Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Upishi wa ovyo ovyo umefanya nimuache

Mke ni msaidizi wa kusaidiana na wewe Kufikia hatma na mafanikio yako binafsi, familia Yako Jamii inayokuzunguka na Taifa kwa Ujumla

Mke ni mtu wako wa Karibu anaekusaidia Kulea Watoto wenye heshima adabu, watoto ambao baadaye watakuwa msaada kwa familia yako na Taifa kwa Ujumla,,

Mke ni Mshauri na Muwakilishi wako

Watu wote waliofanikiwa Kimaisha na wenye Ushawishi na Msaada katika Jamii Taifa na Dunia kwa ujumla hawakuweka Chakula (tumbo) kama kipaumbele cha kutafuta na kupata mke bora

Ndoa ni zaidi ya Tumbo
Nashanga sana kuona vijana wanaweka Chakula kama kipaumbele cha mke bora...
Hapo kwenye malezi ya watoto; atawasaidiaje watoto wake hasa wa kike kwenye suala la mapishi ikiwa yeye hajui kupika!?
Malezi mema kwa watoto yanahusisha mambo yote kutia ndani kupika, tofauti na hapo hakuna malezi bora atakayokuwa ameyatoa kwa watoto wako zaidi ya ujinga kwa watoto....
 
Siku hizi kujifunza kupika wala siyo issue

Yaani ukiingia Youtube hakuna Chakula utashindwa kupika ...

Kuanzia Vya kisomali mpaka vya Kimakonde kwa Hiyo mama ana wajibu wa ziada kwa watoto na Siyo chakula pekee...

Ndiyo maana nikasema jamii za kiafrika tumeweka vipaumbele kwenye mambo ya ajabu
Na kusahau mambo ya Msingi..
 
Huyo dada ana shida.Hakuna raha kama nmepika chakula mume anakula tonge la kwanzaa tu anaguna na kutikisa kichwa na kusema chakula kitamu mke wangu.
Hio reaction yake na smile lake hua inanifanya kila siku napopika niwe makini kuhakikisha kila siku naona anafanya hivyo.
Ikitokea siku nmechemsha anakula zake kimya kimya hasemi chochote najua tu hapa leo nmechemka basi naumia nakujitahidi kesho isijirudie.
Sasa wako hapendi kukuona ukifurahi unapopata msosi? Basi ana shida.
 
Na hakuna kitu kinauma umetumia muda mwingi jikoni kumuandalia mtu chakula anaanza kula tu na kuanza kukosoa...angekuwa anamuelekeza kwa upole tu sidhani kama angekasirika. Namna mtu anavyokosoa ndio mara nyingi huwa ni tatizo....kama mtoa mada anakosoa kama baba yangu hata mimi ningekasirika
Ila kukosoa wazi wazi pia sio sawa... ila pia nimekuja kugundua ni ngumu sana kumueleza mwanamke kuwa hawezi kupika..

Mi wife alikuwa anapika chapati inatoka ngumu, juzi kati hapa akawa anataka tena kupika chapati.. sasa ule unga wakati anakanda nikaona kama anatoka jasho kuukanda, nikamuambia mbona huo unga kama ni mgumu? Kama ni chapati inatakiwa ukande unga mlaini sana.

Akataka kuleta ubishi, nikamuambia haya endelea.. basi bana akakaa akafikiria, baadae akakubali ushauri wangu, nikapasha maji, akalainisha ule unga ukawa laini kabisaa.

Basi bana, yaani zile chapati zilitoka laini kushinda hata za wapemba, chapati nyambu nyambu.. akawa anajitukana mwenyewe kwa ubishi wake
 
Huyo dada ana shida.Hakuna raha kama nmepika chakula mume anakula tonge la kwanzaa tu anaguna na kutikisa kichwa na kusema chakula kitamu mke wangu.
Hio reaction yake na smile lake hua inanifanya kila siku napopika niwe makini kuhakikisha kila siku naona anafanya hivyo.
Ikitokea siku nmechemsha anakula zake kimya kimya hasemi chochote najua tu hapa leo nmechemka basi naumia nakujitahidi kesho isijirudie.
Sasa wako hapendi kukuona ukifurahi unapopata msosi? Basi ana shida.
Wooow! Safi sana, mimi nilihitaji mke wa aina yako, kwa kweli ningekuwa ni mwenye furaha wakati wote na si yule mwingine; akikosea hata akosolewe. Wapi na wapi mkuu!?
 
