jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,653
- 12,010
Ili utimize ndoto, kuna raha na hisia tamu ukitimiza ndoto hata kama ni ya mda mrefuUnapambana huko kote ili iweje?
Ili utimize ndoto, kuna raha na hisia tamu ukitimiza ndoto hata kama ni ya mda mrefuUnapambana huko kote ili iweje?
babu yako isinichoshe na maswali
zimeshaletwa ili tuishi katika mfumo filan hakuna namna
Miaka 70 unatimiza ndoto ipi?Ili utimize ndoto, kuna raha na hisia tamu ukitimiza ndoto hata kama ni ya mda mrefu
Je unachokifanya, waliokutangulia walikuachia urithi?Ni mtazamo tu wa mtu, wengine hupata uwezo wa kujenga uzeeni, ni urithi kwa watoto na wajukuu
toilet paperMaswali tumeumbiwa binadamu ili kuchangamsha ubongo, mfano leo hii mafuta yasipatikane kabisa, hela uliyonayo kwa ajili ya kununulia mafuta ya gari yako, utaitumia kwa mbadala upi?
Mfano ukiwa jangwani unatembea umechoka na una mapesa mfukoni , ukiona maji mbele unaweza tupa pesa ili zikupunguzie uzito uyakimbilie majiMaswali tumeumbiwa binadamu ili kuchangamsha ubongo, mfano leo hii mafuta yasipatikane kabisa, hela uliyonayo kwa ajili ya kununulia mafuta ya gari yako, utaitumia kwa mbadala upi?
Ndoto yoyote usiikatie tamaa hata ikawie vipi, hata uwe kukongwe huna meno wee itimize ukipata fursa, umri ni namba tuMiaka 70 unatimiza ndoto ipi?
Mfano ukiwa jangwani unatembea umechoka na una mapesa mfukoni , ukiona maji mbele unaweza tupa pesa ili zikupunguzie uzito uyakimbilie maji
Baada ya kutimiza ndoto zako hapa duniani, huko ahera itakusaidiaje?Ndoto yoyote usiikatie tamaa hata ikawie vipi, hata uwe kukongwe huna meno wee itimize ukipata fursa, umri ni namba tu
Na ukishaendeshwa na pesa , lazima usahau mpaka kuishi , pesa ni nyenzo tu ya kurahisisha maisha kama kilivyo kisu ,kijiko na bakuliNa pointi ndio iko hapo, tunaithamini pesa tukiamini inaweza kufanya maamuzi fuani, lakini kuna mazingira fulani pesa haiwezi kufanya kitu.
Mtoa mada ni mbinafsi sana.Unajengea wajukuu
Kwa umri ule wengi wanafanya kujifurahisha tu, ila kunakuwa hakuna jipya.Mbona kuna wazee wenye umri zaidi ya huo bado wanajenga na kufanya shughuli za maendeleo bila kikwazo cha umri? Labda upumzike kama mwili una changamoto ya maradhi ya uzeeni ila kama huna changamoto hizo unajenga tu
Kwa umri huo unajenga ili iwe nini?Age is nothing, but a number, si ntakuwa duanzi kuacha kujenga kisa nina miaka 70! Kama afya ninayo sina changamoto ya maradhi nitajenga tu
Ili siku ya mwisho ikusaidie nini?Kama ana hela ni vibaya kuwekeza kwa kizazi chake?Akinywea bia ni sawaaa?Ni heri yeye.Matajiri wengi wa Asia walirithi utajiri wa familia,sasa kwa nn sisi waafrika tusifanye hivyo?GENERETAION WEALTH !