Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,873
Nimecheck video hapa chini. Nimegundua USA anambwembwe nyingi sana. Kwa upande wa majini N. Korea iko njema sana. Vile vile kwa upande wa nchi kavu N. Korea wapo vizuri kinoma. Nina shawishika kusema kwamba N. Korea ni tishio kubwa sana kwa USA.
Ninathubutu kusema kwamba Trump anapiga mikwara tu. Na isitoshe kuna vifaavingine vingi vya N. Korea hawavijui. Kwa upande wa anga USA wapo vizuri sana lakini wanaweza kuingia N. Korea yenye uwezo mkubwa majini na nchi kavu?
Torpedo Boats and Missile Craft N. Korea zipo 250 wakati USA 0.
Attack Submarine N. Korea 70 wakati USA 55