Unyama : Polisi yazuia kikao cha ndani cha Mbunge wa Mbeya Mjini , kilichokuwa na lengo la Kutoa shukrani , Ukumbi wapigwa kufuli

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,239
Hawa ni baadhi ya wanachama na viongozi wa Chadema Jimbo la Mbeya mjini, Mbunge  ( 335 X 640 ).jpg


Hii ndio taarifa inayozunguka Mbeya Mjini kwa sasa , watu waliofanya siasa peke yao na kuzunguka nchi nzima kwa miaka mitano bado wanaogopa vikao vya ndani vya Chadema , " chama kilichokufa "
 
Back
Top Bottom