Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Ukikutana na mwanaume anayejua kuhashua unawezajikuta unaadika maruweruwe humu JF.

Kama huyu lazima alikuwa anahashuliwa wakati anaandika hii barua. lol.

Chezea kuhashuliwa.

a96772_a488_dear-ruth.jpg

Kuntu kabisa.

Hashuo ni kama kilevi, lina panda kichwani!

Ila hamna mas'hara, kumhashua mpenzi muhimu, kwa wanawake na wanaume.

Mie napitisha hoja, anaeona hahashuliwi na mtu wake amwambie, hebu nihashue kidogo?!

Na unaweza hata kusema unataka kuhashuliwa vipi, maana wanaume (wanawake) wengine hawana DNA ya hashuo hata punje
 
Babu ODM hawezi soma hizi coded messages, ye na babu DC iko kitu moja walizaliwa wakati wa simu za kuzungusha...
mie nitakua na pensi ya khaki yenye mifuko sideways, sandles chini na form six polo white...lol

Hahahahaa!

Codes ni balaa. Bibi alikuwa anawatuma wadogo zake kuazima vitabu na magazeti. Wakipewa wanakimbiza bila kujua kuwa kwenye angle moja kuna bonge la appointment!
 
Kama wanahashua na kubanjuana basi hiyo sawa. Mimi wanaoniudhi ni wale wanahashuana na kutelekezana hewani.

Ndiyo maana madogo wamepungukiwa horsepower tunabaki kulalamika. Hata zile dalil za asubuhi za kumhakikishia mama wajukuu zimeadimika utadhani ulanguzi wa uchumi umerejea!

Hahahaha, hiyo mifano yako kiboko.

Hivi kwani wewe humhashui na kumhashukia mama watoto?
 
Kuntu kabisa.

Hashuo ni kama kilevi, lina panda kichwani!

Ila hamna mas'hara, kumhashua mpenzi muhimu, kwa wanawake na wanaume.

Mie napitisha hoja, anaeona hahashuliwi na mtu wake amwambie, hebu nihashue kidogo?!

Na unaweza hata kusema unataka kuhashuliwa vipi, maana wanaume (wanawake) wengine hawana DNA ya hashuo hata punje

Haiwezekani bwana wakose DNA, sema tu mitambo ilizimwa forever na funguo zikatupwa. Hata wangeomba msaada wa Ngeleja bado mgao wa Umeme utagoma!
 
Hahahaha, hiyo mifano yako kiboko.

Hivi kwani wewe humhashui na kumhashukia mama watoto?

Kwanii ukimfanyia hivyo kuna side effects?

Shida yangu ni kuhashuana na akina Kongosho halafu mnaacha kuhesabu mabati usiku kucha.

Kumbe ndo maana hata soko la yale maplastic linaongezeka.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa!

Codes ni balaa. Bibi alikuwa anawatuma wadogo zake kuazima vitabu na magazeti. Wakipewa wanakimbiza bila kujua kuwa kwenye angle moja kuna bonge la appointment!

hahahah hiyo mbinu nimeikubali, halafu mtoto hata hajiulizi hilo gazeti la mwaka jana lakini leo ndio lapelekwa kwa bibi...
 
hahahha! nishaona hapa kuna hatari ya watu kupata outing za xmas wengine wakifungiwa ndni lol!

mkae na amani ya bwana. leo niko tech and gadgets.........

Just make sure unajua codes, usije ukahashiwa huko ukajichanganya.

Oh my dear, my love
You are a sight for sore eyes
You are the Windows to my System
You can make my CPU-usage rise

Virus, you are my dear
You’ve penetrated through my firewall
Carefully bypassing my Anti-virus
You’ve made an infinite loop of love, you doll!

I shift deleted other girls from my mind
And have given you the ‘admin rights’
My 1000 GB HDD is full of love for you
Your lethal beauty can hack many websites

Your thoughts choke up my RAM
They fill my integrated chips with happiness
For you my keyboard goes CAPS Lock
And wires jumble making a mess

Only you can root my server
If not then please SQL inject it
Everything lies on your ‘YES’ now Or else,
I’ll jump into the virus pit

If you say ‘YES’ I’ll leave my facebook
I’ll keep you in my C:\ drives system32 folder
You will rule there forever
I’ll update it as it gets older

My CPU beating at high Gigahertz
My blood like current flowing through wires
All are waiting for that little ‘yes’
And that’s what this computerized-body desires!

