USA vs N.Korea Military Power

Nimekumbuka enzi za utotoni huko,mikwara kama hii. kweli watanzania mazingira yanafanana. Tunapenda sana kushadadia mambo,hadi tunajipa upande kama vile na sisi ni sehemu ya raia wa hizo nchi.
Wakati mtu mmoja akitoa bastola,kwenye mkusanyiko mnatawanyika wote,achilia mbali washawasha ama mlio wa risasi tu kama upo ndani unaingia uvunguni mwa kitanda.
Tufanye kazi,tuwe wazalendo kwa nchi yetu hatimae ipate nguvu za kiuchumi. Tuiombee dunia amani pawe mahali salama kwa kuishi binadamu.
Kuna unabisha tafakari ya zenji au hapo mkuranga tu.
 
Kitu ambacho hujui ni kuwa uwezo wa Attack Submarine moja ya U.S. ni sawa na 30 za north korea......ni ngumu kufananisha NK & USA kwenye nguvu za kijeshi
kinachowaweka kwenye usawa ni nuklia tu, uchumi hauna nafasi, hoja za kujadili ni je north korea anaweza kurusha nuklia ndani ya u.s.a..?
 
vita sio lelemama atakaeregeza ndio atakae umia unaweza ukawa na vifaa vzuri ila ukiwaiwa utashindwa kujipanga na vifaa vyako vikawa si chochote...
 
Samahani jamani!
Hivi chanzo kikuu cha hili vuguvugu la vita ni nini?

Kwanini hasa wanataka kupigana!!!?
 
Sasa kama NK yupo fiti kama unavyotuaminisha, ebu tueleze imekuwa vipi US kuzipenyeza meli zake za kivita mpaka kuingia kwenye Ras ya NK?
Wao hawana tatizo na Mmarekani alipo, Halafu hawapo kwenye Ras ya NK, Correct "Wapo kwenye rasi ya Korea" ikijumuisha South so hajaingia kwenye ardhi au NK territory as full kama unavyotuaminisha
 
Hili swala la kusema eti North Korea ametengwa binafsi naona ni uongo kwasababu zifuatazo
(1)Juzijuzi tu ndo china ilizirudisha meli za North Korea zikiwa zimepeleka makaa ya mawe kuyauza china. Mwenye akili ajiulize, utasemaje North Korea ametengwa huku akiendelea kufanya biashara na China yenye uchumi wa 2 kwa ukubwa duniani? Mimi naamini kama china ataanza kuweka mbinyo wa Kiuchumi kwa North Korea basi hata miaka 3 haitoisha utawala wa Kim utafail.
Hakuna taifa lolote duniani lenye uwezo wa kujitegemea hata USA au China hawawezi
(2)Kuhusu technology ya North Korea kutengeneza makombora ya Nyuklia, je how sure are you kama Wachina hawahusiki? Huenda hayo makombora yametengenezwa kwa usaidizi wa China na Urusi, but not sure.
(3)Naona kwa sasa tunaziona South Korea na Japani kama wachovu wasio jiweza kijeshi. Je, hivi tunafikili hao Wajapani hawana technology ya kutengeneza hayo Makombora ya Nyuklia? Huenda tu wanaheshimu mikataba ya kimataifa, ila endapo vitisho vya North Korea vitaendelea kwa Wajapani huenda nao wakaanza kutengeneza hayo Makombora ili kujihami.
China ndo anaeongoza kwa Uchumi duniani, Mmarekani alipitwa kama sikosei mwaka jana au juzi walitangaza
 
Allies! NK hana allies wa kutosha. USA akiingia vitani uje anao marafiki kadhaa nyumba yake....UK, Canada, South Korea, Japan, Israel, etc
 
74e587d600a0cd0ea15aebb661774d31.jpg
 
Back
Top Bottom