TimeStope
Member
- Mar 12, 2021
- 80
- 126
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida, chumvi kuzidi kiasi ni kawaida, kuwa kibichi kawaida vilevile, chakula kukosa ladha ndo usiseme
Kuelekezwa pia hataki, maana anakuwa anaona kama anadharauliwa!
Nimevumilia vya kutosha imefika mahali nimeona isiwe tabu. Kwa sababu haiwezekani kusema una mke harafu kupika anazidiwa na Mama Ntilie
Wanawake wana paswa kujua kuwa, hatuowi kwa sababu tu ya kurahisisha Sex-Intercourse, kuna vitu vingi sana kutia ndani mapishi mazuri nk.