Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

MUNGU apishie mbali!! NISIMTAMANI YEYOTEEEE, ni raha sana na unakuwa na amani sana, unapojua hakuna mtu kakugusa zaidi ya mkeo/mumeo. TUWE MARAFIKI MILELE NA IBAKI HIVYO, lol!! watu8 mzima wewe??

mie mzima mamito...tokea ulipotoka rumande sijakutia machoni
 
Last edited by a moderator:
wifey bana..... Unaulizia vumbi stoo?

Xmass si ndo siku tumepanga tumtengeneze baby boy wetu atakayekuja kuwa yohana mbatizaji wa karne mpya?

Unaniudhi unavyosahaugi ujue.
kwi kwi kwi kwi!! Kazi ipo wallahi, siku hiyo nataka tubanjukeeeee mpaka! Chezeiya mkandamizano weye??!!
 
Lakini da King'asti...jukumu la kupendana na kuyafanya mapenzi yawe na msisimko si la wote wawili, au sababu mie ndio nlikutongoza basi inakuwa wajibu wangu wa maisha na wewe huna wajibu wowote katika hilo? kazi yangu lazima uiweke under consideration bana...assume mie gynaecologist...how many asses and p*sses did I play with all day? Za kila aina na kila ukubwa na kila umbo...gim'me something different when I get back home...sio same stuff I see all day everyday! Hapo lazima beer itakuwa tamu zaidi...


Na kwa kuwa mtengeneza biere naye kashaona na kunusa kwa lazima mchana kutwa (akina sie sasa) tunakuwa na hamu ya kiti tofauti tunapishana hapo getini kwako either by flirting or in person........tunakuwa na hamu ya ile kitu zaid ya bia....consider kazi yangu....brewer.........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mie mzima mamito...tokea ulipotoka rumande sijakutia machoni
nitakuja kukuona jioni!! Nabanwa na mkoloni mwanzo mwisho!! Rumande nilitoka nakula bata tu na 'secret admirer wangu'
 
Heeeeehhhh,

Kumbe flirting siyo cheating?

Unanikumbusha Bill Clinton na Monica!

Wapi Mtambuzi atusimulie hiyo kesi na utamu wake!
Teh teh kwangu mimi siihesabugi kama cheating, ni robo ya cheating so haiqualify kuwa cheating, although inaweza kuzaa cheating! Lbda utaiita cheating kwa wale wanaomaanisha wakiwa wanaflirt, kwangu its pure fun na bila hisia!
 
Iwe na limits ofcourse u flirt for fun and disappear, isizidi hapo
Mimi ndo zangu hizo ku flirt for fun, na nikiona mwanamke ananza kunirembushia tu macho, namkumbuka nabii Yousuf alivyo kuwa mwanaume.

Kwani wanaume nini, uwanaume ni kujikinga na matamanio ya kusex...na anaye sema uwanaume ni kusex na kila mwanamke anaye mshushia chupi yake, inabidi akatibiwe akili yake :biggrin1:
 
Hao ndio wabaya haswa.

Unakuta ana picha za nusu uchi toka kwa vibinti mpaka inatisha.Akiulizwa "oh haimaanishi chochote, kwanza walituma wenyewe mie sijaomba." Alafu watu wanashangaa inakuwaje mtu atake kumuacha mke kisa kanenepa kipindi cha uzazi.

Wanawake kwa kutoa siri za ndani siwawezi. Jamaa ako mzembe sana.

Sasa kwakuwa wakwako umemkuta na hizo picha unafikiri na wengine wanafumaniwa nazo? Mwambie Wenzie zikifika tu zinafutwa fasta.
 
Nyie acheni nyie...mamsapu anaulizwa kavaa nini hapo kwa bed, halafu anajibu kwa mbwe mbwe nimevaa khanga tu..ndani hamna kitu! Anaambiwa geuka basi ulale chali..anageuka! we unadhani mtu anatafuta pozi comfortable la kulala kumbe anashurutishwa huko! Ukibamba...ooh am just flirting!
Riwa, hii imenichekesha sana .....
inawezekanaje mama/baba una-flirt ukiwa umelala kwa kitanda na mwenzio? yaani hapo wewe upo tayari kwa lolote litakalotokea....... hii haitakiwi kwa kweli.
ila hayo mambo yapo sana, na siku hizi yanaonekana ni mambo ya kawaida tu
 
Last edited by a moderator:
Teh teh kwangu mimi siihesabugi kama cheating, ni robo ya cheating so haiqualify kuwa cheating, although inaweza kuzaa cheating! Lbda utaiita cheating kwa wale wanaomaanisha wakiwa wanaflirt, kwangu its pure fun na bila hisia!

Sasa Babe S....when do you start to call it cheating? mkianza kissing, tomasana, lambana, au ngonoana?
 
But what is the limit? au ni 'free style' tu...no limits!
hapo kwenye limit ndo mgogoro unapoanzia.......
siku moja nilipata sms toka kwa rafiki yangu (mkaka na mume wa mtu).
mimi pia mke wa mtu.....
ilikuwa birthday yangu na akanisms kuni-wish happy birthday.....
nilimjibu an innocent sms "Thank you my dear"
hilo lilikuwa kosa kubwa sana...... wife pande ya pili alipoiona moto uliwaka....
 
Sasa Babe S....when do you start to call it cheating? mkianza kissing, tomasana, lambana, au ngonoana?
Yes kote huko ulikosema, ila ile base flirting ya maneno au body language ah hiyo siyo cheating, n body language flirting ndo the best
 
Sasa tuko kurasa moja. Tunapenda kuflirt na wenzi wetu ila ndo wako busy jamani!
cha kusikitisha ni kwamba huyo mume ambae hawezi kuflirt na mkewe, yuko busy anaflirt na mke wa mwenzie ama gf wa mtu! Its a vicious cycle. . .

Niliwahi kusafiri na coaligue mwezi mzima field. Ana nyumba ndogo ambayo ni mke wa mtu, na ana mke wa ndoa. In the end nilimuambia, ungekuwa unawekeza emotions za nyumba ndogo hata nusu tu kwa mkeo ungekuwa na ndoa ya maana sana. Manake akipiga simu mke utajua kwa anavyopokea kama askari jela! Nyumba ndogo inabembelezwa tu all the time na ikipiga ni kulalamika tu.
ha haaaaaaaaaaaa, rafiki bwana.......
huyo mke wa mtu naye anatafuta pa kudekea maana akiongea na husband naye inakuwa kama anaongea na askari jela..... na hatuwezi kujua circle ipoje, labda mamsap naye ana ambako anadeka
 
Chezeya mkandamizano wa Mtambuzi weye? Lol

Source: cacico
hubby umeona eeeee?? usije tena na yule kaka ulikuja naye last tym! nilimuona mkaliiiiii, hebu nije PM tuongee maswala ya kifamilia zaidi, achana na ku-flirt, mi na wewe tuna phd za hiyo makitu!
 
Na mie naflirt na hausi boy, kikweli kweli.

Flirting ni tabia ya mtu, ni ngumu kuacha
Kwa hiyo ni bora kumsoma mwenzi wako mapungufu yake na extent ya flirting anayofanya, kaama unakubaliana nayo, basi mnaendelea

Nilisahau kusema kule strictly no flirting.

Ila kwa sisi wengine flirting is healthy.
 
Yes kote huko ulikosema, ila ile base flirting ya maneno au body language ah hiyo siyo cheating, n body language flirting ndo the best

Kwa hiyo anything in short of kissing, tomasana, lambana, ngonoana...sio cheating! Sa najuaje kuwa waflirt tu, wakati mnayoflirt ndio kuhusu hayo ya kissing, lambana, tomasana, na ngonoana? Najuaje kuwa hayatokei kweli?
 
ha haaaaaaaaaaaa, rafiki bwana.......
huyo mke wa mtu naye anatafuta pa kudekea maana akiongea na husband naye inakuwa kama anaongea na askari jela..... na hatuwezi kujua circle ipoje, labda mamsap naye ana ambako anadeka
Ndio haya mambo ya tupo wangapi.....tulizana.Mnyororo mrefuuu
 
Kwa hiyo anything in short of kissing, tomasana, lambana, ngonoana...sio cheating! Sa najuaje kuwa waflirt tu, wakati mnayoflirt ndio kuhusu hayo ya kissing, lambana, tomasana, na ngonoana? Najuaje kuwa hayatokei kweli?
Jus trust! Na unaweza kusoma mazingira
 
Back
Top Bottom