Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Yaani uliyoyasema yote nimefanya mkuu; nimekula hoteli mara kadhaa, sikumbuki ni mara ngapi lakini ni mara nyingi tu!
Nimeweka mgomo wa kususia chakula mpaka tendo la ndoa lakini wapi...[emoji3]
Pole sana mkuu, nimepitia comments nimeona watu wengi wanatetea ujinga... mara oven mara unaacha elfu tatu mara mpeane ratiba mara mapenzi hayakuwepo.... Wapuuze hao mkuu, hawajui shida unayoipata.

Ulipooa sisi ndugu zako tulisema umepata JIKO.

Ushauri wangu, ongea nae shemela kuhusu kwenda kujifunza mapishi VETA kisha cheki reaction yake, akikubali mpeleke mkuu ila akigoma........
 
Comon mistake; lakini tayari nilionyesha nia ya kutaka kumsaidia ajue lakini yeye hakuta! Ningefanya vipi unadhani kiongozi!?

Hakuna mwanamke ambaye hawezi pika and then sijifunze, kwani kupika inachukua mda gani kujifunza? Anapika pweza au poising?

Itakuwa hakupendi huyo anataka kwenda, Nafikiri yeye ni mjanja kuliko wewe, so Wewe ndo unaachwa
 
Hakuna kitu kinachouma kama mtu akosee jambo halafu ukimuelekeza anaona kama unamfokea, unamtoa kasoro au unamnyanyasa.

Mtoa mada hajamuacha mke wake kwasababu hajui kupika, kamuacha kwasababu hataki kukosolewa, akikosolewa anakua mkali, nyumba inakua chungu kwa namna hii. Nimeshawahi kuwa na mwanamke wa hivyo. Ni changamoto.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Na hakuna kitu kinauma umetumia muda mwingi jikoni kumuandalia mtu chakula anaanza kula tu na kuanza kukosoa...angekuwa anamuelekeza kwa upole tu sidhani kama angekasirika. Namna mtu anavyokosoa ndio mara nyingi huwa ni tatizo....kama mtoa mada anakosoa kama baba yangu hata mimi ningekasirika
 
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme

Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!

Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu. Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie

Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.
Pole sana kwa kuwa Kipaumbele chako cha mke bora ni TUMBO (chakula)
 
Na hakuna kitu kinauma umetumia muda mwingi jikoni kumuandalia mtu chakula anaanza kula tu na kuanza kukosoa...angekuwa anamuelekeza kwa upole tu sidhani kama angekasirika. Namna mtu anavyokosoa ndio mara nyingi huwa ni tatizo....kama mtoa mada anakosoa kama baba yangu hata mimi ningekasirika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na hakuna kitu kinauma umetumia muda mwingi jikoni kumuandalia mtu chakula anaanza kula tu na kuanza kukosoa...angekuwa anamuelekeza kwa upole tu sidhani kama angekasirika. Namna mtu anavyokosoa ndio mara nyingi huwa ni tatizo....kama mtoa mada anakosoa kama baba yangu hata mimi ningekasirika
Nilikuwa namkosoa kiuungwana mbona!!!
 
Misosi mitamu kwanza, ngono baadae...[emoji23]
Sijui akili zenu mnapeleka wapi Vijana

Yaani kipaumbele chako kiko Tumboni kweli??

Alafu tunasema eti tunataka tuijenge Tanzania na kuepuka umasikini?

Hatuoi kwa Kuangalia Tumbo...kwa maana hata kabla ya kuoa tulikuwa tunakula na kushiba

Tunaoa kwa Kuangalia Hatma..

We are looking for a destiny and not an Empty stomach.
 
Mkuu umewahi kuishi na mwanamke ambae hajui kupika?
 
Sijui akili zenu mnapeleka wapi Vijana

Yaani kipaumbele chako kiko Tumboni kweli??

Alafu tunasema eti tunataka tuijenge Tanzania na kuepuka umasikini?

Hatuoi kwa Kuangalia Tumbo...kwa maana hata kabla ya kuoa tulikuwa tunakula na kushiba

Tunaoa kwa Kuangalia Hatma..

We are looking for a destiny and not an Empty stomach.
Kwa mfano wewe twambie, ni sababu ipi hasa na muhimu iliyokusukuma kuoa?
 
Umeoa?

Je mke wako anajua kupika?

Je umewahi kuishi na mwanamke ambae hajui kupika? Na ukimrekebisha anakuwa mbogo??

Haya maswali ulitakiwa uwe unawauliza wanaokushauri TimeStope
 
Sijui akili zenu mnapeleka wapi Vijana

Yaani kipaumbele chako kiko Tumboni kweli??

Alafu tunasema eti tunataka tuijenge Tanzania na kuepuka umasikini?

Hatuoi kwa Kuangalia Tumbo...kwa maana hata kabla ya kuoa tulikuwa tunakula na kushiba

Tunaoa kwa Kuangalia Hatma..

We are looking for a destiny and not an Empty stomach.
Utulivu wa akili huanza kwenye chakula kitamu mkuu
 
Mke ni msaidizi wa kusaidiana na wewe Kufikia hatma na mafanikio yako binafsi, familia Yako Jamii inayokuzunguka na Taifa kwa Ujumla

Mke ni mtu wako wa Karibu anaekusaidia Kulea Watoto wenye heshima adabu, watoto ambao baadaye watakuwa msaada kwa familia yako na Taifa kwa Ujumla,,

Mke ni Mshauri na Muwakilishi wako

Watu wote waliofanikiwa Kimaisha na wenye Ushawishi na Msaada katika Jamii Taifa na Dunia kwa ujumla hawakuweka Chakula (tumbo) kama kipaumbele cha kutafuta na kupata mke bora

Ndoa ni zaidi ya Tumbo
Nashanga sana kuona vijana wanaweka Chakula kama kipaumbele cha mke bora...
 
Umeoa?

Je mke wako anajua kupika?

Je umewahi kuishi na mwanamke ambae hajui kupika? Na ukimrekebisha anakuwa mbogo??

Haya maswali ulitakiwa uwe unawauliza wanaokushauri TimeStope
Huyo jamaa hajui, anahitaji kusaidiwa. Fahari yetu sisi wanaume wa afrika mke ajue kupika, na ndio maana hapa Tanzania kuna makabila mengi tu ambayo kipimo cha kwanza kwa binti anayetaka kuolewa ni kwenye kupika. Asipojua kupika hata awe mzuri kiasi gani uzuri wake hautakuwa na maana yoyote kwa makabila hayo...
Labda huyo jamaa yeye anaoa mwanamke wa kumsaidia maisha ndo maana kigezo cha kupika hakitilii maanani...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kipaumbele Tumbo ...

Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom