Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,279
- 62,466
- Thread starter
- #61
Wakati mwingine una haki ya kuwashtaki kwa nini wamekuleta dunianiHuu ushauri unaweza kumshauri baba au mama yako
Wakati mwingine una haki ya kuwashtaki kwa nini wamekuleta dunianiHuu ushauri unaweza kumshauri baba au mama yako
Inabidi turudi kwenye ile mada inayosema, nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi.Ya kustaafia
Sio kaburi Hadi tetemeko na moto utokeeInabidi turudi kwenye ile mada inayosema, nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi.
Ebu ingia ndani ya nyumba yako, funga milango na madirisha, kisha anza kutafakari.Sio kaburi Hadi tetemeko na moto utokee
Natafakari nini?Ebu ingia ndani ya nyumba yako, funga milango na madirisha, kisha anza kutafakari.
Kwani lazima wote tujenge?Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k
Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?
Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.
Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Ubinafsi "Selfish" au Self interest ndio tatizo linalokutesa,Ukitengeneza hiyo weath generation kisha ukakata moto, huko uendako inakusaidia nini?
Unaweza kujihisi upo ndani ya tumbo la tembo ukizunguka zungukaNatafakari nini?
Tungekuwa tunajenga za namna hii sawaKama hali ya maisha ni ya kawaida, kila baada ya miaka 10+ unasimamisha mjengo.
Umejenga ya kwanza una miaka 25, ukifika 65, unazo 4. Unakula tu kodi, hutegemie serikari sijui kiinuamgongo.
Hakuna haja, ni kuishi kama ndege tu tukingojea siku ya kutwaliwa kwa bwana.Kwani lazima wote tujenge?
Mpaka sasa hivi, umewaachia visima vingapi vya mafuta?Ubinafsi "Selfish" au Self interest ndio tatizo linalokutesa,
I hope you are not serious,otherwise wewe ni mtu wa hatari sana kwa kila kiumbe kitakachokua karibu yako.
Mkuu kichwa chako hakina akili! Ina maana kama hela ipo kuwajengea wajukuu itakuwa vibaya?Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k
Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri?
Kustaafishwa maana yake, kwa huo umri wako hauhitajiki tena katika uzalishaji, bali unatakiwa kupisha nguvu mpya zenye ufanisi katika utendaji.
Hii inatafsiri, huo ni umri wa kukataliwa na jamii, na jamii ikikukataa unatakiwa kuwa karibu na muumba wako; sasa najiuliza swali kwa umri huo, unajenga nyumba ya nini, ikiwa jamii haikutaki na unakuwa umebakiza miaka michache ya kuonana na muumba?
Wewe mwenye akili, umevumbua kitu gani hapa duniani?Mkuu kichwa chako hakina akili! Ina maana kama hela ipo kuwajengea wajukuu itakuwa vibaya?
Kwa umri huo, unajenga nyumba ili iweje?mtao bandiko lazima utakuwa shabiki wa simba
mbona watu wengi wanafariki na miaka 80-90Kwa umri huo, unajenga nyumba ili iweje?
Unajenga ili iweje?Hakuna binadamu anayejua siku yake ya kufa, unaweza kuwa na miaka 65 na ukaishi hadi 90. Je, nikae miaka 25 iliyobaki nikiwa mpangaji kwa sababu tu ya kuhofia kifo?
Mentality ya kijinga hii.
Watoto/wajukuu wapatie elimu ya kuzunguka dunia, sio kuwaachia majengo yaliopitwa na wakati.mbona watu wengi wanafariki na miaka 80-90
unaacha urithi kwa watoto ama wajukuu
sema akili zako ndo wale wazee mnaosema na kutaka watoto wahangaike kama ww ulivyo hangaika kupata mali
ila nimepata ww n shabiki wa simba