Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,649
He he he, babu tunaenda na wakati
Ila ujue mie mzee mwenzio sema tu nimeamua kupinda kwa hiari baada ya kazi kunilazimu kuishi na vijana kwa muda mrefu sana
Basi tuanze kuhashukiana kizee zee :majani7::behindsofa:
Nitaanzaje wakati nilishamaliza?
Nikijaribu tu nahisi aorta itapasuka...lol!