Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k

Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?

Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.

Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Mimi naanzia pale ulipoishia kwenye kichwa chako cha habari.
Jibu:-..........ya kuishi! Au ulitaka nilale nje nyakati za usiku?
 
Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k

Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?

Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.

Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Ukifikisha huo umri nadhani utawaa hizi nyumba niwaachie, aah bora niuze mbili nizitafune taratibu wakati naendelea kusogeza siku za kwenda kwa muumba.

Na swala lu kutafakari mambo yaliyopita na yajayo ni utashi wa mtu na alivyokuwa conditioned. Babuu Kisauji anakula raha na umri kama huo anacheza na tik tok live, anaenda kula bata bia kidogo anaimba kidogo anatengeneza new friends.

Kuna watu wakajichanganya kumwambia mambo ya dini, akawatolea uvivu time flani kuwa dini ni za kuletewa.

Mkuu hapo unajua una project kwetu hofu zako za ukizeeka na kuna watu wataogopa.

Halafu 65 kama umetuna mwili vizuri unakuwa fit tu, mpaka hata 70 kwenda 80. Ila kama ndio vile tena MITUNGI, MAVUTAJI NA MAKULAJI YA HOVYO, VIUNO KIBAO aaah 65 hoi taabani.

Unakuta mtu ana miaka 28 hadi 35 ana kilo 92, daily anameza monde, mishkaki na mikaangizo.

DUNI KAMA PLAIN PAPER KILA MTU ANACHORA ANACHOAMUA KUCHORA
 
Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k

Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?

Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.

Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Nina mzee wangu ana miaka 70 saii huwezi amini ameenda kununua shamba Marangu anataka kujenga nyumba mpya maeneo hayo, nikajiuliza sana sababu ya hilo jambo sikupata majibu mpaka sasa
 
Atakuwa anazeeka vibaya
 
Back
Top Bottom