Ila kukosoa wazi wazi pia sio sawa... ila pia nimekuja kugundua ni ngumu sana kumueleza mwanamke kuwa hawezi kupika..

Mi wife alikuwa anapika chapati inatoka ngumu, juzi kati hapa akawa anataka tena kupika chapati.. sasa ule unga wakati anakanda nikaona kama anatoka jasho kuukanda, nikamuambia mbona huo unga kama ni mgumu? Kama ni chapati inatakiwa ukande unga mlaini sana.

Akataka kuleta ubishi, nikamuambia haya endelea.. basi bana akakaa akafikiria, baadae akakubali ushauri wangu, nikapasha maji, akalainisha ule unga ukawa laini kabisaa.

Basi bana, yaani zile chapati zilitoka laini kushinda hata za wapemba, chapati nyambu nyambu.. akawa anajitukana mwenyewe kwa ubishi wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila kukosoa wazi wazi pia sio sawa... ila pia nimekuja kugundua ni ngumu sana kumueleza mwanamke kuwa hawezi kupika..

Mi wife alikuwa anapika chapati inatoka ngumu, juzi kati hapa akawa anataka tena kupika chapati.. sasa ule unga wakati anakanda nikaona kama anatoka jasho kuukanda, nikamuambia mbona huo unga kama ni mgumu? Kama ni chapati inatakiwa ukande unga mlaini sana.

Akataka kuleta ubishi, nikamuambia haya endelea.. basi bana akakaa akafikiria, baadae akakubali ushauri wangu, nikapasha maji, akalainisha ule unga ukawa laini kabisaa.

Basi bana, yaani zile chapati zilitoka laini kushinda hata za wapemba, chapati nyambu nyambu.. akawa anajitukana mwenyewe kwa ubishi wake
Nimechekea tumboni uzalendo ukanishinda ikabidi nitoe sauti aiseee....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi Mara ya kwanza kwanza changamoto lake ilikuwa kupika ugali ,but nikamwambia unakosea kwenye ugali ,nikawa napika ugali mwenyewe but akaona tofauti na amezoea kupika ugali vizuri
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Safi sana, huo ndio uungwana; sio awe mbishi...
 
Ubishi ndo mbaya ,halafu sasa ukute mpo wawili anachopika yeye mwenyewe hali anaonja tu,we ndo umeandaliwa msosi mkubwa mbichi au una chumvi au umeungua
 
[emoji23][emoji23][emoji23] .... Ni shida mkuu
 
Badala mtafute pesa unataka mke apike. Si umfanye awe anasimamia business na muweke h/girl. Me nikitoka job napitia kwenye biashara qmbazo wife anasimamia then saa mbili tunarudi home, tunafikia kufungua mahot pot tunagonga menu.

Unaacha mke kwa ajili ya kupika kazi ya house girl?
 
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme

Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!

Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu. Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie

Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.
Mimi sio mke kuna dogo mmona naishi nae kwangu siwezi kumlaumu kwa sababu ni wa.kiume ila hivyo vyakula vyake sasa [emoji3][emoji3] amenifanya mpaka siku izi namdanganya sili usiku ili asiwe ananiweka kwenye bajet zake.alafu basi yeye utasikia anakisifia chaku chake mpaka basi
 
[emoji22][emoji22]mapenzi usenge mtupu
Yule wakwangu alikua ana bleed 25,6,7 days
Nlimpenda hivyo hivyoo....
 
tuache masihara,mwanamke kutokujua kupika nako mtihani???jumlisha kitandani nako hekaheka ndio mtu hutoa taraka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom