Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

Nguvu mpyaa za skuizii changamoto Yan kijana mbichi anachowaza nimshahara tuu swala la kusogeza taasisi mbelee haimuhusu😂
Kama waliopo wameshindwa kuisogeza taasisi mbele, wewe utawezaje?
 
Ukifikisha miaka 65+ furaha yako itakuwa ni nini?
Kuishi maisha niliyoyataka Kipindi Niko kijana...Ndio maana ukiwa kijana inabidi ukae chini utafakari unataka nini baadae?....Mm kusafiri Tu ndio itakuwa furaha yangu, hivyo mfuko lazima uwe umeshiba na ndio maana Ujana si wa kulegea.
 
Wazo zuri sana, ukipata nafasi ukatembelee milima himalaya
 
Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k

Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?

Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.

Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Kila mtu ashinde mechi zake.
Yeye anajenga kwa pesa zake, wewe inakuuma vipi?

Miaka 65 mbona michache sana..!? Anaweza kujenga akapangisha na kuendelea kufaidi mema ya nchi.
Kwani Trump ana miaka mingapi vile?
 
Muda wa kumtumikia muumba na kutoa fungu la kumi bila kupunja wanaupata wakati gani?
Kama ulikuwa huna nyumba, kujenga ni Ibada hivyo usifikiri kumtumikia Mungu ni kwenda Msikitini/kanisani pekee.
Kumbuka kuna watu waweza kuwa wanamtumikia Mungu kwa uzuri zaidi hasa wale wanaojua kusudi lao la kuwa hapa Duniani, kuliko wewe unayefanya kwa maigizo ya kusubiri umri uende ndio umtumikie Mungu.
Mungu anatumikiwa wakati wote wa ujana na uzee KWA KUWA HUJUI MUDA WALA SAA ya kutwaliwa!
 
Kila mtu ashinde mechi zake.
Yeye anajenga kwa pesa zake, wewe inakuuma vipi?

Miaka 65 mbona michache sana..!? Anaweza kujenga akapangisha na kuendelea kufaidi mema ya nchi.
Kwani Trump ana miaka mingapi vile?
Kwa nini wanastaafishwa wakifikisha huo umri?
 
Kama ulikuwa huna nyumba, kujenga ni Ibada hivyo usifikiri kumtumikia Mungu ni kwenda Msikitini/kanisani pekee.
Kumbuka kuna watu waweza kuwa wanamtumikia Mungu kwa uzuri zaidi hasa wale wanaojua kusudi lao la kuwa hapa Duniani, kuliko wewe unayefanya kwa maigizo ya kusubiri umri uende ndio umtumikie Mungu.
Mungu anatumikiwa wakati wote wa ujana na uzee KWA KUWA HUJUI MUDA WALA SAA ya kutwaliwa!
Kwa nini upo duniani?
 
Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k

Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?

Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.

Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Kujenga jama unauwezo jenga,na kama nguvu za jazi unazo fanya kwa kujitegemea.Mimi Juni nafikisha 65 lakini ntaanza kujenga nyumba dodoma nimepata kiwanja na mali zangu watarithi watoto.Jenga
 
Kwa upande wako, wewe ulirithi za nani?
 
Back
Top Bottom