Vitu Vya kujifunza kutokana na Uimara wa USA

Beberu

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
3,945
7,945
Nawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Marekani imekuwa superpower kwa muda mrefu sana, leo tujifunze vitu vichache toka kwa hili taifa ili vitusaidie kwenye maisha yetu ya kila siku

#1. Kuwa na Mipango thabiti, Hawa jamaa wakitaka kitu Fulani wanaita wataalamu wa eneo husika na kisha kuweka mipango vizuri kabisa baada ya kujiridhisha na kila kitu ikiwemo gharama ya project husika, utaalamu unaotakiwa, muda wa kutimiza project na changamoto zake na back up yake ndo mana utasikia wanasema twende na plan B na utakuta plan B ilishaandaliwa kila kitu including plan yake na sisi tujifunze kuweka mipango yetu kitaalamu kabisa, sio kwa kutumia heresays.

#2. Kuwa mvumilivu maana timing ya mipango huwa ina matter sana katika kuleta matokeo chanya,Katika kitu USA ni pro ni kwenye timing, hawa jamaa unaweza wakosea leo ila wakawa kimya kama hakuna kitu ila kwa ground wanajipanga, utakuta washaanzisha hadi vitengo huko jeshini kwa ajiili ya mission wanayotaka kufanya miaka mitano mbele wakisubiria tu ujichanganye uingie king wapite na kichwa chako,mfano kwa sasa hawa jamaa wanasubiri tu China avunje sheria za UN wamuanzishie shida, ila kwenye maisha yetu tuwe wapole, sio umesikia kuna biashara inalipa wewe ushalipa frame hata hujui vizuri hesabu yake plus uendeshaji wake, jipe muda uitafiti na uifanyie maandalizi sahihi sio kukurupuka

#3. Kuwa ruthless, ukishaanza project yako ifanye kwa ukubwa wote iwe kwa jasho au damu, jitume daily kufikia malengo yako daima, fanya kama USA, hawa jamaa wakiamua project yeyote either iwe kiuchumi au kijeshi ni wanakuwa ruthless Sanaa,Tazama space X inavyochoma pesa nyingi in trial and error mode but yote hii ni katika kutoa kitu perfect, ingekuwa bongo tungesema anachezea pesa za walipa kodi, pia refer walivyompakia mkongo Libya au Iraq, au tazama makampuni yao yanavyofanya vitu kwa ukubwa sanaaa, yan kama hii JF ingekuwa USA hawa jamaa wangekuwa wanawaza kuwa global na sio kuomba funds za wahisani kuiendesha, na sisi kwenye mipango yetu tuwe ruthless iwe mizuri au mibaya, kikubwa fanikisha lengo lako,
“AT THE END RESULTS JUSTIFY THE MEANS’

#4. Kuwa na exit/backup plan katika kila jambo, USA hawa jamaa wanakuwaga na mipango in case kila kitu kikafeli, hawa jamaa kwenye swala la bima hawapo nyuma, huku bongo hata bima ya NHIF hatutaki kukata, hawa jamaa washaanza plan za kwenda mars just in case dunia ikawa haikaliki, just imagine wanawaza siku dunia ikawa haikaliki and wanacreate backup plan lakini sisi hapa bongo hatujiandai kwa emergency kabisa, Inashauriwa kuwa na acc ya emergency fund, na uorodhoshe vitu ambavo ni emergency kwako eg msiba, ugonjwa na kila mwezi jiwekee kias Fulani katika acc hio kulingana na kipato chako, na usitumie pesa hio katika masuala ambayo sio emergency kwako, hio ndo backup plan ambayo unapanga mapema na hukutwi na kitu kwa kushtukiza kwa kuwa sote tunajua hakuna kipya chini ya jua, eg mtu anaposema sikujua kama nitaumwa unajiuliza huyu mtu hajui kama binadamu tunaumwa? Kwann hakuwa na backup? Matokeo yake tukipata emergency moja tu tunakuwa tumeparanganyika jumla, leo una afya what if ukiumwa, una backup? Leo ukiachwa na baby plan yako ni nini?

So guys tuwe na backup plan kwa kila kitu kwenye maisha yetu, kuna watu watasema ada ya mtoto wao imekuja kama emergency hahah,tujiwekee pia akiba yetu ya uzeeni kupitia mifuko kama UTT au hisa za makampuni, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri jiwekee malengo ya kuweka japo 100K kila mwezi katika mifuko ya UTT au hisa, unapofika miaka 65 unakuwa na kama 100M+ (kwa sababu ya compounding interests) hapo utakuwa unavuta mpunga mwingi as dividents . Tuishi kama USA,
“PREPARE FOR THE WORST ALWAYS BECAUSE IT WILL COME”

#5. DIVERSIFY Kwenye hili swala ndipo USA alipowapigia gap USSR wakati USSR wapo busy na silaha na jeshi bila kukumbuka kitu kingine ila USA alikuwa anaenda na kila kitu, leo hii USA ana kampuni kubwa kwenye kila idara kuanzia chakula kwa kina McDonald mpaka kwenye electronics kwa kina Apple, ila Russia wao kitu kikubwa ni jeshi tu, Hata biblia imesema tupande mbegu nyingi mana hatujui zipi zitakubali, ukifungua biashara ikakubali, ikuze kisha tafuta mtaji uweke biashara nyingine isiohusiana na hio kabisa ili uwe safe, kwenye mahusiano na jamii kuwa na ,marafiki wa kila aina, jeshi, shule, Afya Siasa etc

#6. Wapende wanaokupenda, Nchi zote zilizokuwa karibu USA zinaendelea sana compared na zile zilizo mbali nae, Nchi zilizo karibu na China na USA bado zinachechemea (refer N.Korea na S. Korea kama mfano) kwa sababu nchi hizo hazijui kuwapenda wanaowapenda, hapa bongo hakuna barabara ya Mrusi, ila kuna vitu kibao vya USA, kwa hio hata wewe hakikisha kama mkeo anakupenda na wew unampenda kwa kiasi kile kile au Zaidi, ukiona mtu ni muaminifu kwako na wewe kuwa muaminifu kwake

Vingine tutaongeza kwa comments section
Ahsante kwa kusoma mawazo yangu
Ni mimi yule yule,
Beberu J

NB. Ndoto ya kuinunua JF bado ipo, Mexence Melo ategemee kuniona ofisin kwake siku moja

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
na uongo ni mwingi pia
hata zile safari za kwenda sijui mwezini na kwenye sayari zingine ni propaganda za uongo pia
 
Alidai pia ana akiba ya mafuta ya mia 100
Screenshot_20230422-005801.jpg
 
Kwa Nini Dola imfie mikononi ilihali yeye anamipango thabiti?
Screenshot_20230430-113713.jpg
 
Mkuu sisi tuna back up ya akina Zumaridi na Mwamposa.watu wanaamini mafanikio bila kuumiza kichwa wala kufanya kazi.tunaamini kutupiwa mapepo na mokosi lundo.
 
wako vizuri sana pia kwakuwa hawaaamini kwenye uvivu wa kufikiria na kukanyaga mafuta ya nazi ili waendelee na wawe matajiri, infact kwa ma nchi ya kiafrika kwa jinsi yalivyochanganyikiwa itakuwa ngumu sana kupata maendeleo, ndiomaana namkubali sana beberu Donald Trump aliwahi kusema Afrika ni lazima itawaliwe tena ndio inaweza kujitambua na kupata akili vinginevyo ni balaa tupu hakuna rangi tutaacha ona kwa lafhudhi ya chuga
 
Nawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Marekani imekuwa superpower kwa muda mrefu sana, leo tujifunze vitu vichache toka kwa hili taifa ili vitusaidie kwenye maisha yetu ya kila siku

#1. Kuwa na Mipango thabiti, Hawa jamaa wakitaka kitu Fulani wanaita wataalamu wa eneo husika na kisha kuweka mipango vizuri kabisa baada ya kujiridhisha na kila kitu ikiwemo gharama ya project husika, utaalamu unaotakiwa, muda wa kutimiza project na changamoto zake na back up yake ndo mana utasikia wanasema twende na plan B na utakuta plan B ilishaandaliwa kila kitu including plan yake na sisi tujifunze kuweka mipango yetu kitaalamu kabisa, sio kwa kutumia heresays.

#2. Kuwa mvumilivu maana timing ya mipango huwa ina matter sana katika kuleta matokeo chanya,Katika kitu USA ni pro ni kwenye timing, hawa jamaa unaweza wakosea leo ila wakawa kimya kama hakuna kitu ila kwa ground wanajipanga, utakuta washaanzisha hadi vitengo huko jeshini kwa ajiili ya mission wanayotaka kufanya miaka mitano mbele wakisubiria tu ujichanganye uingie king wapite na kichwa chako,mfano kwa sasa hawa jamaa wanasubiri tu China avunje sheria za UN wamuanzishie shida, ila kwenye maisha yetu tuwe wapole, sio umesikia kuna biashara inalipa wewe ushalipa frame hata hujui vizuri hesabu yake plus uendeshaji wake, jipe muda uitafiti na uifanyie maandalizi sahihi sio kukurupuka

#3. Kuwa ruthless, ukishaanza project yako ifanye kwa ukubwa wote iwe kwa jasho au damu, jitume daily kufikia malengo yako daima, fanya kama USA, hawa jamaa wakiamua project yeyote either iwe kiuchumi au kijeshi ni wanakuwa ruthless Sanaa,Tazama space X inavyochoma pesa nyingi in trial and error mode but yote hii ni katika kutoa kitu perfect, ingekuwa bongo tungesema anachezea pesa za walipa kodi, pia refer walivyompakia mkongo Libya au Iraq, au tazama makampuni yao yanavyofanya vitu kwa ukubwa sanaaa, yan kama hii JF ingekuwa USA hawa jamaa wangekuwa wanawaza kuwa global na sio kuomba funds za wahisani kuiendesha, na sisi kwenye mipango yetu tuwe ruthless iwe mizuri au mibaya, kikubwa fanikisha lengo lako,
“AT THE END RESULTS JUSTIFY THE MEANS’

#4. Kuwa na exit/backup plan katika kila jambo, USA hawa jamaa wanakuwaga na mipango in case kila kitu kikafeli, hawa jamaa kwenye swala la bima hawapo nyuma, huku bongo hata bima ya NHIF hatutaki kukata, hawa jamaa washaanza plan za kwenda mars just in case dunia ikawa haikaliki, just imagine wanawaza siku dunia ikawa haikaliki and wanacreate backup plan lakini sisi hapa bongo hatujiandai kwa emergency kabisa, Inashauriwa kuwa na acc ya emergency fund, na uorodhoshe vitu ambavo ni emergency kwako eg msiba, ugonjwa na kila mwezi jiwekee kias Fulani katika acc hio kulingana na kipato chako, na usitumie pesa hio katika masuala ambayo sio emergency kwako, hio ndo backup plan ambayo unapanga mapema na hukutwi na kitu kwa kushtukiza kwa kuwa sote tunajua hakuna kipya chini ya jua, eg mtu anaposema sikujua kama nitaumwa unajiuliza huyu mtu hajui kama binadamu tunaumwa? Kwann hakuwa na backup? Matokeo yake tukipata emergency moja tu tunakuwa tumeparanganyika jumla, leo una afya what if ukiumwa, una backup? Leo ukiachwa na baby plan yako ni nini?

So guys tuwe na backup plan kwa kila kitu kwenye maisha yetu, kuna watu watasema ada ya mtoto wao imekuja kama emergency hahah,tujiwekee pia akiba yetu ya uzeeni kupitia mifuko kama UTT au hisa za makampuni, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri jiwekee malengo ya kuweka japo 100K kila mwezi katika mifuko ya UTT au hisa, unapofika miaka 65 unakuwa na kama 100M+ (kwa sababu ya compounding interests) hapo utakuwa unavuta mpunga mwingi as dividents . Tuishi kama USA,
“PREPARE FOR THE WORST ALWAYS BECAUSE IT WILL COME”

#5. DIVERSIFY Kwenye hili swala ndipo USA alipowapigia gap USSR wakati USSR wapo busy na silaha na jeshi bila kukumbuka kitu kingine ila USA alikuwa anaenda na kila kitu, leo hii USA ana kampuni kubwa kwenye kila idara kuanzia chakula kwa kina McDonald mpaka kwenye electronics kwa kina Apple, ila Russia wao kitu kikubwa ni jeshi tu, Hata biblia imesema tupande mbegu nyingi mana hatujui zipi zitakubali, ukifungua biashara ikakubali, ikuze kisha tafuta mtaji uweke biashara nyingine isiohusiana na hio kabisa ili uwe safe, kwenye mahusiano na jamii kuwa na ,marafiki wa kila aina, jeshi, shule, Afya Siasa etc

#6. Wapende wanaokupenda, Nchi zote zilizokuwa karibu USA zinaendelea sana compared na zile zilizo mbali nae, Nchi zilizo karibu na China na USA bado zinachechemea (refer N.Korea na S. Korea kama mfano) kwa sababu nchi hizo hazijui kuwapenda wanaowapenda, hapa bongo hakuna barabara ya Mrusi, ila kuna vitu kibao vya USA, kwa hio hata wewe hakikisha kama mkeo anakupenda na wew unampenda kwa kiasi kile kile au Zaidi, ukiona mtu ni muaminifu kwako na wewe kuwa muaminifu kwake

Vingine tutaongeza kwa comments section
Ahsante kwa kusoma mawazo yangu
Ni mimi yule yule,
Beberu J

NB. Ndoto ya kuinunua JF bado ipo, Mexence Melo ategemee kuniona ofisin kwake siku moja

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Mkuu unatumua kitu gani hapo killichozalishwa USA, ukiondoa mitandao na software. Naomba uwe mkweli.
 
Wachina wamewezesha TZ watu wengi waweze kutumia simu

Wachina wamewezesha nchi nyingi ziwe na lami kwa bei nafuu.
Wachina wamewezesha watu wengi wawe na viwanda vidogo vidogo.
Wachina wamewezesha watu wengi vijijiji wasitembee kwa miguu na kubeba mizigo mizito.
Wachina wamewezesha watu kusafiri kwa haraka kutoka mkoa hadi mkoa kwa mabasi ya wachina.
Wachina wamewezesha watu kuwa na kampuni zs usafirishaji wa watu na muzigo. Malori na mabasi.
Wachina wamewezesha mifumo ya mawasiliano kuwa rahisi Africa na duniani.
Wachina wamewezesha watu kumiliki usafiri mpya kwa bei poa.
Wachina wamepunguza wimbi la unempliyment in TZ na Afrika kupitia boda bods na vifaa vya ek
Lectronics. Aisee nimechoka ngoja nipumzike.
 
Nawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Marekani imekuwa superpower kwa muda mrefu sana, leo tujifunze vitu vichache toka kwa hili taifa ili vitusaidie kwenye maisha yetu ya kila siku

#1. Kuwa na Mipango thabiti, Hawa jamaa wakitaka kitu Fulani wanaita wataalamu wa eneo husika na kisha kuweka mipango vizuri kabisa baada ya kujiridhisha na kila kitu ikiwemo gharama ya project husika, utaalamu unaotakiwa, muda wa kutimiza project na changamoto zake na back up yake ndo mana utasikia wanasema twende na plan B na utakuta plan B ilishaandaliwa kila kitu including plan yake na sisi tujifunze kuweka mipango yetu kitaalamu kabisa, sio kwa kutumia heresays.

#2. Kuwa mvumilivu maana timing ya mipango huwa ina matter sana katika kuleta matokeo chanya,Katika kitu USA ni pro ni kwenye timing, hawa jamaa unaweza wakosea leo ila wakawa kimya kama hakuna kitu ila kwa ground wanajipanga, utakuta washaanzisha hadi vitengo huko jeshini kwa ajiili ya mission wanayotaka kufanya miaka mitano mbele wakisubiria tu ujichanganye uingie king wapite na kichwa chako,mfano kwa sasa hawa jamaa wanasubiri tu China avunje sheria za UN wamuanzishie shida, ila kwenye maisha yetu tuwe wapole, sio umesikia kuna biashara inalipa wewe ushalipa frame hata hujui vizuri hesabu yake plus uendeshaji wake, jipe muda uitafiti na uifanyie maandalizi sahihi sio kukurupuka

#3. Kuwa ruthless, ukishaanza project yako ifanye kwa ukubwa wote iwe kwa jasho au damu, jitume daily kufikia malengo yako daima, fanya kama USA, hawa jamaa wakiamua project yeyote either iwe kiuchumi au kijeshi ni wanakuwa ruthless Sanaa,Tazama space X inavyochoma pesa nyingi in trial and error mode but yote hii ni katika kutoa kitu perfect, ingekuwa bongo tungesema anachezea pesa za walipa kodi, pia refer walivyompakia mkongo Libya au Iraq, au tazama makampuni yao yanavyofanya vitu kwa ukubwa sanaaa, yan kama hii JF ingekuwa USA hawa jamaa wangekuwa wanawaza kuwa global na sio kuomba funds za wahisani kuiendesha, na sisi kwenye mipango yetu tuwe ruthless iwe mizuri au mibaya, kikubwa fanikisha lengo lako,
“AT THE END RESULTS JUSTIFY THE MEANS’

#4. Kuwa na exit/backup plan katika kila jambo, USA hawa jamaa wanakuwaga na mipango in case kila kitu kikafeli, hawa jamaa kwenye swala la bima hawapo nyuma, huku bongo hata bima ya NHIF hatutaki kukata, hawa jamaa washaanza plan za kwenda mars just in case dunia ikawa haikaliki, just imagine wanawaza siku dunia ikawa haikaliki and wanacreate backup plan lakini sisi hapa bongo hatujiandai kwa emergency kabisa, Inashauriwa kuwa na acc ya emergency fund, na uorodhoshe vitu ambavo ni emergency kwako eg msiba, ugonjwa na kila mwezi jiwekee kias Fulani katika acc hio kulingana na kipato chako, na usitumie pesa hio katika masuala ambayo sio emergency kwako, hio ndo backup plan ambayo unapanga mapema na hukutwi na kitu kwa kushtukiza kwa kuwa sote tunajua hakuna kipya chini ya jua, eg mtu anaposema sikujua kama nitaumwa unajiuliza huyu mtu hajui kama binadamu tunaumwa? Kwann hakuwa na backup? Matokeo yake tukipata emergency moja tu tunakuwa tumeparanganyika jumla, leo una afya what if ukiumwa, una backup? Leo ukiachwa na baby plan yako ni nini?

So guys tuwe na backup plan kwa kila kitu kwenye maisha yetu, kuna watu watasema ada ya mtoto wao imekuja kama emergency hahah,tujiwekee pia akiba yetu ya uzeeni kupitia mifuko kama UTT au hisa za makampuni, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri jiwekee malengo ya kuweka japo 100K kila mwezi katika mifuko ya UTT au hisa, unapofika miaka 65 unakuwa na kama 100M+ (kwa sababu ya compounding interests) hapo utakuwa unavuta mpunga mwingi as dividents . Tuishi kama USA,
“PREPARE FOR THE WORST ALWAYS BECAUSE IT WILL COME”

#5. DIVERSIFY Kwenye hili swala ndipo USA alipowapigia gap USSR wakati USSR wapo busy na silaha na jeshi bila kukumbuka kitu kingine ila USA alikuwa anaenda na kila kitu, leo hii USA ana kampuni kubwa kwenye kila idara kuanzia chakula kwa kina McDonald mpaka kwenye electronics kwa kina Apple, ila Russia wao kitu kikubwa ni jeshi tu, Hata biblia imesema tupande mbegu nyingi mana hatujui zipi zitakubali, ukifungua biashara ikakubali, ikuze kisha tafuta mtaji uweke biashara nyingine isiohusiana na hio kabisa ili uwe safe, kwenye mahusiano na jamii kuwa na ,marafiki wa kila aina, jeshi, shule, Afya Siasa etc

#6. Wapende wanaokupenda, Nchi zote zilizokuwa karibu USA zinaendelea sana compared na zile zilizo mbali nae, Nchi zilizo karibu na China na USA bado zinachechemea (refer N.Korea na S. Korea kama mfano) kwa sababu nchi hizo hazijui kuwapenda wanaowapenda, hapa bongo hakuna barabara ya Mrusi, ila kuna vitu kibao vya USA, kwa hio hata wewe hakikisha kama mkeo anakupenda na wew unampenda kwa kiasi kile kile au Zaidi, ukiona mtu ni muaminifu kwako na wewe kuwa muaminifu kwake

Vingine tutaongeza kwa comments section
Ahsante kwa kusoma mawazo yangu
Ni mimi yule yule,
Beberu J

NB. Ndoto ya kuinunua JF bado ipo, Mexence Melo ategemee kuniona ofisin kwake siku moja

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
True say. Wapo a head of us. Ahead of china and USSR. Ukitaka kujuwa haya majamaa yapo mbali USSR na china na mataifa mengine yana bweka usiku mchana yeye ametoa kauli moja tu" jaribu ndipo Dunia itaona nguvu haijawahi kuziona " je ni nguvu gani hizo? Pili BRICS wanatapata wataiangusha USD jamaa wala hajajibu mbaya kuliko yote wamesahau British Exit EU nakile kinaendelea Yani respect haya majamaa
 
na uongo ni mwingi pia
hata zile safari za kwenda sijui mwezini na kwenye sayari zingine ni propaganda za uongo pia
na hata kwamba huyo mamako ndiye aliyekuzaa ni uwongo pia. Wakudanganye kapuku km wewe ili wapate nini. Utakufa na huo upumbavu wako. Marekani ni level nyingine we pambana na huo ujinga na umaskini wako. Mijitu mingine mpaka aibu.
 
Back
Top Bottom