Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Pole sana. Kuna msemo unasema usiache mbachao kwa msala ukupatao. Mimi mwanamke akifikia hatua ya kunisaliti ndo ntampiga chini ila kwa mambo mengine yote tutavumiliana. Kuna day utamkumbuka ila siku hiyo atakuwa kifuani kwa kidume mwingine akila mema ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol!
 
Mimi niko hapa specifically kusoma comment za wanaosema "huyo mwanamke alilelewa kwa kufanyiwa kila kitu na hausigeli" wakati huo huo sisi wote hapa tuna mahausigeli ambao wanafanya kila kitu huku mabinti zetu wakiwa wamelala. Big up sana kwetu [emoji849]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labda kama ni house wife, ila ka ni mfanyakazi yeye pia anatoka kazini kachoka.
Kwahiyo hiyo sio sababu.
Si mfanyakazi, na huduma zote anapata kwa viwango vya kutosha; hana anacho pungukiwa
 
Ungemtaftia house girl anayejua kupika akawa anamfundisha mdogo mdogo
 
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme

Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!

Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu. Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie

Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.
Haaaaaa kk kupik. Ndo ume hamua kuacha kwer
 
ungemtafutia coz ya hotel managememt kama ni mama wa nyumbani.. sababu yako haina mashiko!! hukua na mapenz nae
 
Mke siyo mtumwa wako wa kukusaidia kazi za nyumbani kama kuzaa, kulea, kupika, kufua, kufanya usafi, kisha kukufurahisha unaporudi nyumbani.

Mwanamke wa kisasa mnapaswa kupanga na kutekeleza mambo yote likiwepo la kujiendeleza kiuchumi kwa kushirikiana.

Mimi sitaki mke anayejiona mtumwa wangu.
Wewe sio mzee mpili wa ikwiriri utakuwa mpili wa ungalimited maana unawaza hela tuu
 
Huyo dada ana shida.Hakuna raha kama nmepika chakula mume anakula tonge la kwanzaa tu anaguna na kutikisa kichwa na kusema chakula kitamu mke wangu.
Hio reaction yake na smile lake hua inanifanya kila siku napopika niwe makini kuhakikisha kila siku naona anafanya hivyo.
Ikitokea siku nmechemsha anakula zake kimya kimya hasemi chochote najua tu hapa leo nmechemka basi naumia nakujitahidi kesho isijirudie.
Sasa wako hapendi kukuona ukifurahi unapopata msosi? Basi ana shida.
Asante..hawa ndo warembo wakuoa..

Yaani mwanaume natafuta hela kwa mbinde then nikirudi nyumbani nile wali mbichi na mchuzi usiokuwa na kichwa wala miguu?!!..hell no.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom