Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

Unafanyaje mpenzi wako aki'FLIRT'?

alichoongea AshaDii kina ukweli kabisa, wanaume sisi tuna mitego midogo midogo sana na flirting ni moja ya silaha zetu kubwa tukitaka kuangusha Scania.
Wajuzi wa "art of approaching", wanaicategorize flirting kama a must do step kama unataka ulale na mwanamke kirahisi. Flirting ni pumbazo ambalo mwanamke ukishamtega nalo mpaka anakuja kuchomoka walau utakua ushamnyoa japo manyoya....
Flirting ni kitu ambacho tumezaliwa nacho, ni chombezo ambalo mtu hajifunzi bali taratibu hujijenga kulingana na mara ngapi latumika.
Halafu sasa kina dada wengi hupenda wanaume wanaoflirt....na akijua wewe ni wa kaliba hiyo basi hataacha kukutupia vineno vya hapa na pale..."Nipigie simu best, nimemiss kweli sauti yako...".
 
Last edited by a moderator:
Shem AshaDii hapo juu ndio nini siri yangu nlokwambia ndo waiweka hadharani kweupe namna hii?

On serious note, asilimia kubwa ya wanaoflirt mitandaoni wakipanga kukutana kingonongono na wakakutana huwa wanangonoka kiukweli.

Bahati nzuri sana mahusiano yao huwa hayadumu..... mara nyingi hawapati kile walichotarajia. Si wajua kwenye flirtings wote hujifanya wataalam na matawi kwenye fani?
Kumbe?Oh Mammah!

Vinginevyo ndoa nyiiiingi sana zingeshaRIP.
Source? : SIO MIMI.
 
Last edited by a moderator:
Nyie acheni nyie...mamsapu anaulizwa kavaa nini hapo kwa bed, halafu anajibu kwa mbwe mbwe nimevaa khanga tu..ndani hamna kitu! Anaambiwa geuka basi ulale chali..anageuka! we unadhani mtu anatafuta pozi comfortable la kulala kumbe anashurutishwa huko! Ukibamba...ooh am just flirting!

Basi mie sielewi. Nilidhani ni utani mdogo mdogo tu wenye maneno ya kawaida. Kumbe wanaulizana hata rangi ya vyupi?

Kama ni hivyo basi huko ni kutongozana.

Hiyo shule nilimalizana nayo 1947!
 
shem ashadii hapo juu ndio nini siri yangu nlokwambia ndo waiweka hadharani kweupe namna hii?

On serious note, asilimia kubwa ya wanaoflirt mitandaoni wakipanga kukutana kingonongono na wakakutana huwa wanangonoka kiukweli.

Bajhati nzuri sana mahusoano yao huwa hayadumu..... Mara nyingi hawapati kile walichotarajia. Si wajua kwenye flirtings wote hujifanya wataalam na matawi kwenye fani?

Vinginevyo ndoa nyiiiingi sana zingesharip.
Source? : Sio mimi.
afu wewe nimekumiss ujue!! Njoo tuendeleze libeneke, ndiyo haswaaaaa faida ya flirting ebo!! Kwi kwi kwi kwi! Umoja wetu udumu milele kama ccm, lolest!
 
[h=3]flirtingpresent participle of flirt (Verb)[/h]Behave as though attracted to or trying to attract someone, but without serious intentions. Flirting usually involves speaking and behaving in a way that suggests a mildly greater intimacy than the actual relationship between the parties would justify
............................................................................................................

Flirting imekuwa tatizo kubwa sana kwenye mahusiano siku hizi, wanawake kwa wanaume...wanapenda kuflirt, especially kwenye ndoa ambazo mvuto kati wa mume na mke umepotea (japo si lazima wacheat 'kingono'). Kubali kataa...mpenzio kama yuko kwenye mitandao ya kijamii (hasa baada ya hili kurahisishwa na simu) basi kuna uwezekano mkubwa anaflirt.

