Tatizo lako unajenga hoja za kidikteta kuwa kama hayuko nasi basi yuko na shetani!.
Hoja katika mantiki ya hoja hazijengwi kwa mtindo huo hasa katika swala ambalo hakuna anayefahamu ukweli wake zaidi ya kusoma katika mistari ya habari mbali mbali na kujenga hoja.
Mimi na wewe siyo wahusika na katika kutokuhusika kwetu tutakuwa ni wajinga kama tutakuwa tunajenga hoja kwa kutumia macho mawili pekee. Unfortunate, I don't take anything at face value na kwa maana hii, tuendelee kukubali kutokubaliana.
Ok. Acha tusubiri kwanza mwangwi uwafikie watetezi wa haki ambao sijui ni kina nani hao ambao hawajauona huu mwanga na hawajisikia kwa week nzima kwa sasa.
Kama umeishawahi kusoma mabandiko yangu mbali mbali utagundua kuwa nimelishutumu jeshi la Polisi nchini mara zote kutokana na utendaji wao mbovu ambapo ukiangalia kiini chake ni inept and corruption huku Waziri wa Wizara hiyo akiwa hafahamu hata misingi na majukumu ya kazi yake.Mtu alikosa ada 67 thou wewe unataka awe na lawyer,are you really serious!!!?????
Wewe watoto wako wana official spokesperson?????!!!Why are you seriously kidding???!!!!
Law enforcement agency gotta be pro active mkuu,wachungaji tu wanatoka kusalia wagonjwa mahospitalini wewe unataka polisi inayokuwa spoon fed???!!!!Mi nakiheshimu sana mkuu please please....!!!!!!
Wenzetu wanafukua mpaka makaburi kuoata ukweli wewe unasema nini bhana!!!!!!!
Hili limekaa vibaya sana,kama halitachukuliwa kwa umakini athari yake ni kubwa sana humu nchini!!!!!!!
Wahusika watoke kwenye viti,waache vikombe vya kahawa na kwenda field where the skills and experience of investigation belongs!!!!!
Hili swali hata mimi ndiyo ninaliuliza lakini badala ya kupata majibu naambiwe eti nina mtetea Prof. Kapuya.Huyo aliyebakwa mbona haendi polisi?
Kuhus simu usanii utakaotumika hapo utalenga kumuokoa Kapuya kwa kiasi kidogo lakini pia utalenga kumuokoa "aliyegawiwa" simu hiyo na Kapuya.
Kapuya akimtaja huyo aliyemgawia simu, utaandaliwa mpango kumfanya jamaa huyo ionekane kwamba tangu July alianza kuugua ugonjwa wa kichaa. Lengo litakuwa ni kumuokoa kwa matumizi mabaya ya simu aliyogawiwa na Mh. Kapuya ambaye hakika lazima anajua matumizi na masharti ya simu kwamba huwezi kumkabidhi simu mtu mwingine bila kwenda vyombo husika kuitaarifu serikali kwamba kuanzia siku ile wewe si mtumiaji wa simu ile kwasababu umeamua kumkabidhi so and so.
Hivi Kapuya Uprofesa wako unakuridhisha kwamba umesha wadanganya Watanzania??? Shame on you na wapambe wako wanaojitahidi "kukuokoa katika kadhia hili"
Huyo aliyebakwa mbona haendi polisi?
Nyani Ngabu na wewe hufuatili hii habari? Umeambiwa alifungua kesi kituo cha polisi Osyterbay. Sasa aende polisi kufanya nini tena?
Si inadaiwa kuwa alisharipoti polisi na hatua iliyochukuliwa na polisi ni "kuwapatanisha"? Kapuya alitakiwa awe anatoa kiasi fulani cha pesa kwa huyo binti (kila mwezi?). Limetajwa bunge na ccm pia katika issue hii, lakini kote huko hakuna anayekanusha with confidence. Hata Kapuya, pamoja na "kuchafuliwa" kote huko, ameishia kutoa siku saba ili vumbi litulie na zaidi anajichanganya kwenye maelezo yake.Hili swali hata mimi ndiyo ninaliuliza lakini badala ya kupata majibu naambiwe eti nina mtetea Prof. Kapuya.
Kama polisi wanasema waende polisi kutoa madai, kwa nini huyu dada asiambatane na mawakili na wanaharakati kwenda polisi na kutoa maelezo ili kukata mzizi wa madai ya polisi ambayo yanawafanya polisi wajifiche kwenye hii hoja.
Aliifungua lini? Siku? Mwezi? Tarehe?
Manake na wewe yaelekea unameza kila kitu kilichoandikwa na Tanzania Daima bila hata kuhoji.