Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Pia inakupa comfidence kuwa you are still hot on the game! Hata akikuzingua bado una chance za kusurvive! You are not totally and completly finished yet!

Nadhani hicho ndicho kinachofanya wanawake wengi wawe addicted na flirting...hasikuambie mtu bana, mwanaume anayeflirt, yale manano anayoongea akiflirt kama akimuambia mkewe...mtoto wa kike hatoki nje huyo!
 
Sasa baba, kama memsahib hata akivaa khanga moko anapita mbele yako wewe unawaza magonjwa uliyoona mchana? Nae afanyeje sasa? Na siku hizi kuna picha, anaambiwa nitumie picha yako basi! Kama unarudi na pombe na stress zako, unalalamikia chakula na kujitupa kitandani na kukoroma, unalo hilo. If you flirt and have pillow talk na mwenza wako that shouldnt happen bwana! Wanawake takes a lot of stress kwa gharama ya kukaa kwenye mahusiano.

Imagine kuna jitu hata haulimind na linakuambia plz nitumie picha yako baby, nione umevaaje leo (kazini), wakati ukivaa hata mwenza hakuangalii na ukimtumia msg mchana have u had lunch hun, hakujibu manake yuko busy. Kha!
Nyie acheni nyie...mamsapu anaulizwa kavaa nini hapo kwa bed, halafu anajibu kwa mbwe mbwe nimevaa khanga tu..ndani hamna kitu! Anaambiwa geuka basi ulale chali..anageuka! we unadhani mtu anatafuta pozi comfortable la kulala kumbe anashurutishwa huko! Ukibamba...ooh am just flirting!
 
Hivi ulevi upi una nguvu sana?

Wa kuanzia kiunoni kushuka miguuni ama wa kuanzia kiunoni kuja kichwani??

Ulevi wa kwenda juu huchagiza nguvu ya ulevi wa kwenda chini.

Yaani ni kama CCM na CUF kwenye serikali ya mseto.
 
please Kiranga na Gaijin tunahitaji msaada wenu hapa.. Nini kiswahili cha neno flirt?

Nomino ya neno flirt kwa Kiswahili sanifu ni "hashuo"

Kwa hiyo kwa Kiswahili, ku-flirt ni "kujihashua" au "kuhashukwa"

Ukitaka kusema Rosa ana-flirt na Juma unaweza kusema hivi:

1. Rosa anajihashua/anamhashukia Juma (ikiwa ni Rosa tu anaetenda)

2. Rosa anahashukiana na Juma (ikiwa wote wawili wanatendeana)

Tanabahi 1
* Kwa hulka na tamaduni ya Kiswahili kuhashua/kuhashukwa hakubebi dhana kuwa kuna dhamira ya ngono kila wakati.

Unaweza kumhashua dada, kaka, mama, baba, bibi au babu yako (na bila ya shaka mke au mume wako).

Kwa hiyo mbali na kumaanisha ku-flirt, kunamaanisha pia kuonyesha mapenzi wazi wazi kwa mtu wako

Tanabahi 2
*Ukimsikia mtu kakuambia "hebu usinihashukie" jua umetukanwa tusi kubwa mno.
 
He he he, nina Phd ya kurushana roho, wakati sifanyi chochote

Hakuna kitu kinaudhi kama 'divided attention' ama mtu kuwa 'present but not available'
Lazima aone PM ya kaka shemeji, naifungua afu najidai naenda kuchukua maji ya kunywa

Naweza kuwa niko kwenye shuka nimejifunika gubigubi na simu yangu nacheeka.

unasikia mtu anapumua hapo pembebi kama Faru

Kama Kongoesho, mie nikikukuta unaflirt lazma niflirt kukupiku,lol. Ila flirting is a new way of not cheating all the way. Na ukimkuta mwenza anaflirt haijustify kuachana (kama ni ndoa). Ila sasa kununa na kujidai mkali haisaidii. Kama uko interested swallow it, anza kuflirt nae ili umuweke busy. Ukitumiwa msg lunch njema darling, does it take a century kusema thanks sweetie, as compared to ok? Au poa? If you dont make your lady feel beautiful, someone else will aisee.
 
KWA MTAZAMO HUU, NITAKUWA NIMEMEGWA SANA HAPA JF!! PITTY ME!!! :behindsofa:

hahaha....usifanye masikhara kabisa rafiki, flirting ni silaha moja kubwa sana ya kuweka mawindo kwenye target.
uzuri ni kwamba hapa JF especially kule CC wengi wanaofanya flirting hata sidhani kama wanamaanisha maana physically si kuwa watu wanajuana.
Lakini hatari itazuka pale mtapokutana na kukuta interests zalingana na hata body appearance ni sawasawa na ile ambayo huku-turn on
 
Kuna ukweli unapokuta mpenzio anaflirt na watu kama 10 au zaidi...na hana mahusiano ya kingono na hata mmoja wao? I mean...if you ask, ndio jibu utakalopewa..atasewar na vilio juu..'sijawahi hata kumuona anafananaje'! Is that the reason enough to trust her/him again? OR is that reason enough to quit such a relationship?
utaja acha mke au mchumba bureeeee!! my dear Riwa, achana kabisa na hizo believes!! u can flirt na BADO USIGONGWE!! ni vile mtu ajiwekavyo, ofkoz wanaume hutaka kugonga kila kipitacho mbele yake, tena kama mlikuwa mna flirt ndiyo kabisaaaaaaaa!! lakini pia wakina dada wapo wenye AKILI zao TIMAMU!! na kujua kusoma alama za nyakati, HATUPO EASY HIVYO JAMANI!! nakataa hilo,

mbona maofisini tuna flirt mwanzo mwisho, tena mtu anaflirt ile karibu na ukweli, yaani breakfast, lunch kwake, na zawadi x-mas, easter utapata perfumes za kufa mtu, akijua ni birthday yako ndiyo kabisaaaaaaa!"! lakini haimaanishi nitavunja NADHIRI YANGU niliyoweka ya kutokugawa uvungu wangu kwa yeyote!! PERIOD!! JIAMINI MY KAKA, WENGINE HUJIHESHIMU KWELI KWELI!
 
Last edited by a moderator:
Sasa tuko kurasa moja. Tunapenda kuflirt na wenzi wetu ila ndo wako busy jamani!
cha kusikitisha ni kwamba huyo mume ambae hawezi kuflirt na mkewe, yuko busy anaflirt na mke wa mwenzie ama gf wa mtu! Its a vicious cycle. . .

Niliwahi kusafiri na coaligue mwezi mzima field. Ana nyumba ndogo ambayo ni mke wa mtu, na ana mke wa ndoa. In the end nilimuambia, ungekuwa unawekeza emotions za nyumba ndogo hata nusu tu kwa mkeo ungekuwa na ndoa ya maana sana. Manake akipiga simu mke utajua kwa anavyopokea kama askari jela! Nyumba ndogo inabembelezwa tu all the time na ikipiga ni kulalamika tu.

Nadhani hicho ndicho kinachofanya wanawake wengi wawe addicted na flirting...hasikuambie mtu bana, mwanaume anayeflirt, yale manano anayoongea akiflirt kama akimuambia mkewe...mtoto wa kike hatoki nje huyo!
 
Mmmh, aiseee

Hauna darasa la kiswahili la hiari?

Hivi, zamani ilikuwa unakuta babu anamwita mjukuu 'mchumba' hadharani kwa utani, ama anamwita 'mke wangu'
Nayo ni flirting?

Nomino ya neno flirt kwa Kiswahili sanifu ni "hashuo"

Kwa hiyo kwa Kiswahili, ku-flirt ni "kujihashua" au "kuhashukwa"

Ukitaka kusema Rosa ana-flirt na Juma unaweza kusema hivi:

1. Rosa anajihashua/anamhashukia Juma (ikiwa ni Rosa tu anaetenda)

2. Rosa anahashukiana na Juma (ikiwa wote wawili wanatendeana)

Tanabahi 1
* Kwa hulka na tamaduni ya Kiswahili kuhashua/kuhashukwa hakubebi dhana kuwa kuna dhamira ya ngono kila wakati.

Unaweza kumhashua dada, kaka, mama, baba, bibi au babu yako (na bila ya shaka mke au mume wako).

Kwa hiyo mbali na kumaanisha ku-flirt, kunamaanisha pia kuonyesha mapenzi wazi wazi kwa mtu wako

Tanabahi 2
*Ukimsikia mtu kakuambia "hebu usinihashukie" jua umetukanwa tusi kubwa mno.
 
hahaha....usifanye masikhara kabisa rafiki, flirting ni silaha moja kubwa sana ya kuweka mawindo kwenye target.
uzuri ni kwamba hapa JF especially kule CC wengi wanaofanya flirting hata sidhani kama wanamaanisha maana physically si kuwa watu wanajuana.
Lakini hatari itazuka pale mtapokutana na kukuta interests zalingana na hata body appearance ni sawasawa na ile ambayo huku-turn on
MUNGU apishie mbali!! NISIMTAMANI YEYOTEEEE, ni raha sana na unakuwa na amani sana, unapojua hakuna mtu kakugusa zaidi ya mkeo/mumeo. TUWE MARAFIKI MILELE NA IBAKI HIVYO, lol!! watu8 mzima wewe??
 
