Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Mmmh, aiseee

Hauna darasa la kiswahili la hiari?

Hivi, zamani ilikuwa unakuta babu anamwita mjukuu 'mchumba' hadharani kwa utani, ama anamwita 'mke wangu'
Nayo ni flirting?

Hizo ndo zilikuwa za kwetu.


Tatizo ni kwamba nyie mmeamua kucustomize!
 
poayo! ni salamu tu wangu, hivi Yummy yupo wapi jamani?? nimemiss sana!

Alikimbilia Zambia baada ya kushindwa ukewenza wa ODM

Ulevi wa kwenda juu huchagiza nguvu ya ulevi wa kwenda chini.

Yaani ni kama CCM na CUF kwenye serikali ya mseto.

Mmh, mie jani huwa linanipa stimu kali sana
Yaani nikifika mlangoni kama bado una nguo lazima niziondoe kwa fyekeo
 
Basi amin amin nakuambia kuna njemba zaidi ya tano zishamlala!

Take it from me bro. Am a very reliable source!

ala ala Aspirin....unapaswa kuwa dawa ya maumivu weye...hata ka hutibu ugonjwa wenyewe unaosababisha maumivu!
 
Mmmh, aiseee

Hauna darasa la kiswahili la hiari?

Hivi, zamani ilikuwa unakuta babu anamwita mjukuu 'mchumba' hadharani kwa utani, ama anamwita 'mke wangu'
Nayo ni flirting?

Enhee, hasaa!

Na wengine wajukuu watu wazima utakuta wanaambizana kabisa, ngoja nimchukulie babu zawadi fulani nikamhashue kidogo. Akifika ni kumwagia masifa mbele za watu, ili babu nae afurahi 🙂

Kwa hiyo flirting ina maana hasi na chanya kutegemeana na unamfanyia nani.
 
He he he, babu tunaenda na wakati

Ila ujue mie mzee mwenzio sema tu nimeamua kupinda kwa hiari baada ya kazi kunilazimu kuishi na vijana kwa muda mrefu sana

Basi tuanze kuhashukiana kizee zee :majani7::behindsofa:

Hizo ndo zilikuwa za kwetu.


Tatizo ni kwamba nyie mmeamua kucustomize!
 
Ahsante sana.

Nimekubali kuwa kweli wakati umenipita kwa speed ya mwanga.

Kwani enzi za zamani ndo kulikuwa hakuna kuhashuana (maana chanya) na kuhashukiana (maana hasi)?
 
Ni kweli

Tena babu anafurahi, ama bibi na mjukuu wake wa kiume

Those days!

Enhee, hasaa!

Na wengine wajukuu watu wazima utakuta wanaambizana kabisa, ngoja nimchukulie babu zawadi fulani nikamhashue kidogo. Akifika ni kumwagia masifa mbele za watu, ili babu nae afurahi 🙂

Kwa hiyo flirting ina maana hasi na chanya kutegemeana na unamfanyia nani.
 
Okey...simply umem'bamba' mpenzio anaflirt na anajitetea hana uhusioano wa kingono na huyo anayeflirt naye...lakini hizo chats ni balaa tupu, hata hazihadithiki!

How can you tell huyu ana 'akili timamu' na huyu 'anajiheshimu'?
hakuna SILAHA kubwa kwenye mahusiano kama TRUST! aminianeni kwanza nyie wawili, before anybody does!! YAANI AMINI KUWA SIWEZI/HAWEZI KUCHEAT!!! then talking to him/her na kukumbushiana kwamba CHEATING NI DEATH PENALTY kwenye uhusiano wenu its very important!! NAWEZA KUJA KWAKO NIKAKWAMBIA HUBBY WANGU HIVI, HUBBY WANGU VILE, NA WEWE KWASABABU UNA MAWAZO MGANDO UKAAMINI NIKUAMBIACHO KUWA NATESEKA KWENYE MARRIAGE, KUMBE NINA LENGO FULANI KWAKO, na najua pia wewe unachohitaji kwangu ni UVUNGU TU!!

NIKISHAPATA NIKITAKACHO NAKULA KONA KABLA HUJAAMKA USINGIZINI, NA sababu nilishakusoma sitaruhusu UNIMEGE!! Kama imeshindikana for both of us to acquire what we wanted, BASI HAPO NDIO URAFIKI HUFAGA!!

muaminishe partner wako kwamba INAWEZEKANA BILA CHEATINGS!!
 
Nomino ya neno flirt kwa Kiswahili sanifu ni "hashuo"

Kwa hiyo kwa Kiswahili, ku-flirt ni "kujihashua" au "kuhashukwa"

Ukitaka kusema Rosa ana-flirt na Juma unaweza kusema hivi:

1. Rosa anajihashua/anamhashukia Juma (ikiwa ni Rosa tu anaetenda)

2. Rosa anahashukiana na Juma (ikiwa wote wawili wanatendeana)



Tanabahi 1
* Kwa hulka na tamaduni ya Kiswahili kuhashua/kuhashukwa hakubebi dhana kuwa kuna dhamira ya ngono kila wakati.

Unaweza kumhashua dada, kaka, mama, baba, bibi au babu yako (na bila ya shaka mke au mume wako).

Kwa hiyo mbali na kumaanisha ku-flirt, kunamaanisha pia kuonyesha mapenzi wazi wazi kwa mtu wako


Tanabahi 2
*Ukimsikia mtu kakuambia "hebu usinihashukie" jua umetukanwa tusi kubwa mno.

Ahsante sana Gaijin kwa ufafanuzi wako. Be blessed
 
Last edited by a moderator:
Aisee, wewe kweli umezeeka. Hawaishii kuuliza tu, hawakawii kumaliza kabisa na miguno! Kweli wewe born before computers, hahaha

Kama ni hivyo basi niwatakie kila.

Yaani mie ningeweza vipi kufikia hatua ya miguno halafu eti ni maigizo?

Kumbe ndo maana vijana wetu wamekuwa mabutu kama kisu cha kukatia ugali?

Anyway, Mungu awalinde wote wanaoflirt!

Babu DC!!
 
Ila kwa hali ilivyo sasa hivi, babu akimuita mwanangu mkewe nitamkata jicho la mwaka! Hakuna wema siku hizi aisee. Ajabu wakati nakua kuna mfanyakazi mwenzao mama alikuwa ananiita mchumba, nalia hadi nakataa kula. Siku hizi tukikutana nacheka kweli manake nakumbuka.
Enhee, hasaa!

Na wengine wajukuu watu wazima utakuta wanaambizana kabisa, ngoja nimchukulie babu zawadi fulani nikamhashue kidogo. Akifika ni kumwagia masifa mbele za watu, ili babu nae afurahi 🙂

Kwa hiyo flirting ina maana hasi na chanya kutegemeana na unamfanyia nani.
 
Flirt back na mtu mzurii zaidi tuona sasa!!! si mvuto umeisha kwenye ndoa!!!

flirtingpresent participle of flirt (Verb)

Behave as though attracted to or trying to attract someone, but without serious intentions. Flirting usually involves speaking and behaving in a way that suggests a mildly greater intimacy than the actual relationship between the parties would justify
............................................................................................................

Flirting imekuwa tatizo kubwa sana kwenye mahusiano siku hizi, wanawake kwa wanaume...wanapenda kuflirt, especially kwenye ndoa ambazo mvuto kati wa mume na mke umepotea (japo si lazima wacheat 'kingono'). Kubali kataa...mpenzio kama yuko kwenye mitandao ya kijamii (hasa baada ya hili kurahisishwa na simu) basi kuna uwezekano mkubwa anaflirt.

Ugumu unakuja unapomconfront mpenzio pindi ukim'bamba'...atasema 'am just flirting tu, mean no harm, hata mtu mwenyewe sijawahi kutana naye'! Unafanya nini katika situation kama hiyo? Unamuacha?...this has never work, sababu wengi sana wanaflirt, utakayekutana naye baadae naye ni flirter. Unamuonya?...it has never work either, hata akikubali basi sirudii, for sure ataendelea kuflirt, ina some sort of addiction! Unamchimbia mkwara anayecheat na mpenzio?....unajiaibisha, am sure watakapoflirt tena atamuambia 'achana na yule ****'!

So 'unatakiwa ufanye nini kwa kweli'? Ignore it like it has never happen?!
 
mmmmmmhhhhhhhhhh!! source naikubali, ila ujumbe uliompa mwenzio naukataa!! SI WOTE WAPO VILE UDHANIAVYO MY DEAR HUBBY!! wengine wana fahamu zao timamuuuuuuu!!

Afu wee hebu kaa pembeni kule. Hii kesi haikuhusu ujue.
 
Kwani enzi za zamani ndo kulikuwa hakuna kuhashuana (maana chanya) na kuhashukiana (maana hasi)?

Kulikuwepo ila tulikuwa hatuchunglishani kufuli kwa web cam, kupeana miguno au kusimuliana style unyoaji.


Kwa ufupi hawa wanatongozana.
 
Riwa sio rahisi kuwa utamuacha mpenzi wako sababu tu ana flirt… Ni wengi wana flirt na katika idadi lets say za watu 10 ambao anaweza flirt nao, possibility ya kufanya nao ngono inaweza kuwa hata not less that 4 (hii naizungumzia kwa wanaume). Mwanaume akiwa na niya ya kulala na mwanamke the best way ya kumuandaa huyo mwanamke ni ku flirt nae…. Simply because inachukuliwa kama utani; huku sometimes akitupia jumbe za hapa na pale zenye meaning na uzito na pia kupata baadhi ya majibu ambayo anadhamiria ili ku scavenge.

Personally mpenzi wangu sipendi a flirt ovyo, ama consistently na mtu mmoja na wala asithubutu ku flirt mimi nikiwa shahidi na kuona kuwa ana flirt... Najua ana flirt from time to time (from instinct sio kwamba nimemuona); Akisema afanye hivo mbele yangu Of coz patakuwa padogo na wala siwezi kubali… Sikubaliani nalo…
AshaDii unanifurahisha sana hapa MMU, hivi unaweza ukaamini napata taabu sana ninaposoma posts zako? I wish nikuone dear.
 
Last edited by a moderator:
Ila kwa hali ilivyo sasa hivi, babu akimuita mwanangu mkewe nitamkata jicho la mwaka! Hakuna wema siku hizi aisee. Ajabu wakati nakua kuna mfanyakazi mwenzao mama alikuwa ananiita mchumba, nalia hadi nakataa kula. Siku hizi tukikutana nacheka kweli manake nakumbuka.

Hapo sasa! Hali siku hizi imebadilika.
 
Kumbe hatujajibu tunapiga michapo?

Dr, that aint a reason enough ya kutomuamini. Ila ni sababu nzuri ya kuanza kuflirt nae. Kama bado anaflirt na wewe na anahitaji 10 more pple to flirt with basi labda mvunje uhusiano. Women, and men as well, flirt when they are bored or lonely. Usimuache mwenza awe lonely.

Is that the reason enough to trust her/him again? OR is that reason enough to quit such a relationship?
 
Kulikuwepo ila tulikuwa hatuchunglishani kufuli kwa web cam, kupeana miguno au kusimuliana style unyoaji.


Kwa ufupi hawa wanatongozana.

Hapo umenena. Hii aliyoisema Dr. Riwa ni kali ya aina yake
 
Back
Top Bottom