Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Una akili sana kama mke Wa Obama!
Hahahah.... navuta taswira babu DC anaflirt na mkewe kwenye web cam.....
Hehehe au anachat naye akimuuliza rangi ya chupi aliyovaa....
Ngoja kwanza nitafakari upya nione kama kweli naweza flirt na mama Matesha wangu the way navoflirt na cacico...... Khaaa!
Last edited by a moderator: