Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Aaah we mwamba umekuwa kama mimi. Demu wangu alikuwa anashuka pressure akiwa P alafu anaishiwa damu. P zenyewe zinaenda siku 5 mpaka 6 alafu maumivu makali. Ana magonjwa kibao hata nikiwa nae 6.6 roho juu nikijiuliza itakuaje akizima. Tafrani sana mpaka tuliachana kwa distance

Shida sana
 
Usicheze na tumbo la mwanaume,wanawake mnaweza mkachukulia poa ila kwa wanaume wengi chakula kizuri ni moja ya vitu muhimu sana.
 
Sijui akili zenu mnapeleka wapi Vijana

Yaani kipaumbele chako kiko Tumboni kweli??

Alafu tunasema eti tunataka tuijenge Tanzania na kuepuka umasikini?

Hatuoi kwa Kuangalia Tumbo...kwa maana hata kabla ya kuoa tulikuwa tunakula na kushiba

Tunaoa kwa Kuangalia Hatma..

We are looking for a destiny and not an Empty stomach.
Hamna kitu utafanya kwa utulivu huku una njaa..tuwe wakweli.

Uhangaike hujala ulikotoka unafika home chakula hakieleweki unalalaje?
 
Huyo dada ana shida.Hakuna raha kama nmepika chakula mume anakula tonge la kwanzaa tu anaguna na kutikisa kichwa na kusema chakula kitamu mke wangu.
Hio reaction yake na smile lake hua inanifanya kila siku napopika niwe makini kuhakikisha kila siku naona anafanya hivyo.
Ikitokea siku nmechemsha anakula zake kimya kimya hasemi chochote najua tu hapa leo nmechemka basi naumia nakujitahidi kesho isijirudie.
Sasa wako hapendi kukuona ukifurahi unapopata msosi? Basi ana shida.
Tena shida kubwa..

Yani ushinde nyumbani siku nzima simu ina bundle hata kuangalia namna ya kuunga maharage YouTube dk sijui 5 mtu hawezi..hapana.
 
Pole sana. Kuna msemo unasema usiache mbachao kwa msala ukupatao. Mimi mwanamke akifikia hatua ya kunisaliti ndo ntampiga chini ila kwa mambo mengine yote tutavumiliana. Kuna day utamkumbuka ila siku hiyo atakuwa kifuani kwa kidume mwingine akila mema ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme

Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!

Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu. Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie

Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.
Mfundishe au mpeleke akasomee mapishi kidogo itakua umetatua tatzo
 
Mimi niko hapa specifically kusoma comment za wanaosema "huyo mwanamke alilelewa kwa kufanyiwa kila kitu na hausigeli" wakati huo huo sisi wote hapa tuna mahausigeli ambao wanafanya kila kitu huku mabinti zetu wakiwa wamelala. Big up sana kwetu 🙄
 
Ushindwe kumfunza umpe talaka? Umetafuta sababu. Kinadada ogopeni madungadunga
 
Na hakuna kitu kinauma umetumia muda mwingi jikoni kumuandalia mtu chakula anaanza kula tu na kuanza kukosoa...angekuwa anamuelekeza kwa upole tu sidhani kama angekasirika. Namna mtu anavyokosoa ndio mara nyingi huwa ni tatizo....kama mtoa mada anakosoa kama baba yangu hata mimi ningekasirika
Yani umesema cha ukweli kabisa.
Kukosolewa ile kwa ukali lazima mtu uone unaonewa kwakweli.
So mtu akikasirika ujue ndo defense mechanism yake..
 
Usicheze na tumbo la mwanaume,wanawake mnaweza mkachukulia poa ila kwa wanaume wengi chakula kizuri ni moja ya vitu muhimu sana.
Safi sana; wewe tunakubaliana katika hili mkuu[emoji106]
 
Tena shida kubwa..

Yani ushinde nyumbani siku nzima simu ina bundle hata kuangalia namna ya kuunga maharage YouTube dk sijui 5 mtu hawezi..hapana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]
 
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme

Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!

Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu. Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie

Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.
Aisee kama k yake tamu hukuwa na haja ya kumuacha mapishi ungeweza hata kumpeleka collage ya mapishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom