Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,507
Exactly. Polisi kwa sasa wanasubiri huyu mlalamikaji ajitokeze ili waweze kupata mwanzo wa kile wanachokipeleleza.Hata polisi huwa hawajui ni nani hasa aliyetenda kosa mpaka watakapofanya upelelezi na udadisi. Polisi huwa wanajua kuwa kosa limetendeka (maana kunakuwa na mlalamikaji), na wajibu wa polisi ni kumtafuta mlalamikiwa, kutafuta uhusiano kati ya kosa na mlalamikiwa.
Katika kadhia hii, mlalamikaji upo somewhere lakini inaonekana hataki kwenda kutoa malalamiko polisi zaidi ya kuyatoa kwenye gazeti moja pekee.
Kama polisi wanasema kwa sasa mlalamikaji aende kwenye kituo chochote cha polisi na ikiwezekana hata aende akaonane na RPC. Kwa nini asifanye hivyo kwa sasa kwa kuandamana na wanasheria na wanaharakati ili kukata mzizi wa fitina.
Ninakubaliana na wewe kuwa serikali (Polisi) haikufanya kazi yake kama inavyotakiwa kufanya lakini vile vile hata victim hakutumia haki yake ya kiraia kama inavyotakiwa na kama anavyoombwa kwa sasa kuitumia. Report the crime na siyo kuwa part ya crime.Unaposema kuwa wewe you dont accept anything on the face value - you are trying to say that the good or bad has to prove by itself of its existence???
I dont think most people are here to pass judgement, my understanding is that many people are on JF to express their thoughts and reaction towards what happened especialy the way the goverment responded to the so called VICTIMS!
Hapa ndipo ninaona kuwa polisi wana matatizo na hata huyu dada naye ana matatizo achilia mbali makosa yaliyofanywa na Prof. Kapuya (kama yapo).
Ukiangalia vizuri hili swala kama maelezo tunayoyapata ni kweli, basi utakubaliana na mimi kuwa pande zote zina matatizo katika swala hili na ndiyo maana ninasimama na Presumption of innocence.WHEN WE REACH THE POINT WHEREBY THE VICTIMS OF CRIME ARE THE ONE TO BLAME OF WHAT HAPPEN TO THEM, AND TREAT THE PERPETRATORS AS IF THEY ARE ABOVE THE JUSTICE (Maana unaposema kuwa humwamini mlalamikaji mpaka hapo atakapothibitisha kuwa mlalamikiwa alitenda kosa,,,,,, where is the justice then??????
Huu sio mchezo wa kuigiza!!!! Ni maisha ya mtu yameharibiwa
Tutaendelea kuamini kuwa mlalamikiwa ametenda kosa hadi hapo atakapopelekwa mahakamani na mahakama iamue vinginevyo!
Justice must be based on proving allegations through clear and compelling evidence na siyo through grapevine evidence.
Tukubali kutokubaliana.