USA vs N.Korea Military Power

USA vs N.Korea Military Power

Mie nawaonea huruma South Korea maana damage watakayopata ni kubwa sana.....Us hana cha kupoteza sana.....hiyo Seoul....itapigwa makombora mpaka bac...
Wakati wa vita ya Iraq watu waliionea huruma Kuwait kwamba itapigwa na makombora ya Scud. Lakini makombora yote yalibomolewa kabla hata hayajakaribia mpakani.... Base za US ziko South K na Japan. Nakuhakikishia hakuna kitakachovuka mpaka kutoka NK kwenda kwrnye hizo nchi mbili.
 
Tatizo utafikaje hapo uweze kudondosha bom. Kwanza kwa upande wa Submarine N. Korea wapo njema. Wapo na Submarine Rocket Launcher


Wenzetu wanafikia technologia ya namna sisi bado tumesinsia hata tooth stick tunaagiza toka China
Sijui baba jeska atatusogeza na Sera ya viwanda!
 
US baby, msikilize NK mwenyewe anasema yupo tayari kujilinda, kutetea kwa kujibu mashambulizi yeyote yatakayofanywa na adui yake tena kwa "style wanayoijua wao" ikiwa ni pamoja na kutumia silaha za maangamizi katika hatua za mwanzo kabisa.
Mkazo uweke hapo "Style wanayoijua wao". Achana na story za kupigana.
Maneno yasikuchanganye... Hata wewe mtu akija kukutishia nyumbani kwako na wewe utatoa povu tu... Sadamu Hussen aliongea hata Gadaffi aliongea.
 
Si anasema tu!

Au wewe hujui kusema na kutenda ni vitu tofauti?

Hata Saddam na Ghadaffi walisema sana tu....
Bado unaamini Gaddafi na Saddam = na NK kweli? Mruhusuni USA avurumishe makombora ndio ujue "Style wanayoijua wao" maana yake ni nini. Kumbuka ni nusu karne sasa wanazoza tu.
 
Halafu humu kuna watu wanajidanganya eti watakao athilika na hii vita ni Japan na Seoul......
Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Japan kivita? No way....Kweli Pyongyang inaweza kukabiliana na Seoul kivita? No way....
Hao wajapan na SK hawataki tu show off na wanatoka USA ndo ionekane mwanzilishi wa hii vita but in reality NK watatafuta sn pakujificha
Vita ni pesa kiuchumi tu Japan na South K wako juu sana kiuchumi. Kama wangesema upande m1 utabomolewa kabisa chagua upande wa wewe kuwa, usichague kuwa upande wa NK. Vita ya pili ya dunia 1943 mpaka 45 Marekani ndio aliisambaratisha Japani kwa Nuke, wakati NK sasa hv ndio anajaribu kutengeneza kitu ambacho wenzie walitumia miaka 60 iliyopita halafu kuna watu wanakomaa eti North Korea ni zaidi... Kuweni makini maneno na vituko vya kurusha makombora yasiwapagawishe.
 
Wamesema wakati wa kuivumilia n.korea umekeisha huku North Korea wanasema watatest madude yao kila wiki,mwez na Mwaka, Urusi wao wameonya vikali kuwa tukio lililotokea na kushuhudiwa SYRIA kamwe halitavumilika endapo litatokea KOREA KASKAZINI
SASA USA WANASUBIRI NINI KAMA SIO UOGA WA KUWAOGOPA URUSI
 
Advantage aliyonayo USA(kama vita otapiganwa) ni kwamba vita itapiganwa Korea na sio america so either way Korea watapata hasara sana
Wana MISSILE inayoweza kufika USA,hivi unafikiri N.KOREA pamoja na udogo wa nchi yao wanajiamini nini kuwapiga mikwara ya nguvu USA?

HAWA JAMAA WAONEE KWA MBALI TU.
 
N. Korea kupigana ardhi wako vizuri tupe record yeyote Ile waliyoifanya kupigana Ardhin. Mi nadhani mwenye kujitapa ni N. Korea watapigana mpaka kutumia silah ya mwisho maana yake unajuwa?. Ukipigwa na mwezako kama kuna silah karibu unachukua kutuliza kichapo na kasi ya mpinzan wako
Usisahau kuwa URUSI haiko tayari kuivumilia vitendo kama vilivyotokea SYRIA
 
Wana MISSILE inayoweza kufika USA,hivi unafikiri N.KOREA pamoja na udogo wa nchi yao wanajiamini nini kuwapiga mikwara ya nguvu USA?

HAWA JAMAA WAONEE KWA MBALI TU.
Wanaita INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILE
 
USA ahamie hata NK, tahadhari ni kwamba asianzishe vita tu. Hivi ni wapi NK hajaeleweka?
Kaweza KUPITIA washirika wake waliopo hapo rasi Rasi Korea ikiwa Korea kusini na Japan(kma sijakosea), point inayosubiriwa ni kuwa USA ajaribu kupiga hata risasi yenye madhara kwa N.KOREA hapo ndo utajua faida na uchungu wa HUSTLE za kuhangaika na tafiti za nyuklia Toka Mwaka 1962/63
 
Sasa wewe jamaa.... Mbabe ni nani anaekufuata nyumbani kwako aje akuchape mbele mke na watoto wako au anaekusubiri umfate wewe kwake? Marekani kutokupigania kwake maana yake hakuna mwenye uwezo wa kwenda kuanzishia vita US, yeye ndio anakufuata aje akupe show mbele ya wakwe
Ha ha ha! Bro you've made my day. Tena itakuwa show kweli. Ukisikia mwanaume anafanyiwa kitu cha aibu mbele ya famili ndio kama hivyo. To hell Kim.
 
Hoja kuwa US wanapigania Korea ni mfu kwahi hicho ni kikwazo kwao, kupigania korea maana yake ni kwamba silaa chache tu zitakazoweza kufika uwanja wa vita! Faida pekee walio nayo US ni ushirika toka nato, S.korea na Japani
 
Back
Top Bottom