Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,566
- 63,066
- Thread starter
- #161
Amenunua ili iweje?Maskini mna mawazo finyu, jeff bezos kanunua yatch ya $500 and he's 60's
Amenunua ili iweje?Maskini mna mawazo finyu, jeff bezos kanunua yatch ya $500 and he's 60's
Sio timu zote huwa zinafika fainali nyingine huishia hatua za makundi, mtoano na kuendelea😁Kuna watu wanatisha watu huku, wanasema fainali ni uzeeni
Shida yako, badala ya kuchagua nazi nzuri umeamua kuchagua korona 😅Kama wazee wanakuwa na changamoto ya kiutendaji, kufikiri n.k unawazungumziaje hawa marais, wa Cameroon Biya, na wa Sudan Kusini Salva Kiir?
wanajenga ili iweje?Oyaa watu wanajenga mpaka kwenye 80 wewe unaongelea 65 tu
Afu kingine usipangie watu maisha bana
Malengo yako ushayawekea limit, pole sanaKwa mishe ninazopiga sijawahi kuwaza hata kama nitafika huko kwenye 60
You turn into a "bum"Hakuna haja, ni kuishi kama ndege tu tukingojea siku ya kutwaliwa kwa bwana.
Ndege hawalimi lakini wanakulaYou turn into a "bum"
Kwani bila nyumba huwezi kuishi, wahadzabe wanaishije?Kuishi
Tumia huo umri kuwekeza mbinguni na kwenye mambo mema, sio kuwaumiza wengine.Max ana member wengi, huyu naye ni expert wake..!!
Pesa ni nini?tusipangiane cha kufanya
pesa yangu naweza fanya ile kitu roho inapenda
haya ukawe ndege kila mtu afanye anachoona nis sahihi kwakeNdege hawalimi lakini wanakul
muulize aliyeziletaPesa ni nini?
muulize aliyezileta
babu yako isinichoshe na maswaliKwa nini alizileta? hujui pesa ni janja janja ya watu wavivu? Aliyeponda kokoto na kujaza tipa moja kwa shilingi 30,000 na aliyekaa kikao cha dakika 30 na kusaini milioni, ni nani aliyefanya kazi halisi?
Kufia kwako na kufia kwenye nyumba ya kupanga inaongezaje thamani kwa maiti?Maendeleo hayana ukomo wa umri, hata ukiwa na miaka 100 unaweza kujenga tu, ukifa watarithi watoto, wajukuu na vitukuu. Hii hoja ina mantiki kwa ambao tayari wameishajenga nyumba tangu wakiwa vijana. Sasa mzee umezipata hela uzeeni na hukuwahi kujenga kwa nini usijenge nyumba yako ukafie huko kuliko kufia kwenye nyumba ya kupanga?