NK hamna kitu. Mikwara tu.Bado unaamini Gaddafi na Saddam = na NK kweli? Mruhusuni USA avurumishe makombora ndio ujue "Style wanayoijua wao" maana yake ni nini. Kumbuka ni nusu karne sasa wanazoza tu.
Jeuri ya USA ni angani tu, ardhini hata sisi tunaweza kuwatoa upepo tu!
Umepost upupu apa
Nashauri mapank na trump waupange kwanza mkono kama advertise.uko sahihi mkuu, yaani mi nawaza vita ingekuwa inapiganwa kwa ngumi hakika north Korea wange win asubuhi sana maana wako njema kwenye mkono
Katika hili Marekani wachokoziTruth be told, you can't sugarcoat black and say it's pink, it's senseless. NK wangetumia busara za kidiplomasia waombe 'poo' ninachokiona hapa si kuishabikia NK bali kuionea huruma. Kim siku zote anaombwa wayamalize kiutu uzima, yeye anataka tu vita.
Sasa ngoja atiwe adabu iwe fundisho kwa viongozi wanaojifanya wababe.
Ndo mwanzo pakuanzia sio saw na kutojua kabisa.Huwezi kupata taarifa za siri za jeshi tusidanganyane mkuu, ukipata ni zile wanazojua hazina impact hata ukizijua
Rais wa korea alisema hivi marekan atakapo anzisha basi jamaa atadeal naye kisawasawaVita ni hela
Vita ni gharama
Vita ni technics
Vita ni silaha
Kwa muktadha huu bila shaka ni aibu kwa US kupigana na N.K maana anaizidi kila kitu.
Vita ikianza itapiganwa katika ardhi ya N.K ,kwa hiyo shughuli zote za uzalishaji,viwanda na huduma za kijamii zitasimama na hii inamaanisha N.K hawataweza kupigana vita hii kwa muda mrefu bila kuanza kulia lia upungufu wa silaha,chakula,maradhi na madawa.
Kwa upande wa US yeye vita haitafika kwake kwa hiyo shughuli zote za kiuchumi zitaendelea kama kawaida na atapata faida kwa kuwauzia washirika wake silaha (Nato,S.K na Japan) bila kusahau kutest silaha zake mpya.
Mwisho wa siku Kim ataishiwa kunyongwa kama tulivyoona kwa Saddam na Gaddaf (R.i.p)
![]()
Komando wa Us akipiga ngumi moja tu mkorea hainuki mwezi mzimauko sahihi mkuu, yaani mi nawaza vita ingekuwa inapiganwa kwa ngumi hakika north Korea wange win asubuhi sana maana wako njema kwenye mkono
Aliyekwambia vita ni kupigana ngumi nani?kitu makombora.Pyongyang to Washington.Komando wa Us akipiga ngumi moja tu mkorea hainuki mwezi mzima
Kuna mtu kasema hapo eti wakiamua kupigana mkono Us anapigwa ndio nikamjibu vile,Aliyekwambia vita ni kupigana ngumi nani?kitu makombora.Pyongyang to Washington.