Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Riwa

Riwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2007
Messages
2,598
Likes
241
Points
160
Riwa

Riwa

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2007
2,598 241 160
[h=3]flirtingpresent participle of flirt (Verb)[/h]Behave as though attracted to or trying to attract someone, but without serious intentions. Flirting usually involves speaking and behaving in a way that suggests a mildly greater intimacy than the actual relationship between the parties would justify
............................................................................................................

Flirting imekuwa tatizo kubwa sana kwenye mahusiano siku hizi, wanawake kwa wanaume...wanapenda kuflirt, especially kwenye ndoa ambazo mvuto kati wa mume na mke umepotea (japo si lazima wacheat 'kingono'). Kubali kataa...mpenzio kama yuko kwenye mitandao ya kijamii (hasa baada ya hili kurahisishwa na simu) basi kuna uwezekano mkubwa anaflirt.

Ugumu unakuja unapomconfront mpenzio pindi ukim'bamba'...atasema 'am just flirting tu, mean no harm, hata mtu mwenyewe sijawahi kutana naye'! Unafanya nini katika situation kama hiyo? Unamuacha?...this has never work, sababu wengi sana wanaflirt, utakayekutana naye baadae naye ni flirter. Unamuonya?...it has never work either, hata akikubali basi sirudii, for sure ataendelea kuflirt, ina some sort of addiction! Unamchimbia mkwara anayecheat na mpenzio?....unajiaibisha, am sure watakapoflirt tena atamuambia 'achana na yule ****'!

So 'unatakiwa ufanye nini kwa kweli'? Ignore it like it has never happen?!
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,089
Likes
357
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,089 357 180
Na mie naflirt na hausi boy, kikweli kweli.

Flirting ni tabia ya mtu, ni ngumu kuacha
Kwa hiyo ni bora kumsoma mwenzi wako mapungufu yake na extent ya flirting anayofanya, kaama unakubaliana nayo, basi mnaendelea
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
55,854
Likes
35,032
Points
280
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
55,854 35,032 280

Ndio maana mie siflirt na wala sijui kuflirt.

Tukesheni tukiomba.
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,675
Likes
1,955
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,675 1,955 280
[h=3]flirtingpresent participle of flirt (Verb)[/h]Behave as though attracted to or trying to attract someone, but without serious intentions. Flirting usually involves speaking and behaving in a way that suggests a mildly greater intimacy than the actual relationship between the parties would justify
............................................................................................................

Flirting imekuwa tatizo kubwa sana kwenye mahusiano siku hizi, wanawake kwa wanaume...wanapenda kuflirt, especially kwenye ndoa ambazo mvuto kati wa mume na mke umepotea (japo si lazima wacheat 'kingono'). Kubali kataa...mpenzio kama yuko kwenye mitandao ya kijamii (hasa baada ya hili kurahisishwa na simu) basi kuna uwezekano mkubwa anaflirt.

Ugumu unakuja unapomconfront mpenzio pindi ukim'bamba'...atasema 'am just flirting tu, mean no harm, hata mtu mwenyewe sijawahi kutana naye'! Unafanya nini katika situation kama hiyo? Unamuacha?...this has never work, sababu wengi sana wanaflirt, utakayekutana naye baadae naye ni flirter. Unamuonya?...it has never work either, hata akikubali basi sirudii, for sure ataendelea kuflirt, ina some sort of addiction! Unamchimbia mkwara anayecheat na mpenzio?....unajiaibisha, am sure watakapoflirt tena atamuambia 'achana na yule ****'!

So 'unatakiwa ufanye nini kwa kweli'? Ignore it like it has never happen?!
ukiona hivyo na wewe inabidi ufanye flirt na hausi boi kama ni mama au hausi geli kama wewe ni mume ili atakae umia ataongea tu..

note: Usipende kumchunguza bata...
 
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,245
Likes
315
Points
180
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,245 315 180
Riwa sio rahisi kuwa utamuacha mpenzi wako sababu tu ana flirt… Ni wengi wana flirt na katika idadi lets say za watu 10 ambao anaweza flirt nao, possibility ya kufanya nao ngono inaweza kuwa hata not less that 4 (hii naizungumzia kwa wanaume). Mwanaume akiwa na niya ya kulala na mwanamke the best way ya kumuandaa huyo mwanamke ni ku flirt nae…. Simply because inachukuliwa kama utani; huku sometimes akitupia jumbe za hapa na pale zenye meaning na uzito na pia kupata baadhi ya majibu ambayo anadhamiria ili ku scavenge.

Personally mpenzi wangu sipendi a flirt ovyo, ama consistently na mtu mmoja na wala asithubutu ku flirt mimi nikiwa shahidi na kuona kuwa ana flirt... Najua ana flirt from time to time (from instinct sio kwamba nimemuona); Akisema afanye hivo mbele yangu Of coz patakuwa padogo na wala siwezi kubali… Sikubaliani nalo…
 
fazaa

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Likes
14
Points
0
fazaa

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 14 0
I believe that our society has been so doused in sexualization that even being friendly to someone is now construed as flirting, any way inategemea na whats your flirting style, and how far is too far when it comes to flirting...Mana kama unavyo sema wewe hapo juu kama kwenye ndoa ambazo mvuto kati ya mume na mke umepotea, hapo sasa ndo hatari mana flirting means different things to different people...Yani unaona bora ukae na mwanamke ambaye umevutiwa naye kuliko mke wako, hapo lazima tutalekea tu kwenye sex game :biggrin1:
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
55,854
Likes
35,032
Points
280
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
55,854 35,032 280
Shem wangi AshaDii hapo juu, salamu.

Shem hebu punguza wivu bana. mwache bro a-flirt. Kwan nin bana?

NB: Flirting haiambukizi UKIMWI wala haileti watoto nje ya ndoa.

Tafakari na chukua hatua
 
Last edited by a moderator:
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,245
Likes
315
Points
180
AshaDii

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,245 315 180
Shem wangi AshaDii hapo juu, salamu.

Shem hebu punguza wivu bana. mwache bro a-flirt. Kwan nin bana?

NB: Flirting haiambukizi UKIMWI wala haileti watoto nje ya ndoa.

Tafakari na chukua hatua

hahaha! Najua wanijua vema... Wivu hapa ni kiwanda... Huwa tu najitahidi kuugawa na kwa wengine ili nisije haribu. Lol

On a serious note; nikikuuliza the last women ambao ulibahatika kulala nao (ama rafiki yako yeyote wa kiume); inaongozwa na wale ambao ulikuwa unataniana nao sana. Alafu kama ndio mwanaume yule ambaye kaweka occupation ya kutafuta wa kulala nao kwa kutumia mitandao kama Jf or Fb hapo ndio huwa balaaa!

Kama mwanamke anaweza jifanya mwanaume na akatongoza wanawake (hasa mabinti wadogo) kwa siku tatu tu ukapata 7 wamekubali kuonana nawewe, huyo mwanaume inakuwa vipi kama sio balaa? Huyo bro wako analo, angetaka angechagua mwanamke ambae hana wivu.
 
babe xoxo

babe xoxo

Member
Joined
Oct 25, 2012
Messages
37
Likes
0
Points
0
babe xoxo

babe xoxo

Member
Joined Oct 25, 2012
37 0 0
Eti hivi mtu waeza flirt na mkeo/mmeo?[/QUOTE]

yer tena ts so romantic....u shuld d dat often
 
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
11,566
Likes
115
Points
160
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
11,566 115 160
Kwa upande wangu huwa nachukia flirting. Nimekuwa naona flirting nyingi[Hasa ambazo huanzishwa na wanawake] huishia katika uhalisia. Najitahidi sana kuzikimbia ili usalama uwepo. Yapo maneno ambayo hutumika wakati wa ku flirt mwisho wa siku huteka hisia katika uhalisi. Kitakachofuata hapo ni kuambizana na kuahdiana ku meet.. Pia sipendi mpenzi wangu a flirt.[Hapo wivu unahusika]
 
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
11,566
Likes
115
Points
160
Nicas Mtei

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
11,566 115 160
Labda tuombe msaada wa Kiranga or Gaijin...
please Kiranga na Gaijin tunahitaji msaada wenu hapa.. Nini kiswahili cha neno flirt?
 
Last edited by a moderator:
Riwa

Riwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2007
Messages
2,598
Likes
241
Points
160
Riwa

Riwa

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2007
2,598 241 160
Bahati nzuri wengine tulishang'atuka.

Nadhani ikifanywa kwa kiasi si mbaya ki hivyo!

Nyie acheni nyie...mamsapu anaulizwa kavaa nini hapo kwa bed, halafu anajibu kwa mbwe mbwe nimevaa khanga tu..ndani hamna kitu! Anaambiwa geuka basi ulale chali..anageuka! we unadhani mtu anatafuta pozi comfortable la kulala kumbe anashurutishwa huko! Ukibamba...ooh am just flirting!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,475
Likes
10,569
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,475 10,569 280
Hahahaaaaa! Flirting inamkumbusha " IF YOU DONT WANT IT NO MORE, SOME ELSE CANT WAIT TO GET HIS FINGERS ON IT, YOU BETTER WATCH OUT"

Ujue flirting inasaidia to jog his memory kidogo kuwa "May you havent noticed but that babe next to you is BAD NEWS! And we want that piece of candy too, n we want it bad!" Lazima upokee treatment like a Queen you are!

Pia inakupa comfidence kuwa you are still hot on the game! Hata akikuzingua bado una chance za kusurvive! You are not totally and completly finished yet!
 
Forum statistics

Threads 1,214,781
Members 462,867
Posts 28,523,609