuwa kwa nyuma kuna mrusi na upande wa pili marekani mwingereza na mfaransa. Usisahau kuwa marekani alipigwa na vietnam mpaka akakimbia, ni vita ya kihistoria marekani kupigwa live yeye mwenyewe pasipo kupitia washirika wake.

La mwisho, kuhusu wale wenye imani ya itikadi ya marekani kutopigania vita nyumbani kwake, katika hili mmefeli sana maana ile hutokea anapopigana na wanyonge si mataifa yenye nguvu. Kwani kama unafuatilia habari kinachomuudhi Marekani ni ile description ya nguvu ya zile misiles zinazojaribiwa na Korea Kaskazini maana hutolea maalezo in reference to US, husema kwa mfano, safari hii najaribu makombora 3 ya masafa ya km... , na hii inaamanisha kama naelekeza US la 1 litatua ufukweni mwa US, kisha la 2 litatua New York, kisha la 3 litapita US na kutua mbali zaidi. Hiyo kauli humwuzi US na ingekuwa ndo nchi mojawapo ya nyonge angekuwa kaivamia muda mrefu sana.

HIVO MAMBO SI RAHISI KAMA TUNAVYO ELEZA HUMU, PIA NGUVU YA NCHI KATIKA VITA NI NGUMU SANA KUIJUA HATA KWA 3% HASA TUNAPOZUNGUMZIA MATAIFA AMBAYO NGUVU ZAO ZINALINGANA. HII YA KWAMBA HUYU ANA MAKOMBORA MANGAPI SIJUI, HII HAIWEZI KUWA KIRAHISI HIVYO INGEKUWA HIVYO HATA UPELELEZI WA KIJESHI UNGEKOSA MAANA. HIZO NI SIRI ZA TAIFA NA NDICHO KINACHOSUMBUA KATIKA MGOGORO HUU.
Bila shaka na Wewe umemezwa na ngonjera za Mrus na NK unadefend kwA nguvu zote as if ulikuwepo mradi hoja yako ipate mashiko...
 
Back
Top Bottom