By - Sanved Tapkeer
 
Haiwezekani bwana wakose DNA, sema tu mitambo ilizimwa forever na funguo zikatupwa. Hata wangeomba msaada wa Ngeleja bado mgao wa Umeme utagoma!

Ndio maana wengine wanakimbiwa na wapenzi wao. Wao wanaona wanatoa kila kitu kumbe wamesahau fungu la hashuo.

Hashuo muhimu sana katika kusaidia kudumisha ndoa katika kizazi hiki.

Hata kimeseji chenye maneno mawili ya kimahaba na kihashuo hamna sasa?

Huyu mwanamke unamtarajia ajiskieje wakati wenziwe waliomzunguka wanahashuliwa asubuhi mchana na usiku!
 
Kuna mambo hayako sawa kabisa kwenye dunia ya leo.
Haya mambo watu wanayapenda na wanayahalalisha.

Nakumbuka wakati mmoja humu Kiranga alikemea hali kama hii,walimjia juu sana aliowakemea na kumuona hafai kabisa.
Siku hizi mwizi anaiba halafu haoni kama ni kosa kufanya hivyo,bali anajihalalishia wizi wake!
 
_MG_0015.jpg

Gaijin hili neno la "kuhashuliwa" nilikutana nalo kwa mara ya kwanza kwenye blogu moja ambapo mchangiaji mmoja alichangia kwenye hii picha ya warembo waliokuwa wanagombania U-Miss. Kwenye hii picha, warembo walikuwa wamevalia vazi hilo tayari kwa kwa futari.

Mchangiaji akasema "sasa hivi mnaweza mkapata mume akawaoa mkastirika, acheni kuhashuliwa na vyombo vya habari na urembo [emphasis added]"

Basi mie nilichukulia juu juu tuu kumbe alikuwa na maana waache "kuflitiwa" na vyombo vya habari na urembo?
 
Gaijin hili neno la "kuhashuliwa" nilikutana nalo kwa mara ya kwanza kwenye blogu moja ambapo mchangiaji mmoja alichangia kwenye hii picha ya warembo waliokuwa wanagombania U-Miss. Kwenye hii picha, warembo walikuwa wamevalia vazi hilo tayari kwa kwa futati.

Mchangiaji akasema "sasa hivi mnaweza mkapata mume akawaoa mkastirika, acheni kuhashuliwa na vyombo vya habari na urembo [emphasis added]"

Basi mie nilichukulia juu juu tuu kumbe alikuwa na maana waache "kuflitiwa" na vyombo vya habari na urembo?

Haswaa, umeipata hasa maana ya hashuo. Umefuzu

*Nadhani Kiswahili kilichozoeleka ni "acheni kuzuzuliwa na vyombo vya habari na urembo wenu"
 
Ha ha ha ha ha lol

“Wanaotaka kuhashua wanatoa rushwa. Wanaotaka kuhashuliwa nao wanataka rushwa. Hahashuliwi mtu bila rushwa, na mtu hahashui bila rushwa na hapo ndipo kazi ngumu ilipo” - Source Mimi mwenyewe.

Mweee! Mie sipo na nimebadilisha signature yangu fasta usije ukadhani najihashua nae.
 
hii thread nikiendelea kujihashua nayo nitapigwa ban ya maisha jf na mjini pia. Mume ni ajira atii. Napita
:hug::hug: Paw nawahi home nikakupikie baba. Spagheti boloneigse na prawns greek salad. Wahi sweethearted, cant wait lol (@ashadii,, usisome naflirt na kakako)
 
Sijui kama wanamme wanalijua hili
Wanawake wanapenda sana kuhashuliwa

Wengi hawajui.

Ila tatizo ninaloliona hata ukimwambia kuwa mimi siwezi mpaka unihashue, mwanamme hachukui hatua

Hapo kutochukua hatua ndo wanapoharibu mazima
 
Kuna kitu nimekiona hapa,naombeni kujibiwa,mwanamke anaehashuliwa na asie mumewe ina maana hahashuliwi na mumewe?

Kama jibu ni ndio,wanawake wa JF asilimia kubwa hawahashuliwi na waume/wapenzi wao.
Kama jibu ni hapana,basi wanawake wa JF wanacheat ki hashuo sana(kama kufanya hivyo ni kucheat)
 
Back
Top Bottom