Ulipaswa ugundue Hilo kabla hujamuoaToka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi!
Lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme!
Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!
Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu.
Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie!!!
Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.
Usikosoe tenaNilishafanya hivyo mara kadhaa, matokeo yake nasifiwa na kuombwa nipike tena na tena…. unakuta yeye anakosa kujiamini kabisa!
Tatizo langu najikuta nakosoa sana.
Bure kabisa yani! Uchawi upo pale na Bedroom tuMwanamke kutojua kumuandalia mumeo mahanjam Ni hasara kiukweli
Lakini wengine mbona smart ila kupika 0Kuna uhusiano wa kujua kupika na kuwa na akili kichwani... chunguza mwanamke asiyejua kupika, kuna mambo mengi pia atakuwa ni sifuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi msosi wangu ukila lazima ujirambe
Mwanamke nitayemuoa ni lazima awe na viwango vya mapishi vya five star chef
Otherwise hatutoelewana kabisa
Siwezi madude eti kiss tumbo lishebe
Lazima nifurahie msosi na ladha zake
Huyu ndo anajitetea hapa[emoji86]Kuzidisha chumvi kila siku inahitaji tools gani mkuu ? Kutokujua kitu sio dhambi wala ulemavu maadam anaweza akajifunza,
Lakini kwa huyu Tatizo lipo kwa huyo dada kukataa kufundishika, hamna excuse nyingine yoyote hapo, kama sio mjeuri basi ni mjuaji asiyejua kwamba hajui
Kupika mlenda mzuri unahitaji oven? Au maharage ya karanga ya kusaga unahitaji ibada jikoni? Otherwise labda huyu ni wewe umekuja kujitetea[emoji23][emoji23]
Lakini wengine mbona smart ila kup
Ila lakini kuoa mtu hajui mahanjumati mbona ni mtihani sana?... Na stress hizi za bongo halafu unaenda home ugali mbichi mboga haieleweki.. unaweza kufa mapemaLakini wengine mbona smart ila kupika 0
Au eti kwa sababu kitandani yupo vizuri ndo uteseke kwa kuvumilia misosi mibovu! Haiwezekani kabisa...[emoji23]Mimi msosi wangu ukila lazima ujirambe
Mwanamke nitayemuoa ni lazima awe na viwango vya mapishi vya five star chef
Otherwise hatutoelewana kabisa
Siwezi madude eti kiss tumbo lishebe
Lazima nifurahie msosi na ladha zake
😅😅😅😅😅😅Ila lakini kuoa mtu hajui mahanjumati mbona ni mtihani sana?... Na stress hizi za bongo halafu unaenda home ugali mbichi mboga haieleweki.. unaweza kufa mapema
nimeimagine tu stress zq kula chakula kibichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila lakini kuoa mtu hajui mahanjumati mbona ni mtihani sana?... Na stress hizi za bongo halafu unaenda home ugali mbichi mboga haieleweki.. unaweza kufa mapema
Ni mtihani sana.. yaani stimu zote zinakata.. hata kwichikwichi huwa inafeli ... inachangia pia upungufu wa nguvu za kiumenimeimagine tu stress zq kula chakula kibichi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani uliyoyasema yote nimefanya mkuu; nimekula hoteli mara kadhaa, sikumbuki ni mara ngapi lakini ni mara nyingi tu!Hamna kitu kinatupa stress wanawake kama umuandalie mume chakula afu asile aisee utamtafuta mchawi
Ushauri;susa kula chakula chake kwasiku kazaa we ukirudi panda kitandani ulale wala usiulizie chakula,amini nakwambia ikipita wiki hajajirekebisha au kuuliza kutaka kujua nini shida ujue huyo anasababu nyingine anatafuta kuachika
Ila kwani hana smartphone au hiyo google anaitumia kwa kazi gani mwenzetu
Kingsmann