Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
🙂 nitatoa demo bureHata maneno yenyewe mnayotumia yako beyond my dictionary.
Labda uanze kutoa demo ya maneno na vituko mnavyotia kwenye hiyo kazi yenu ya kuflirt!
Babu DC kuflirt nae unahitaji sanduku la barua aka S.L.B 737, nachingwea. Humuwezi huyo utamaliza kuni buree
Tena kwa barua ndio tamu zaidi, imagine namtumia maneno hata Babu, lazima atabasamu mwezi mzima
'Ewe Babu, mwenye shingo shupavu, kifua kama Okonkwo. Nakula tonge saba naangusha kwa ajili ya kukuwaza, kila nikienda kisimani najikwaa. Kweli umeucharanga charanga moyo wangu vipande milioni moja. Ukija mjini usisahau togwa.
Wasalaamu, mjukuu wako Konnie'
Kwenye bahasha sehemu ya kufungua naandika 'wanikondesha' bado sijatia poda kwa ajili ya harufu ilikuwa inaitwa binti Zanzibar
Babu utaona vimapengo tu nje nje siku nzima
Heh, free style si wataishia gesti??But what is the limit? au ni 'free style' tu...no limits!
He he he he, no komenti