Last edited by a moderator:
Sasa baba, kama memsahib hata akivaa khanga moko anapita mbele yako wewe unawaza magonjwa uliyoona mchana? Nae afanyeje sasa? Wanawake takes a lot of stress kwa gharama ya kukaa kwenye mahusiano.

Imagine kuna jitu hata haulimind na linakuambia plz nitumie picha yako baby, nione umevaaje leo (kazini), wakati ukivaa hata mwenza hakuangalii na ukimtumia msg mchana have u had lunch hun, hakujibu manake yuko busy. Kha!

Lakini da King'asti...jukumu la kupendana na kuyafanya mapenzi yawe na msisimko si la wote wawili, au sababu mie ndio nlikutongoza basi inakuwa wajibu wangu wa maisha na wewe huna wajibu wowote katika hilo? kazi yangu lazima uiweke under consideration bana...assume mie gynaecologist...how many asses and p*sses did I play with all day? Za kila aina na kila ukubwa na kila umbo...gim'me something different when I get back home...sio same stuff I see all day everyday! Hapo lazima beer itakuwa tamu zaidi...
 
Kuna ukweli unapokuta mpenzio anaflirt na watu kama 10 au zaidi...na hana mahusiano ya kingono na hata mmoja wao? I mean...if you ask, ndio jibu utakalopewa..atasewar na vilio juu..'sijawahi hata kumuona anafananaje'!

Kaka, bila kung'ata maneno..... Kama mkeo anaflirt na njemba zaidi ya 10 (kwa staili mzee mwenzangu Dark City kaiita utongozaji) Basi amin amin nakuambia kuna njemba zaidi ya tano zishamlala!

Take it from me bro. Am a very reliable source!
 
Last edited by a moderator:
Aisee, wewe kweli umezeeka. Hawaishii kuuliza tu, hawakawii kumaliza kabisa na miguno! Kweli wewe born before computers, hahaha

Basi mie sielewi. Nilidhani ni utani mdogo mdogo tu wenye maneno ya kawaida. Kumbe wanaulizana hata rangi ya vyupi?

Kama ni hivyo basi huko ni kutongozana.

Hiyo shule nilimalizana nayo 1947!
 
Kaka, bila kung'ata maneno..... Kama mkeo anaflirt na njemba zaidi ya 10 (kwa staili mzee mwenzangu Dark City kaiita utongozaji) Basi amin amin nakuambia kuna njemba zaidi ya tano zishamlala!

Take it from me bro. Am a very reliable source!
mmmmmmhhhhhhhhhh!! source naikubali, ila ujumbe uliompa mwenzio naukataa!! SI WOTE WAPO VILE UDHANIAVYO MY DEAR HUBBY!! wengine wana fahamu zao timamuuuuuuu!!
 
Nomino ya neno flirt kwa Kiswahili sanifu ni "hashuo"

Kwa hiyo kwa Kiswahili, ku-flirt ni "kujihashua" au "kuhashukwa"

Ukitaka kusema Rosa ana-flirt na Juma unaweza kusema hivi:

1. Rosa anajihashua/anamhashukia Juma (ikiwa ni Rosa tu anaetenda)

2. Rosa anahashukiana na Juma (ikiwa wote wawili wanatendeana)

Tanabahi 1
* Kwa hulka na tamaduni ya Kiswahili kuhashua/kuhashukwa hakubebi dhana kuwa kuna dhamira ya ngono kila wakati.

Unaweza kumhashua dada, kaka, mama, baba, bibi au babu yako (na bila ya shaka mke au mume wako).

Kwa hiyo mbali na kumaanisha ku-flirt, kunamaanisha pia kuonyesha mapenzi wazi wazi kwa mtu wako

Tanabahi 2
*Ukimsikia mtu kakuambia "hebu usinihashukie" jua umetukanwa tusi kubwa mno.

Ahsante sana.

Nimekubali kuwa kweli wakati umenipita kwa speed ya mwanga.
 
lakini pia wakina dada wapo wenye AKILI zao TIMAMU!! na kujua kusoma alama za nyakati, HATUPO EASY HIVYO JAMANI!! nakataa hilo,

PERIOD!! JIAMINI MY KAKA, WENGINE HUJIHESHIMU KWELI KWELI!

Okey...simply umem'bamba' mpenzio anaflirt na anajitetea hana uhusioano wa kingono na huyo anayeflirt naye...lakini hizo chats ni balaa tupu, hata hazihadithiki!

How can you tell huyu ana 'akili timamu' na huyu 'anajiheshimu'?
 
Back
Top Bottom