Unyama : Polisi yazuia kikao cha ndani cha Mbunge wa Mbeya Mjini , kilichokuwa na lengo la Kutoa shukrani , Ukumbi wapigwa kufuli

Tena wamzuie tu maana wanambeya wameshamkataa wanamtaka mzawa Dk Tulia huyo mgoni mbilinyi akagombee kwao
Huo ujinga wenu ipo siku utafika mwisho hata mfanye ujinga vipi ipo siku mungu atawainua wapinzani na nyingi kujutia ujinga wenu
 
Sugu kwa pale Mbeya ni habari nyengine, bila ya kutumia hizo figisu hawatachomoka
Watu wa mbeya ni waelewa hata kura watampa japo ccm wanaenda kufanya kila njia anyang’anywe jimbo kwa nguvu, watamtangaza Tulia wa ccm kwa nguvu
 
Ujinga wa ccm unategemea nguvu ya dola ipo siku ya Malawi ya Sudan yatafika Tanzania ndipo ccm watachanganyikiwa
 
Tena wamzuie tu maana wanambeya wameshamkataa wanamtaka mzawa Dk Tulia huyo mgoni mbilinyi akagombee kwao
Aisee... freely kabisa unataka ukabila utamalaki...!!?? kwamba kila mtu akagombee kwao..!!! Mrema kwao kulikuwa TEMEKE? Huyo anayewaza kugomgea Kigamboni naye kwao ni huko?
 
Watu wa mbeya ni waelewa hata kura watampa japo ccm wanaenda kufanya kila njia anyang’anywe jimbo kwa nguvu, watamtangaza Tulia wa ccm kwa nguvu
Niamini Mimi mbeya hawawezi kufanya hivyo wakithubutu mahakama ya umoja wa mataifa inawahusu damu itamwagika Mungu aepushe hili.
 
Sugu anakandamizwa na polisi , Mwanaccm Saul Pattaya anatimuliwa na wananchi !
 
Tumejenga ma flyover lkn bado hatuna uhakika wa kuwashinda chadema, kwa kweli mnatisha tegemeo letu ni mkurugenzi kumtangaza ccm kashinda hata Kama kashindwa, mgombea wetu cheusi mangala tunampango wa kumbadilishia jimbo la kugombea make hapo kwa sugu hapatabiliki mkurugenzi na polisi wanaweza kutubeba lkn bado wafuasi wa sugu wakasimika na tukaambulia aibu!
Kama NAKAONA "KALAMBA NDIMU" KAKICHEKELEA KWA MBAALI!
 
Back
Top Bottom