Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Na huyo hapo kwa red ni member wa JF?

Nimeamini alivyoniambia babu yangu Mtaveta(RIP) kuwa mwanamke anapokuwa na hamu ya cha asubuhi afu akanyimwa kwa makusudi vidole vyake vinatetemeka na kukosea njia kwenye mambo serious.

Pole sana Kongosho.

CC: Kaizer
BCC: Dark City

Source: Kaizer

Utu uzima dawa kaka....

Kama huyu Kongosho hataweza kuelewa hapa, basi hakuna jinsi nyingine ya kumsaidia?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi unafanya kazi ya kubatiza watu??

Najua tu haoa unatafuta like ya Babu.....

Umepata ile ujue ni like tu...nothing more...

Na likes zako zote zimefika ila hazitoshi kukupa uraia wa taifa la Babu !!!!

Babu DC!!

Ha ha ha, sijakubatiza
Nimeiweka makusudi ina maana yake

Likes zangu sikufikie huko kijijini
Mwambie bibi karibu anapata mpinzani

Na huyo hapo kwa red ni member wa JF?

Nimeamini alivyoniambia babu yangu Mtaveta(RIP) kuwa mwanamke anapokuwa na hamu ya cha asubuhi afu akanyimwa kwa makusudi vidole vyake vinatetemeka na kukosea njia kwenye mambo serious.

Pole sana Kongosho.

CC: Kaizer
BCC: Dark City

Source: Kaizer

Usione hiki kibabu
From Dark( inamaanisha giza na kimya) to Bark (Kinabweka, sharp teeth, ukizubaa kinauma) :glasses-nerdy:
 
Ha ha ha, babu ananichekesha

Anapokataa huku akicheka na vipengo vyote nje, afu kakaa pale pale chini ya mti wa mkwaju, na kiti chake cha kukunja
Habanduki, lazima konnie is doing a great job kumwongezea siku za kuishi

Nikijumlisha na Like?

Umenoa Kongosho,

Stop calling a wrong number, jaribu nyingine tena!!

Babu DC!!
 
Ha ha ha, babu ananichekesha

Anapokataa huku akicheka na vipengo vyote nje, afu kakaa pale pale chini ya mti wa mkwaju, na kiti chake cha kukunja
Habanduki, lazima konnie is doing a great job kumwongezea siku za kuishi

Nikijumlisha na Like?

Shauri lako wewe Kongosho,

Ukichelewa michuma usinilaum

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
He he he he, hii michuma unayoiona

Unaweza kuta mimbao

Akili kumkichwa siku hizi, ukiona vyalea vingine vimefungwa maboya

Kwani wewe huna macho ya kutofautisha....

Na ujanja wako wote unataka kubaki unalilia kuomba msaada wa Babu?
 
Habari wakuu!

How do we define flirting?
Is flirting part of or in anyway equal to cheating?
What would you do having known your girlfriend is flirting?

Asante!
 
Back
Top Bottom