Ugumu unakuja unapomconfront mpenzio pindi ukim'bamba'...atasema 'am just flirting tu, mean no harm, hata mtu mwenyewe sijawahi kutana naye'! Unafanya nini katika situation kama hiyo? Unamuacha?...this has never work, sababu wengi sana wanaflirt, utakayekutana naye baadae naye ni flirter. Unamuonya?...it has never work either, hata akikubali basi sirudii, for sure ataendelea kuflirt, ina some sort of addiction! Unamchimbia mkwara anayecheat na mpenzio?....unajiaibisha, am sure watakapoflirt tena atamuambia 'achana na yule ****'!

So 'unatakiwa ufanye nini kwa kweli'? Ignore it like it has never happen?!

...."tit for tat"....ishakuwa tatizo sugu. What she can do I can do better.
 
Unaogopa kutumika???

Kwa upande wangu huwa nachukia flirting. Nimekuwa naona flirting nyingi[Hasa ambazo huanzishwa na wanawake] huishia katika uhalisia. Najitahidi sana kuzikimbia ili usalama uwepo. Yapo maneno ambayo hutumika wakati wa ku flirt mwisho wa siku huteka hisia katika uhalisi. Kitakachofuata hapo ni kuambizana na kuahdiana ku meet.. Pia sipendi mpenzi wangu a flirt.[Hapo wivu unahusika]
 
alichoongea AshaDii kina ukweli kabisa, wanaume sisi tuna mitego midogo midogo sana na flirting ni moja ya silaha zetu kubwa tukitaka kuangusha Scania.
Wajuzi wa "art of approaching", wanaicategorize flirting kama a must do step kama unataka ulale na mwanamke kirahisi. Flirting ni pumbazo ambalo mwanamke ukishamtega nalo mpaka anakuja kuchomoka walau utakua ushamnyoa japo manyoya....
Flirting ni kitu ambacho tumezaliwa nacho, ni chombezo ambalo mtu hajifunzi bali taratibu hujijenga kulingana na mara ngapi latumika.
Halafu sasa kina dada wengi hupenda wanaume wanaoflirt....na akijua wewe ni wa kaliba hiyo basi hataacha kukutupia vineno vya hapa na pale..."Nipigie simu best, nimemiss kweli sauti yako...".
KWA MTAZAMO HUU, NITAKUWA NIMEMEGWA SANA HAPA JF!! PITTY ME!!! :behindsofa:
 
Na hiyo ndio 'art ya flirting'
Sasa unataka mkutane mgandane kama ruba? si itakuwa mwisho wa kuflirt na wengine?

Raha ni kugonga mara moja au ya pili na kupotea
Unaanza kutafuta windo jipya, he he he chezeiya samaki anayewinda paka weye?

Shem AshaDii hapo juu ndio nini siri yangu nlokwambia ndo waiweka hadharani kweupe namna hii?

On serious note, asilimia kubwa ya wanaoflirt mitandaoni wakipanga kukutana kingonongono na wakakutana huwa wanangonoka kiukweli.

Bahati nzuri sana mahusiano yao huwa hayadumu..... mara nyingi hawapati kile walichotarajia. Si wajua kwenye flirtings wote hujifanya wataalam na matawi kwenye fani?
Kumbe?Oh Mammah!

Vinginevyo ndoa nyiiiingi sana zingeshaRIP.
Source? : SIO MIMI.
 
On serious note, asilimia kubwa ya wanaoflirt mitandaoni wakipanga kukutana kingonongono na wakakutana huwa wanangonoka kiukweli.

Bahati nzuri sana mahusiano yao huwa hayadumu..... mara nyingi hawapati kile walichotarajia. Si wajua kwenye flirtings wote hujifanya wataalam na matawi kwenye fani?
Kumbe?Oh Mammah!
.

Kuna ukweli unapokuta mpenzio anaflirt na watu kama 10 au zaidi...na hana mahusiano ya kingono na hata mmoja wao? I mean...if you ask, ndio jibu utakalopewa..atasewar na vilio juu..'sijawahi hata kumuona anafananaje'! Is that the reason enough to trust her/him again? OR is that reason enough to quit such a relationship?
 
Hivi ulevi upi una nguvu sana?

Wa kuanzia kiunoni kushuka miguuni ama wa kuanzia kiunoni kuja kichwani??

Afanaaaleki, kufa hakuna breki!

Bia na iheshimiwe na watu wote wenye umri zaidi ya miaka 18.
 
Dr leo umeongea kitu muhimu and very relevant. Hebu chukulia situation hii, uhusiano umepungua mvuto kwa sababu mbalimbali, na mwenza hataki kuflirt na mwenzawe.
1. Lakini yuko busy tu na mambo yake mengine. Wakati mwingine hata ukitumiwa msg you are too busy kujibu, or else unajibu ok, au sawa! Ni mbaya kuwa in a boring relationship.

2. Mwenza hata akiwepo nyumbani yuko busy na mambo yake, hata kuongea hataki. Kuna mtu hana hata nafasi ya kuongea na familia, akiwepo kama hayupo.

3. Hii kina Asprin watabisha, ila unakaa na mashosti hukoo bar na umemtelekeza bibi home alone. Shukuru Mungu kama hana maujanja ya nokia asha aisee, lazma awekwe busy. Ili walau ukitokea saa sita za usiku mwenzio keshakupunguzia kazi ya maandalizi. Bila hivyo kila siku utakuta kavuta mdomo na ndo inakuwa vile tena.

Kama Kongosho, mie nikikukuta unaflirt lazma niflirt kukupiku,lol. Ila flirting is a new way of not cheating all the way. Na ukimkuta mwenza anaflirt haijustify kuachana (kama ni ndoa). Ila sasa kununa na kujidai mkali haisaidii. Kama uko interested swallow it, anza kuflirt nae ili umuweke busy. Ukitumiwa msg lunch njema darling, does it take a century kusema thanks sweetie, as compared to ok? Au poa? If you dont make your lady feel beautiful, someone else will aisee.
 
Last edited by a moderator:
Rangi ya kyupi tu???

Ni makubwa zaidi ya hayo, na ni raha sana

Tabu tu ni pale mtakapoishia 'Tupendane gest hausi'

Basi mie sielewi. Nilidhani ni utani mdogo mdogo tu wenye maneno ya kawaida. Kumbe wanaulizana hata rangi ya vyupi?

Kama ni hivyo basi huko ni kutongozana.

Hiyo shule nilimalizana nayo 1947!
 
afu wewe nimekumiss ujue!! Njoo tuendeleze libeneke, ndiyo haswaaaaa faida ya flirting ebo!! Kwi kwi kwi kwi! Umoja wetu udumu milele kama ccm, lolest!

Umeona sasa? Mwishowe shem AshaDii atahisi tushangonoka wakati we mwenyewe mchoyo kama Sista Maria Clara.

Afu unajua nimekumisije?
 
Last edited by a moderator:
na hiyo ndio 'art ya flirting'
sasa unataka mkutane mgandane kama ruba? Si itakuwa mwisho wa kuflirt na wengine?

Raha ni kugonga mara moja au ya pili na kupotea
unaanza kutafuta windo jipya, he he he chezeiya samaki anayewinda paka weye?
na paka mwenyewe huwa anakuwa na sauti nzuriiiiiiii, meawwww, meawwww! Huishi hamu kumsikia, ila akinza hivyo, kimbia harakaaaaa! Mzima wewe asali ya ODM??!!
 
Last edited by a moderator:
Umeona sasa? Mwishowe shem AshaDii atahisi tushangonoka wakati we mwenyewe mchoyo kama Sista Maria Clara.

Afu unajua nimekumisije?
AshaDii hana noumer!! keshazisoma number zetu longggggg tym!! kwani asiyejua mie na wewe twapeana mautamu??? tena mautamu yetu saa nyingine tunaweka na 3some juu!!! chezeiya jeshi la mtu mmoja weye!! hubby mie juu yako nimeozaaaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Wanawake huflirt zaidi pale wanaume zao wanapojifanya bize

Kama mwanamke ana attention ya mwenza, sidhani kama anaflirt kivile? Am I right?

Back
Top Bottom