Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

naomba nikuulize, kwani kabla hamjaanza kuishi pamoja hakuna hata siku alikuwa anakutembelea na kufanya kazi tofauti tofauti za ghetto ikiwemo kukupikia!?
 
Ubishi ndo mbaya ,halafu sasa ukute mpo wawili anachopika yeye mwenyewe hali anaonja tu,we ndo umeandaliwa msosi mkubwa mbichi au una chumvi au umeungua
Ha haaa haaaa hiki kikao katibu Ni nani ,,,
Kwamba hata Mama D naye anamapishi ya mbele kwa mbele au
 
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme

Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!

Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu. Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie

Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.
Pole ndugu. Mungu akujaalie upate unachotaka huko uendako. Mimi nisaidie mawasiliano yake huyo uliyemuacha. Nipo serious!
 
[emoji22][emoji22]mapenzi usenge mtupu
Yule wakwangu alikua ana bleed 25,6,7 days
Nlimpenda hivyo hivyoo....
Aaah we mwamba umekuwa kama mimi. Demu wangu alikuwa anashuka pressure akiwa P alafu anaishiwa damu. P zenyewe zinaenda siku 5 mpaka 6 alafu maumivu makali. Ana magonjwa kibao hata nikiwa nae 6.6 roho juu nikijiuliza itakuaje akizima. Tafrani sana mpaka tuliachana kwa distance
 
Hahah shoshoo naomba darasa.
Ubaya wa mapishi, inataka vitendo sio maandishi Sasa, rahisi zaidi ni kwenda kwenye restaurant za uswazi au mama ntilie anakufundisha vizuri kabisa
 
Mkuu ubamapungufu makubwa Sana , kimtazamo wa Uzi wako

Ukimuona mwanamke mapish siyo mzr kabla ya kumweleza unapaswa kupika hivi wewe pika chakula pika chakula kitamu kitamu mpka akila aoe wivu .

Hapo hata ukianza kumrekebisha jinsi ya kupika atakuelwa
 
Mimi sio mke kuna dogo mmona naishi nae kwangu siwezi kumlaumu kwa sababu ni wa.kiume ila hivyo vyakula vyake sasa [emoji3][emoji3] amenifanya mpaka siku izi namdanganya sili usiku ili asiwe ananiweka kwenye bajet zake.alafu basi yeye utasikia anakisifia chaku chake mpaka basi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
naomba nikuulize, kwani kabla hamjaanza kuishi pamoja hakuna hata siku alikuwa anakutembelea na kufanya kazi tofauti tofauti za ghetto ikiwemo kukupikia!?
Kabla ya kumuoa nimekuwa naye kwa mda mrefu ingawa si sana, na sikuweza kuhisi kwamba anashida hiyo hadi pale nilipoanza kuishi naye...
 
Aaah we mwamba umekuwa kama mimi. Demu wangu alikuwa anashuka pressure akiwa P alafu anaishiwa damu. P zenyewe zinaenda siku 5 mpaka 6 alafu maumivu makali. Ana magonjwa kibao hata nikiwa nae 6.6 roho juu nikijiuliza itakuaje akizima. Tafrani sana mpaka tuliachana kwa distance
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah we mwamba umekuwa kama mimi. Demu wangu alikuwa anashuka pressure akiwa P alafu anaishiwa damu. P zenyewe zinaenda siku 5 mpaka 6 alafu maumivu makali. Ana magonjwa kibao hata nikiwa nae 6.6 roho juu nikijiuliza itakuaje akizima. Tafrani sana mpaka tuliachana kwa distance
We jamaa sio dili...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani kuna ulazima gani wa kula nyumbani!! Kama hukielewi chakula chake Mwache ale mwenyewe na watoto kulikua hakuna sababu ya kumuacha kisa hajui kupika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom